figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #21
Jamani. Eti wanaishiwa maji ya kuwasha. Inawezekenaje?Sikio la KUFA..kila kitu Vuluvulu
Jamani. Eti wanaishiwa maji ya kuwasha. Inawezekenaje?Sikio la KUFA..kila kitu Vuluvulu
Mpaka yule b mdachi alame mchanga ndo haki itakua imepatikanaMkuu Ali Kibao na wengine hatimaye watapata haki.
Inasemekana kakimbilia Lugalo jeshiniMuliro mwenyewe kajificha hajulikani alipo
Nyumba yake ya Kimara anayoishi mke wake mkubwa watu tumeshaisalimia