figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Sikutegemea kwamba chini ya Uongozi wa Afande Mliro, kuna kamanda atakosa msaada wa wenzake na kuamua kutelekeza kituo, Silaha, nna kuvua sale ya dola kuanzia buti Suruali na Mkanda n kutokkomea kusipo julikana.
Nilitegemea Polisi akizidiwa ataita wenzie waje na yale magari mapya waliyopewa na Samia.
Ntajitahidi nipate maelezo yake ni nini kimetokea? Katia aibu jeshi🤣🤣
Nilitegemea Polisi akizidiwa ataita wenzie waje na yale magari mapya waliyopewa na Samia.
Ntajitahidi nipate maelezo yake ni nini kimetokea? Katia aibu jeshi🤣🤣