wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tuliojilea wenyewe uswahili maisha magumu tukumbushane maisha tuliyopitia

    INTRODUCTION Nawasalimu kwa jina la chama kubwa YANGA basi jibuni "Ubingwa uendelee"" Naanza Mimi. Mimi nilizaliwa mjini Daslam! Miaka ya 1990. Wakati nazaliwa tulikuwa tunaishi Mwananyamala B Na nikiwa mdogo nilifiwa na wazazi nikachukuliwa na ndugu kwenda kuishi mwananyamala Komakoma. Hapo...
  2. M

    RITA kuthibitisha wenyewe nakala za vyeti vya kuzaliwa ina maana cheti kikithibitishwa mahakamani/ kwa wakili hakitakubalika?

    Naomba kuuliza kwa wenye uhakika na hili: Je nakala ya cheti cha kuzaliwa kikithibitishwa mahakamani au kwa wakili kitakubalika? Uthibitishaji wa vyeti vya kuzaliwa unatakiwa sana hasa kwenye kuomba ajira, na kwenye uombaji wa mikopo ya elimu ya juu. Nauliza hivi kwa sababu mchakato wa...
  3. F

    CHADEMA mmepata ajenda nzuri ya kuiondoa CCM madarakani, mjivuruge wenyewe sasa!

    Hata mtu mjinga anajua kuwa huu mkataba wa "kuwauzia" Waarabu Bandari zetu umepatikana kilaghai! Nape Nnauye ni mnafiki sana! Analinganisha mkataba wa Bomba la Mafuta na huu wa Bandari,wakati anajua wakati wa Hayati Rais Magufuli mkataba ule ulijadiliwa na Baraza la Mawaziri mara kadhaa! Sasa...
  4. Watanzania tunyamaze kabisa, kuhusu bandari tumelikoroga wenyewe tulinywe!

    Nashangaa kelele ni nyingi mno kana KWAMBA mikataba ya hovyo au makubaliano yameanza leo. Kwani Samia ndio wa Kwanza kuliingiza Taifa kwenye hofu ya HASARA!? Mikataba ilianza leo!? Si tangu awamu ya pili ndio kazi Rasmi ya kuuza rasilimali vilianza! Nani aliuza loliondo!? Nani aliuza NBC...
  5. Vijana kufatilia zaidi mpira kuliko mambo muhimu yanayoathiri nchi tatizo ni nini?

    Hapa chini nimeweka video ya wana Dar es Salaam wakisherehekea ushindi (kombe), ambapo wengi wao ni vijana. Jana taifa lilikuwa na jambo muhimu sana kwa mustakabali wa vizazi na vizazi, jambo lililogusa Bandari ambazo ndizo kiini cha uchumi na heshima ya nchi. Mpira na furaha ni muhimu sana...
  6. Haina haja ya kusema ukifa uzikwe wapi acha watu waaamue wenyewe

    Binadamu akifa tayari mwili wake unakuwa ushakuwa mbolea. Basi watakaokuepo usiwapangie waache waamuee wenyewe kama wanazika au wanasafirisha au wanachoma , binafsi watz wengi wanasema watupwe msikltuni ili viumbe vingine vipate chakula .na nature iendelee.
  7. M

    Mmeshakiri Wenyewe hamjahujumiwa huko Algeria, hivyo hatutaki Mkifungwa msingizie mmehujumiwa

    Nimejaribu kuangalia Fainali kadhaa zinazohusisha Klabu za Uarabuni na za kutoka kwa Weusi hasa zikichezwa Viwanja vya kwa Waarabu huku Kombe likiwa Uwanjani na Kugundua kuwa kwa 95% Kombe hubaki Uarabuni ( Egypt, Algeria, Morocco na Tunisia ) na ni kwa bahati sana tena kwa 5% Kombe hubebwa na...
  8. K

    TAKUKURU Simiyu: Walinzi soko kuu Bariadi wanajilipa wao wenyewe

    Taasisi ya kuzuia na kupamba na rushwa Mkoa wa Simiyu (TAKUKURU) imesema kuwa mfumo wa uendeshaji wa soko kuu la Bariadi hauko sahihi kwenye eneo la ulinzi pamoja na mazingira ya ufanyaji Biashara. Kwenye taarifa yake kwa waandishi wa Habari iliyotolewa leo na Naibu mkuu wa taasisi hiyo Aron...
  9. G

    Ni sababu zipi zimefanya TRA kuajiri wenyewe badala ya Utumishi?

    Habari wanaJF. Naomba kwa yeyote anayejua sababu zilizopelekea mamlaka ya mapato Tanzania yaani TRA kuajiri wenyewe aniambie? Kusema ukweli ajira zinazopita utumishi ziko fair sana. Nimeshuhudia watoto wa maskini kabisa wakipata ajira TRA tena bila connection yoyote. Utumishi japo wana...
  10. Ni sahihi wanawake kuwapa uongozi au tunajipiga mtama sisi wenyewe..??

    Kichwa cha habari hapo juu hakina lengo ya kudhihaki jinsia bali ni mada ambayo ningependa tuiangalie kwa mapana!.. Binafsi wanawake na uongozi hili jambo linanipa ukakasi zaidi nazungumzia uongozi ktk taasisi kubwa kubwa,ukakasi unanishika zaidi kutokana na hulka za hivi viumbe kitabia,mawazo...
  11. Ijue sababu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyopiganwa Sudan kwa sasa

    Tokea mwaka 1958 sudan yameshatokea majaribio almost 36 ya kupindua serekali kwa lugha nyepesi sudan ni moja ya nchi ngumu sana kuiongoza afrika Mwanzon wa miaka ya 2000 kulikua na vuguvugu la waasi darfur rais wa wakati huo omar al bashir alianzisha janjaweed ambao ni kama kikosi maalumu kwa...
  12. L

    Je, TRA wameruhusiwa kuajiri wenyewe? Tunaenda mbele hatua 2 tunarudi nyuma hatua 10

    Nimeona tangazo la kazi za TRA. Kwa Sasa inaonekana wataajiri wenyewe bila kupita Utumishi. Je, watoto wa Mamantilie watapita? Nakumbuka enzi za Dkt. Slaa na majina ya watoto wa vigogo BOT. Yajayo yanafurahisha.
  13. Funzo tunalopaswa kujifunza kufuatia kifo cha mwenzentu Le Mutuz, tuandike wasifu wetu wenyewe

    Kufuatia kifo cha member member mwenzentu wa JF Le Mutuz pamoja na mengi mengineyo lakini kubwa hakuna wa kuandika wasifu wa marehemu wala historia yake maana kazi hiyo aliifanya yeye mwenyewe. Hivyo natoa rai katika mambo ya maana sana aliyofanya Le Mutuz ni pamoja na kuandika historia yake...
  14. Chama cha walimu Tanzania ni cha walimu wenyewe

    Kuna mengi yanasemwa kuhusu chama cha walimu na isivyo bahati kati ya hayo mengine ni hasi. Siku ya mei mosi 2023 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro wale wenye hasi wangeweza kujibiwa na wimbo wa Dar es salaam Jazz Band uliorekodiwa tarehe 8 Oktoba 1965 RTD ukisema We mtoto acha kupiga mayowe...
  15. T

    Rais Samia: Nilipoingia ofisini tu Mufti alinijia na furushi la migogoro ya mali za BAKWATA, ila tatizo wamelitengeneza wenyewe

    Nilimsikia Rais akihutubia Baraza la Eid alisikika akisema alipoingia madarakani tu Mufti alimjia na lundo la mafaili ya migogoro ya mali za Waislamu. Akasema kwa bahati mbaya alipochunguza mafaili yale yana utata kwa kuwa wahusika wakubwa wa hizo sintofahamu ni wahusika wenyewe. Naomba kwa...
  16. Wagner na wanajeshi wa Urusi wapigana wenyewe kwa risasi

    Walianza kama utani kulaumiana nani kaboronga kwenye shughuli ambayo imekwama kwa sasa, ghafla wakaanza kufyatuliana risasi na baadhi kuuawa maeneo ya Stanytsia Luhanska. Nasemaje!!! Safi sana piganeni mfe mizoga yenu iwe mbolea. ============== A shoot-out allegedly occurred between Russian...
  17. Uraia pacha huenda ndiyo sababu ya Sababu vita ya wenyewe kwa wenyewe Sudan

    Kila mmoja lazima ashangae kuzuka vita vya mara kwa mara nchini Sudan. Hii ni nchi ya kiislamu na ina wasomi wengi wa hali ya juu wa dini hiyo. Kumbe ina raia jumla 16000 wa Marekani wengi wao wakiwa ni raia pacha, yaani nusu ni wamarekani na nusu ni wasudan. Wakati vita vimepamba moto raia hao...
  18. Wanapeana wenyewe kwa wenyewe

    Habari wadau, Hizi zama zimebadilika sana, huwezi kuona mtu wa hali ya chini akawa afisa maendeleo kata, ama huwezi kukuta mtu akimegewa mkate ulionona ilihali na yeye amezama akabukua na kutoa matirio mazuri ila sasa kwenye mgawanyo hukosa hata soko lake. Je, kuna ulinganifu hapo jamani ndo...
  19. Wababe wa dunia wanaiparamia Afrika, Waafrika wenyewe wanashangilia!!

    Ukiangalia kwa undani utaona kuwa mataifa yaliyoendelea kiuchumi na yale yenye uchumi wa Kati, yote kwa pamoja yanapigana vikumbo kuigombania Afrika. Siyo kama mshirika wa kimaendeleo bali kama soko na chanzo cha malighafi katika kuendeleza chumi zao. Wakati wababe hao wa Dunia wakipigana...
  20. J

    Mchungaji Kimaro: Matajiri ndio Walimzika Yesu, akina Petro na wenzake waliokula bure miaka 3 walimkimbia!

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…