Huu mchezo nilikuwa naukemea tangu enzi za Magufuli.
Hii leo ni zaidi ya mara 4 sherehe za kitaifa kughairishwa na viongozi kisha fedha kuamuru zipelekwe kwingineko. Rais hupatiwa kitabu chote cha bajeti kabla haijasomwa naye hutoa mapendekezo au amri zake. Kisha hurudi kwa wahusika.
Sasa huu...
Waislamu walioa wake zaidi ya mmoja nchini UAE ni wahamiaji hasa kutoka Afrika na other poor Asian Countries, lakini pure UAE Arabs have only one man one woman, hii inakwambia nini?
Ikumbukwe kwamba UAE inaruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja kiislamu lakini Emirate men wanaoa mwanamke moja tu na...
Ubadhirifu na wizi, matumizi mabaya ya fedha za umma na rasilimali za taifa kutumiwa kwa maslahi ya watu wachache kumeongezeka sana.
Mbaya zaidi Rais amesikika mara kadhaa akisema kwamba upigaji kwenye Halmashauri ni mkubwa sana. Tozo zinapigwa, fedha za miradi zinapigwa, fedha za misaada...
Sasa ni rasmi ndani ya CCM kuna makundi 2 makubwa, lililo madarakani (Team ⁉️⁉️) na lile lililoondolewa madarakani (Team JPM✔️).
🩸Bashiru akiwa katibu mkuu CCM aliweza kugundua jinsi baadhi ya wanachama wahuni walivyokua wanajinufaisha binafsi na mali za chama.
🩸Ufanisi na uzalendo uliotukuka...
Hakuna rais ambaye kwenye nchi hakulalamikiwa na wananchi.
Mwalimu Nyerere
Raisi kwa kwanza Tanzania huyu aliogopwa sana matajiri, masikini lakini alifanya mengi ya kukumbukwa. Aliunganisha watu na kuondoa mgawanyiko wa kieneo.
Mzee Mwinyi
Huyu alokoselewa sana na waislamu kwa kuifungua nchi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amewaasa wakazi wa wilaya ya Ubungo kuacha kuwaza kila kitu kitafanywa na Serikali badala yake katika baadhi ya mambo wanatakiwa kufanya wenyewe kwa kushirikiana na wadau kutoka sekta binafsi.
Hayo ameyasema leo Jumanne Novemba 15, 2022 baada ya...
Mwanzo nilikuwa sina uhakika sana kama TBC TANZANIA inafatiliwa na inawasilizaji wengi sana . ila baada ya kutazama interview ya Salama na Oscar Oscar.
ndo nikajua na nikathibitisha kuwa Tbc Tanzania ina wasikilizaji wengi sana.
nadhani na nilitajia kuwa TBC TANZANIA ingekuwa mfano bora kwa...
Picha hii inamuonesha Nash MC, mmoja kati ya wasanii wa Hip Hop Nchini
Ni wazi muziki wa hip-hop wa bongo umepotea kabisa. Wasanii wa hip-hop hawafanyi vizuri sokoni yani kwa sasa bongo ukiimba hip-hop unaonekana kama umechanganyikiwa. Tofauti na zamani kidogo hiphop ulikuwa inafanya vizuri...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Ndugu zangu toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe wana Mbeya wameonesha hamasa kubwa ya kutaka mageuzi nje ya CCM, lakini wanaonesha kuwa hawana uwezo wa kujisimamia wenyewe katika kuyataka mageuzi hayo, mpaka kupitia kwa watu wengine kama vile wana Kilimanjaro na...
Na ukitaka 'Kitoweo' chako chochote kichinjwe vyema jitahidi sana umtafute Muislamu halafu awe ni Mwarabu wa 'Kisudani' utafurahia show yake ya uchinjaji ambayo mara nyingi huianzia Saa 3 kamili usiku baada ya kumaliza kuswali saa 2 kamili usiku.
Tajiri namba moja duniani anayemiliki mtandao wa Starlink ameiambia wazi wizara ya ulinzi ya Mareknani kuwa sasa itabidi waanze kugharamia mawasiliano hayo kwa Ukwani.Amesema kama ni sadaka tayari keshatoa zaidi ya dola milioni 80 kwa ajili ya vfaa 20000 ambavyo vimekuwa ni nguzo ya mawasiliano...
Kamisaa wa Sensa Kitaifa, Anna Makinda amewataka vijana wasomi kujitengenezea uchumi wao binafsi kupitia fursa zilizoko kwenye maeneo wanayoishi kuliko kutegemea ajira kutoka Serikalini au sekta binafsi.
Akizungumza leo Oktoba 12 na Kamati ya sensa katika kikao cha kutathimini sensa kwa Mkoa wa...
Ni kweli wanawake tunapenda kuongea tena ni jadi yetu, lakini tujitahidi kuchuja maneno tusisahau hata Bibilia imeandika, "Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe".
Leo ntaongelea wenzangu na mie mama wa nyumbani.
Dada unajijua huingizi...
Katika vitu ambavyo huwa naviona haviko sawa kwa watumishi, ni hili la Mtumishi kutakiwa kusubiri mpaka makato yote ya mkopo yaishe ndio amalize mkopo wake au kama anataka kumaliza mkopo wake mapema, basi ni kwa mfanyakazi husika kulipa kwa mkupuo mmoja deni lote lililobaki(outstanding balance)...
Haji Manara ameshiriki kuuwekea taswira mpya mpira wetu Tanzania. Hamasa ya mpira tanzania imekuwa kubwa sana katika kipindi cha Haji. Haji amesababisha watu sasa wanakwenda wengi viwanjani kuangalia football jambo ambalo watu wanafahamu hivyo, serikali inajua, bunge linafahamu, TFF inajua...
Matukio ya magari yasiyohusika kupita kwenye barabara ya mwendo wa haraka, yameibua hisia za kudharau utendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) na Sheria ya Usalama Barabarani.
Uvunjifu wa sheria na taratibu zilizowekwa umeonekana kufanywa zaidi na magari ya vyombo vya usalama, magari...
Siku zote ukiwa dhalimu lazima yakukute.....
Russian troops were blown up by their own mines while responding to a fake call from pro-Ukrainian partisans early Monday morning, according to Mariupol officials.
The deaths come after more than six months of fighting as Ukraine continues to defend...
Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.
Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo...
TRA mnatupa namba za simu eti kwa maelezo zaidi.
Mimi mpangaji na mpokeaji simu hatuwezi kutatua tatizo kupitia simu, kodi ua ZUIO inahitaji maelezo ya kina kutoka uongozi na si marisepshenisti.
Tunataka kodi ya ZUIO ilipwe na mwenye nyumba na si mpangaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.