wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Chanzo zcha ajali za mabasi ya abiria ni abiria wenyewe

    Ajali za barabarani zinaepukika ukiachilia mbali matatizo ya kibinadamu. Kuna sababu nyingi sana zimekuwa zikitajwa, lakini mimi niseme mbali na sababu zote hizo zinazotajwa chanzo kikubwa ni abiria wenyewe. Sijui ni ukosefu wa elimu ya kwa Watanzania au kudharau au kuona muda wote Mungu yupo...
  2. M

    Haya Wananchi mshindwe wenyewe kusukuma mlevi!

    Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho! Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu! LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi?
  3. O

    Madudu ripoti ya CAG, tunaua nchi wenyewe

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa Serikali, kusimamia vema rasilimali za nchi kwa kutumia mifumo na kuweka nidhamu, akisema kinyume na kufanya hivyo ni sawa na kuiua nchi yetu wenyewe. Mkuu huyo wa nchi ameeleza hayo wakati akifafanua kuhusu uzembe wa upitishaji wa...
  4. Money is the King of Love. My money is my ego

    Wasalaam JF, Money is the king of love. Money is the only magnet that women have since failed to resist. Nawakumbusha wanaume tafuta pesa wanawake watakutafuta wewe. Chase money and women will Chase you. Thank me later. Wadiz
  5. Tukisema Simba sc ni timu kubwa Africa huwa mnabisha haya jioneeni wenyewe hapa

    Cheti timu zilizoingia robo fainal caf champions kisha lingalisha na hizo zilizoingia shirikisho. Simba baba lao, hakuna kunguni yeyote aliyepo shirikisho anaweza kugusa hapo.
  6. CHADEMA njia pekee ya kushika dola 2030, unganisheni nguvu na team Magufuli

    Miaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa. Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya...
  7. Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa Afrika

    Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde, tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati. Sasa unapokuwa unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na...
  8. Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

    Hivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani. Kumkuta mwanaume ameoa lakini kavaa kiatu Cha ngozi kimeachama kidogo ni kawaida sana. Mtazame mkewe sasa...
  9. Mikoa ya Mwanza, Tanga na Njombe inaongoza kwa Wanawake wanaomiliki Nyumba zao wenyewe

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wanawake wa Tanzania Bara wanamilikia Nyumba zao wenyewe kwa 18.1% ukilinganisha na Wanawake wa Zanzibar 12.8. Wanawake wa Vijijini wanamiliki Nyumba zao kwa 18.8 ukilinganisha na Wanawake wa Mijini wanaomiliki nyumba kwa 16.5. Orodha ya Mikoa yote...
  10. Watoto Wenu Muwalee Wenyewe

    Siku hizi mnawaachia walimu kazi ya malezi yaani nyie mmejichomoa kabisa eti mpo busy 'kutafuta maisha' Walimu kazi yao ni kuwafundisha herufi na silabi kwa msingi wa kujua kuandika 1+1, 2+2 kwa msingi wa hesabu Walimu kumfunda mwanao heshima na tabia njema kwa ujumla sio kazi yao ni ya kwenu...
  11. CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

    Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa. Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila...
  12. Mnayasababisha wenyewe halafu mnalalamika

    Ujumbe kwenye picha unahusika sana.... Wanaume mmekuwa mkilaani sana kuombwa mahitaji baada ya muda mfupi baada ya kumuelewa mwanamke wa kitanzania. Sasa wewe tumekutana leo leo halafu unaniambia umenielewa ...nikiuliza umenielewaje unajibu unataka mzigo.... Huku na huku tunachat mara paaaap...
  13. Uhusiano awa Avatar/Profile Pictures na sisi wenyewe

    Yaani kuna watu mabwege humu mpaka unashangaa... Unasema walitungwa ujauzito kipindi cha wazazi wao wakiwa wamelewa nini? Yaani jamaa mmoja bwege anaomba nimpatie kiasi flani cha pesa amtoe demu mmoja humu wa JF out sababu amempenda sana. Namuuliza umewahi mwona? Anajibu ameona tu picha yake...
  14. K

    Watanzania tujiamulie hatma ya taifa letu wenyewe tusitegemee mtu

    Kwa namna mwenendo wa siasa na vyama vya siasa vilivyo ni dhahiri viongozi wanahangaikia zaidi vyakwao kuliko maslahi mapana ya wananchi kwa ujumla. Hili lina sababu 2; moja ni kwasababu Watanzania tumeonyesha kuwategemea wao zaidi kuliko nguvu Umma; mbili ni wao viongozi wenyewe kujua kwamba...
  15. Serikali iache kuwadhalilisha walimu kwa kugawa vishkwambi, waboreshe maslahi yao ili wanunue wenyewe!

    Serikali ya CCM Acheni kutudhalilisha makada waaminifu kama sisi KWA hoja za hovyo zisizo na afya KWA Taifa! Hivi mnafikiri vishkwambi KWA walimu;- 1.Vitaongeza maslahi yao ya kazi!? 2.vitawapa unafuu wa mfumuko wa bei ya chakula na mahitaji mengine!? 3.vitawapandisha madaraja wale...
  16. Al Shabaab wauana wenyewe ndani kwa ndani kule Somalia

    Al Shabaab) waanza kupigana wao kwa wao hii ni baada ya tofauti kuibuka kati yao, kuna baadhi ambao walitaka kujisalimisha kwa serikali, ila wengine wakagoma na kuapa kuendelea kumpigania "mungu" wao. The Federal government of Somalia has issued a statement announcing fresh fighting in the...
  17. Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  18. Nimewapa ushauri shemeji na dada wasipofuata shauri yao wenyewe, mimi nimejivua

    Jana wamerudi wamelewa. Na dada anamfokea shemeji kama mtoto. Nikajiwa na busara kuwa hapa nisipokuwa makini tunaweza siku moja fukuzwa shemeji akichoka kiburi cha sister. Basi nikamtuma hausigel awaite. Baada ya saa moja wakaja.(walinikwaza sana yaani saa moja kutoka tu room kuja sebuleni)...
  19. Tetesi: Handeni, walioiba silaha Ofisi za TAKUKURU ni TAKUKURU wenyewe

    Habari za mapumziko, Inasemekana walioiba Silaha kwenye ofisi za TAKUKURU huko Handeni ni maafisa TAKUKURU wenyewe. Chanzo chetu kutoka Handeni kinasema maafisa hao wakishirikiana na watu wa ishu/Majambazi walisuka njama za kuziiba silaha hizo huku wakiahidiwa kupewa donge nono. Inasemekana...
  20. CCM ina wenyewe na wenyewe ndio Sisi. Wale wakuja wote tumewaondoa

    1. Kikwete 2. Kinana 3. Makamba 4. Rostam Aziz 5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec. Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu. Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…