Ajali za barabarani zinaepukika ukiachilia mbali matatizo ya kibinadamu. Kuna sababu nyingi sana zimekuwa zikitajwa, lakini mimi niseme mbali na sababu zote hizo zinazotajwa chanzo kikubwa ni abiria wenyewe.
Sijui ni ukosefu wa elimu ya kwa Watanzania au kudharau au kuona muda wote Mungu yupo...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa Serikali, kusimamia vema rasilimali za nchi kwa kutumia mifumo na kuweka nidhamu, akisema kinyume na kufanya hivyo ni sawa na kuiua nchi yetu wenyewe.
Mkuu huyo wa nchi ameeleza hayo wakati akifafanua kuhusu uzembe wa upitishaji wa...
Wasalaam JF,
Money is the king of love.
Money is the only magnet that women have since failed to resist.
Nawakumbusha wanaume tafuta pesa wanawake watakutafuta wewe. Chase money and women will Chase you.
Thank me later.
Wadiz
Cheti timu zilizoingia robo fainal caf champions kisha lingalisha na hizo zilizoingia shirikisho.
Simba baba lao, hakuna kunguni yeyote aliyepo shirikisho anaweza kugusa hapo.
Miaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa.
Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya...
Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde, tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.
Sasa unapokuwa unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na...
Hivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani.
Kumkuta mwanaume ameoa lakini kavaa kiatu Cha ngozi kimeachama kidogo ni kawaida sana.
Mtazame mkewe sasa...
Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wanawake wa Tanzania Bara wanamilikia Nyumba zao wenyewe kwa 18.1% ukilinganisha na Wanawake wa Zanzibar 12.8.
Wanawake wa Vijijini wanamiliki Nyumba zao kwa 18.8 ukilinganisha na Wanawake wa Mijini wanaomiliki nyumba kwa 16.5.
Orodha ya Mikoa yote...
Siku hizi mnawaachia walimu kazi ya malezi yaani nyie mmejichomoa kabisa eti mpo busy 'kutafuta maisha'
Walimu kazi yao ni kuwafundisha herufi na silabi kwa msingi wa kujua kuandika
1+1, 2+2 kwa msingi wa hesabu
Walimu kumfunda mwanao heshima na tabia njema kwa ujumla sio kazi yao ni ya kwenu...
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.
Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila...
Ujumbe kwenye picha unahusika sana....
Wanaume mmekuwa mkilaani sana kuombwa mahitaji baada ya muda mfupi baada ya kumuelewa mwanamke wa kitanzania.
Sasa wewe tumekutana leo leo halafu unaniambia umenielewa ...nikiuliza umenielewaje unajibu unataka mzigo.... Huku na huku tunachat mara paaaap...
Yaani kuna watu mabwege humu mpaka unashangaa... Unasema walitungwa ujauzito kipindi cha wazazi wao wakiwa wamelewa nini?
Yaani jamaa mmoja bwege anaomba nimpatie kiasi flani cha pesa amtoe demu mmoja humu wa JF out sababu amempenda sana. Namuuliza umewahi mwona? Anajibu ameona tu picha yake...
Kwa namna mwenendo wa siasa na vyama vya siasa vilivyo ni dhahiri viongozi wanahangaikia zaidi vyakwao kuliko maslahi mapana ya wananchi kwa ujumla.
Hili lina sababu 2; moja ni kwasababu Watanzania tumeonyesha kuwategemea wao zaidi kuliko nguvu Umma; mbili ni wao viongozi wenyewe kujua kwamba...
Serikali ya CCM
Acheni kutudhalilisha makada waaminifu kama sisi KWA hoja za hovyo zisizo na afya KWA Taifa!
Hivi mnafikiri vishkwambi KWA walimu;-
1.Vitaongeza maslahi yao ya kazi!?
2.vitawapa unafuu wa mfumuko wa bei ya chakula na mahitaji mengine!?
3.vitawapandisha madaraja wale...
Al Shabaab) waanza kupigana wao kwa wao hii ni baada ya tofauti kuibuka kati yao, kuna baadhi ambao walitaka kujisalimisha kwa serikali, ila wengine wakagoma na kuapa kuendelea kumpigania "mungu" wao.
The Federal government of Somalia has issued a statement announcing fresh fighting in the...
Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?
Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo.
Hayati Magufuli kwa...
daraja
hayati magufuli
january
january makamba
jina
jpm
magufuli
makamba
mradi
mshauri
mstaafu
mwanza
mwinyi
rais
rais samia
sababu
samia
ufisadi
wenyewe
Jana wamerudi wamelewa. Na dada anamfokea shemeji kama mtoto. Nikajiwa na busara kuwa hapa nisipokuwa makini tunaweza siku moja fukuzwa shemeji akichoka kiburi cha sister.
Basi nikamtuma hausigel awaite. Baada ya saa moja wakaja.(walinikwaza sana yaani saa moja kutoka tu room kuja sebuleni)...
Habari za mapumziko,
Inasemekana walioiba Silaha kwenye ofisi za TAKUKURU huko Handeni ni maafisa TAKUKURU wenyewe.
Chanzo chetu kutoka Handeni kinasema maafisa hao wakishirikiana na watu wa ishu/Majambazi walisuka njama za kuziiba silaha hizo huku wakiahidiwa kupewa donge nono.
Inasemekana...
1. Kikwete
2. Kinana
3. Makamba
4. Rostam Aziz
5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec.
Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu.
Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.