Haji Manara ameshiriki kuuwekea taswira mpya mpira wetu Tanzania. Hamasa ya mpira tanzania imekuwa kubwa sana katika kipindi cha Haji. Haji amesababisha watu sasa wanakwenda wengi viwanjani kuangalia football jambo ambalo watu wanafahamu hivyo, serikali inajua, bunge linafahamu, TFF inajua...