Maji tumeshayavulia, hatuna namna isipokuwa kuyaoga! Tanganyika ni nchi yetu, tuanaitaka! Tunaweza kwenda pande zote za dunia, lakini Tanganyika itasalia kuwa nyumbani, turejeshewe.
Kwingineko kote tunaweza kuitwa wageni, lakini tuwapo Tanganyika tunajisikia kuwa nyumbani hata pasipokuambiwa...