Kuna video inayo tembea mitandaoni ikimuonyesha msemaji wa Simba akihojiwa na wanahabari.
Akiwa anajibu maswali juu ya malalamiko katika michezo iliyopita ya Simba dhidi ya Azam na Dodoma JiJi juu ya uamuzi mbovu wa marefa uliopelekea wao Simba kunufaika alisema
Pale Tff Kuna Sanduku la maoni...