Habarini Wadau,
Hiki ninachokiandika nina uhakika na Ushahidi nacho, Juzi...kama two weeks ago au mwezi kulikuwa na Tamasha kubwa sana la Kiislam lililohusisha Watu wa jinsia zote...na Walialika Wasomi wakubwa wa Dini ya Kiislam kutoka pande mbalimbali duniani ikiwepo Europe,
Miongoni mwa...
kuna huyu dada ye mwenyewe ndo alijileta, baada ya muda kwenye mahusiano nikamwambia ukweli kwa nia njea ya kumsaidia kua mi naona yeye sio type yangu , kuliko kupoteza muda ni vema aangalie atakaeendana nae mana mi sioni future na yeye. Ningeweza kumchezea na kumpotezea muda ila nimeamua kua...
Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli.
Leo nitaitoa ishara moja tu.
1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri.
Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa mtumishi huyu anapenda sana pesa?
Jibu: Accounts zote za benki zinasoma jina lake, accounts za...
Orodha ya Watu Waliosoma Computer Science na Wamefanikiwa
1. Elon Musk - Mwanzilishi wa SpaceX na Tesla(Japo alisoma physics na economics lakini Computer science imemtoa)
2. Mark Zuckerberg - Mwanzilishi wa Facebook (Meta).
3. Bill Gates - Mwanzilishi wa Microsoft.
4. Larry Page - Mwanzilishi...
Watanzania wengi hawana utanashati. Wengi wao wanavaa nguo bila kunyoosha pasi. Nguo inatolewa kwenye kamba inavaliwa ivo ivo unakuta mtu anavaa nguo imejikunja mpaka unajiuliza huyu nyumbani kwake ata kioo hana hakujiangalia wakati anatoka?
Nguo utfikiri imetoka kwenye tumbo la ng'ombe...
Ni kawaida kwa kijana mwenye 20s hadi 30s kuchepuka na mabinti wenye 20s, hata wakiwa out watu huwachukulia kawaida, gepu la rika halistui.
Ishu inaanza ukifika 40+, wanawake ambao ni feasible kuwa approach ni wale kwenye 30s na ratio yao kubwa ni wake za watu aidha wapo kwenye ndoa active ama...
Kizazi hiki kinakutana na changamoto nyingi lakini yafuatayo ni mambo machache yanayoharibu maisha ya vijana wengi hapa nchini
°Ulevi wa pombe
°Uvutaji sigara, bange na dawa za kulevya
°Ngono zembe na umalaya wa kumiliki wanawake wengi
°Kamari na betting
°Ushabiki wa mipira simba na yanga...
Naomba niseme mapema kabisa kabla Azam hawajaanza kucheza mechi za NBCPL.
Nimetizama mechi nne za azam za msimu huu, kuna kitu nimekiona ambacho wengi hamjakiona mbaya zaidi mnasifu eti azam inakikosi kizuri, kwa maoni yangu azam ya msimu huu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita.
Beki wa kushoto...
Iko hivi kuna watu wengi Sana,wameamua kuachana na doze za dawa wanazotumia wakiwa na imani kwamba, wamepona baada ya kuombewa na Mwamposa na baadhi ya wachungaji wa amakanisa ya kilokole
Hivi inaingia akilini mgonjwa anayetumia dawa za kufubaza virusi vya ukimwi apone kwa kuombewa tu, au...
Bakhresa, GSM, Mo Dewji na wafanyabiashara wachache hapa Tanzania wamechana msamba, ni ndoto za abunuwasi kudhani unaweza fika hapo kwa kuacha kitu cha uhakika unachoweza fanya bila backup plan, connections, resources, n.k. utashangaa mtu anaacha kazi na hajawahi kufanya biashara eti hakuna...
Kosa kubwa utakalofanya mwanaume kwenye mahusiano yoyote na mwanamke katika mapenzi
1.Kufanya kila njia hili kutimiza mahitaji yake na shida zake
2.Kusema ndio kwa kila kitu anachokihitaji.
3.Kumfanya kama nguzo yako katika mahusiano yenu
4.Kumuonesha kuwa unaogopa kumpoteza kwenye maisha...
Wasalam wakuu,
Imekuwa ni jambo la kawaida matajiri wakihojiwa kuhusu utajiri wao utasikia anasema nilianza na baiskeli sasa
namiliki kampuni kubwa ya mabasi. Mwingine atasema nilianza mama ntilie leo namiliki hoteli kadhaa mjini, mwingine anasema nilianza kushona viatu ila sasa na miliki...
Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu.
1. Diamond na...
Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma.
Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha...
Wakuu
Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania.
Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa..
Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu hivi au ni hii sehemu niliyofikia tu mimi?
Tunasubiri nani atekwe ndio tuelewe hatuko salama Tanzania? Kwanini tumekuwa wanyama kiasi hiki? Kwanini hoja zinajibiwa Kwa risasi? Elimu zetu na zikoje mpaka watu wanashindwa kujibu Kwa hoja ? wanatumia usaidizi wa jeshi, usalama n.k
Upande wako Msomaji unataka nani asimame atetee uhai wa...
Habari zenu waungwana, nadhani siku si nyingi nilipandisha uzi wenye heading ya WATU WENGI HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU TAIFA LA ISRAEL then kukawa na maneno mengi sana hapa, lakini nilihadi nitarudi na sasa nimerudi kutetea hoja yangu.
Kwa uchunguzi wangu mdogo tu tena kupitia hili jukwaa niliweza...
Habarini za asubuhi. Kama mdau wa elimu sipendezwi na hawa watengeneza maudhui wa mtandaoni ambao wamekua wakikashifu wasomi na elimu kwa ujumla.
1. Ni ukweli usiopingika kwamba wasanii wengi imeonekana wamefanikiwa kuliko wasomi walio wengi lakini haimaanishi elimu haina umuhimu kwa kizazi...
Anonymous
Thread
dotto magari
kukataa
magari
shule
watoto
watoto wengiwengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.