Tunasubiri IT wa kibongo watungengenezee za Simba na Yanga kwenye PS5 au X box
Kazi kwenu....
https://www.reuters.com/lifestyle/sports/nigerian-soccer-joins-video-game-big-league-local-stars-get-avatars-2022-07-08/...
Kumekuwa na kilio majonzi na kelele kutoka kwa wananchi bara na visiwani juu ya jinsi gani ya kupata viongozi wazalendo wenye kusimamia rasilimali za watanzania ili ziweze kuwanufaisha wananchi. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na rasilimali nyingi ambazo zingeweza kuondoa maadui wanaoisumbua...
tusicho kijua ni kuwa Marais wengi sio Binaadam na sio Watu pia, ili uwe Binaadam ni lazima uwe na sifa za kibinaadam na ili uwe Mtu ni lazima uwe na sifa njema za Kiutu. ndio maana wagombea wa Urais ambao ni Watu na Binaadam watagombea Urais hadi kifo kinawachukua awafanikiwi ng'oo kukikalia...
"Haiwezekani kila Siku Wakongo tunakufa hapa kwa Kushambuliwa na Waasi wa Mai Mai na hata wale wa M23 huku wengine Wakibakwa na Nyumba zetu Kubomolewa halafu Askari wa Kulinda Amani hawa wa MONUSCO wapo tu wanaangalia na hawatusaidii chochote. Wamekuja kutulinda Wakongo au Kukaa tu huku na...
Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchi katika septa ya michezo kumekua na porojo sana kuliko uhalisia wa mwelekeo wa mchezo wetu wa mpira wa miguu tumekua, tukiweka nguvu kubwa katika kuwahamasisha washabiki na kuwaaminisha kuwa uwepo wao uwanjani na upigaji kelele ndio chanzo kutuletea ushindi...
Hili ni angalizo.
Naona watu wameweka matumaini makubwa kwa wachezaji wanaosajiwa Yanga.
Niwaambie kitu Africa mpira na ndumba ni mapacha wawili.
Simba na yanga ni mara chache sana walisajili wachezaji wabovu,wengi walitoka huko wakiwa na kiwango cha juu leo wapo Kitayose,Ihefu sijui Namungo...
Sasa EAC tumetimia watu milioni 300, soko la watu wote hao na GDP ya bilioni 250 dola za Kimarekani, jameni watu tuchangamkieni hizi fursa, wa kulala waendelee na kusubiri maembe yadondoke, ila tuliozoea kupambana tuendelee mbele kwa mbele...
Sema nimependa sana namna rais Uhuru amechakarika...
TAARIFA KWA UMMA
Tumepokea barua kutoka TCRA ikitutaka tujieleze kuhusiana na Habari tuliyoiandika ikihusisha Maandamano ya Wamaasai kuelekea Ubalozi wa Kenya wiki iliyopita,DARMPYA TV ONLINE inashtakiwa na TCRA kupotosha maandamano yale kwenye ukurasa wa Twitter wa Darmpy Blog.
Chanzo...
Kila mtu ana asili yake! Na maendeleo ya mtu ili yawe na maana lazima yaguse asili ya mtu!
Ukimtoa masai umasaini aje aishi masaki, hii siyo maendekeo kwake bali ni kashfa na ni kumuua (kumharibu kiasilia na lazima siku atarudi alikotoka)
Mtu aliyezoea kunjunga haja yake polini ukimjengea choo...
Licha ya kuwekewa vikwazo na mataifa ya Magharibi, Rais wa Urusi, Vladimir Putin akizungumza katika Kongamano Jijini St Petersburg amesema vikwazo hivyo ni vya ovyo na havina malengo, pia haviwezi kufanikiwa kuwarudisha nyuma.
Amedai kuwa vizuizi hivyo vinawaumiza wale walioviweka, akidai kuwa...
Miaka ya nyuma tumesaidia nchi nyingi sana katika harakati za Ukombozi. Kupinga Ubaguzi,Ukandamizaji ba Uonevu.
Nchi nyingi. Tuna maeneo na mitaa mingi kwa Majina ya Wanaharakati na wakombozi wa Africa. Mitaa kama Nkrumah n.k na hata Shuleni nakumbuka kulikuwa na Mabweni kama Nkrumah, Samora...
Vibonge ziii!
Hawa vibonge kisa vibration na miujazo wanajibutua huko road ila wakiingia parking hawana vibe Lolote. Namliza mtu weekend hii anakula mlenda hadi kero uvinza kajaa uji kila dakika chumvini huwezi kuzama na ukaibuka.
Tuwe makini wala mlenda wana makusudi.
Naendelea...
Mfumo mbovu wa elimu unatoa wataalamu wabovu na ni vigumu kuchukua wataalamu hawa wabovu wakuboreshee mfumo wenyewe wa elimu uliowatengeneza.
Wataishia kuhamisha hiki kule na kurudisha hiki huku lakini mwisho wa siku mtabaki palepale mkiwa na elimu ileile ila mpangilio tofauti. Elimu ni maarifa...
Wapo tayari kurudi mashambani na kwenye familia zao, kimsingi wahakikishiwe usalama wao.
=================
The latest peace bid for the Democratic Republic of Congo’s troubled eastern region appeared headed for a solid footing after 24 armed groups gathered in Nairobi to express their...
HOTUBA YA WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKINOLOJIA YA HABARI MHE. NAPE NNAUYE (MB) AKIFUNGUA MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI NAYOFANYIKA JIJINI ARUSHA TAREHE 2 MEI, 2022
Mhe Said Mtanda, Mkuu wa Wilaya ya Arusha na mwakilishi wa Mkuu wa mkoa wa Arusha...
While they bootlick South Africans claiming they are their brothers and they helped them get independence, here is what South Africans feel.
I always tell my Tanzanian brothers, a perceived favor cannot grant you friendship to someone. I don't see them mentioning Tanzanians. 🤣 🤣
Viongozi wetu mnafanya kazi kubwa sana katika kuhakikisha Jamii inafika au inapata kile ambacho inakusudia kupata kutoka kwa viongozi waliowachagua au kuwaweka madarakani. Katika kuhakikisha hili kumekuwa na mambo mbalimbali ambayo viongozi huja kwa raia na kuyatolea matamko au maagizo pamoja na...
Wakuu Kwema.
Wiki iliyopita nilikuwa kwenye sherehe ya Harusi ambayo maharusi ni wanachama wa CHADEMA na CCM.
MC akaitisha challenge baina ya CCM na CHADEMA kulingana na maharusi.
Waliaanza CHADEMA, ikapigwa nyimbo mbili za CHADEMA. Wala hazikuwa na amshaamsha licha ya wafuasi na wanachama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.