Leo nikiwa natumia whatsapp nimekuta picha ya namba yangu ya Tigo kuna mtu mwengine kajipiga selfie
Naenda kuangalia usajili wa majina kwa njia ya kutuma pesa nakuta majina tofauti.
Hili jambo limenishangaza sana juu ya privacy ya namba zangu, kwa bahati nzuri haikuwa namba nayotumia sana...
Kutokana na uhitaji mkubwa wa vitabu kwa lugha ya kwetu, hatuna budi kuwaletea vitabu hivyo (Softcopy na Hardcopy).
Njia ya kuhudumiwa ni kupitia WhatsApp 0737317870 pekee.
Wakuu kuna mtu amehack group langu la whatsapp la muhimu sana.
Naombeni kufahamu inawezekanaje hii, mtu umemuamini na kumpa uadmin halafu unaamka unakuta "You're no longer an admin" wakati wewe ndiye whatsapp group creator.
Naombeni kufahamishwa wajuzi wa mambo
Teknolojia ni Yetu sote
Na siku hizi wamekuja tofauti, zamani unatumiwa ujumbe moja kwa moja, sikuhizi utatumiwa meseji habari yako, hellow, vipi, n.k.
Unaweza kudhani ni mtu mnafahamiana labda huna namba yake, unamjibu kwa heshima ghafla unatumiwa meseji "Samahani naitwa fulani nilikuwa naomba urafiki naomba unisevu...
To be honest Kwa sisi wafanya -biashara tunabidi kumshukuru Sana Mungu na kumuombea maisha marefu mmiliki wa hii mitandao ,Facebook, Instagram na WhatsApp.
Familia zetu zinakula na kunywa kupitia hii mitandao
Tunauza bidhaa za mamilion , tunanunua bidhaa n.k
God bless you makizigibagi.
Habari 👋
Moja kwa moja kweny mada.
Aisee, Leo nimeyakoroga, leo majira ya mchana kabla ya kuweka status kuna mtu nilim-hide kweny option settings za "status privacy", then nikapost, alaf nikazima data nikaendelea na shughuli zangu.
Asaiv nimerudi home nimewasha data nakuta message kibao za...
Baadhi ya Kampuni za simu Tanzania nadhani hazina akili timamu, tabia ya kuzuia simu za wateja na kuwachatisha WhatsApp kupitia BOT ni ulimbukeni
Hii tabia ya baadhi ya kampuni za simu kuzuia huduma ya kuzungumza na wateja kupitia namba 100 sijui wametoa wapi TCRA wachukulieni hatua hawa watu...
Bila shaka ilisha wahi kukupata hii...
Umeamka zako Asubuhi unajikuta umewekwa kwenye group na mtu pengine hata humjui.
Mara group la Mchango mtoto kameza shoka hahahah (jokes) Nk.
Kuna muda inakera na kuudhi ... Basi kuanzia leo ukisoma makala hii fupi litakuwa limeisha...
Mimi Naitwa...
Kampuni ya META imeshinda kesi iliyofunguliwa mwaka 2019 iliyokuwa ikiituhumu kampuni ya NSO Group ya Israel kutumia Programu yake ya 'Pegasus' kudukua mawasiliano ya Watumiaji wa Mtandao wa WhatsApp.
Uamuzi wa Mahakama umetokana na kubaini kuwa NSO ilikiuka Sheria za Mkataba wa Ulinzi wa...
WhatsApp business yangu kwa siku za hivi karibuni imekuwa ikinisumbua inakuw ina logout na kunisubirisha baada ya masaa 24 tena ndy niweze kujaribu kuingia tena, na yanapofika masaa 24 niki verify account inakubali inafunguka ila natumia ni ndani ya dk10 tu ina-logout tena, sas hii imekuwa...
Meta wameamua kuacha kussuport simu zenye Android KitKat (4.4) kwenda chini kuanzia Jan 1 2025. Baadhi ya simu maarufu ambazo zitaacha kufanya kazi ni
Samsung: Galaxy S3, Galaxy Note 2, Galaxy Ace 3, Galaxy S4 Mini
Motorola: Moto G (1st Gen), Razr HD, Moto E 2014
HTC: One X, One X+, Desire 500...
Hello my friend's
Hivi ni WhatsApp yangu tu ambayo leo haitumi text wala kupokea ujumbe? Mwanzo ilifunguka text zikaingia shida ikawa kujibu ukijibu inapotea ewani now haifunguki shida nini?
Nimejaribu kuupdate ila bado
Katika makala ya leo,
Ni vyema tukaeleweshana kwa kina faida na athari za kuwa kwenye magroup ya Whatsapp ya ukoo.
Najua wengi tumezoea kujiunga na magroup ya shule, kazini na biashara ambapo faida zake ni nyingi sana. Kwenye haya magroup unaweza kuona tangazo la kazi, unaweza kupata...
Wadau wa Jamiiforums Habari za wakati huu.
Na leta kero yangu kwenu kuhusu WhatsApp yangu kusumbua mara kwa mara. Usumbufu unatokana kuwa log out kwa madai ya account yangu kuhusishwa na spam.
Tatizo lilianza siku moja namba yangu ili unganishwa na ma group kama tano ambayo haya kuwa ya...
Salam,
Tunaendelea katika episode nyingine ya 'MZINDUE AWESO MAJI YAREJEE', na leo tumpe mbinu nyingine ya kujua uhalisia wa kinachotokea mtaani. Yaani hii wiki inaenda kuisha kule Mbezi Beach maji yametoka haijazidi siku moja, afu Waziri Wizara ya Maji huko anajitapa tu maji yapo na chawa...
Naona Serikali Equatorial Guinea wanafanya kila mbinu kuhakikisha mambo yasiwe mengi baada ya huyo jamaa kuchafua hali ya hewa kwenye taifa hilo na nje ya taifa hilo
============================
Serikali ya Equatorial Guinea imeminya Mtandao wa Whatsapp Nchini humo ili Raia wake wasiweze...
Rasmi sasa WhatsApp waruhusu kuedit message uliyoituma kimakosa au bila kuwa na makosa lakini ungependa kuedit vitu kama vile emoji n.k
Ni uamuzi mzuri japo utaleta hoja kuhusu encryption ya message tutakazokuwa tuna tuma kwasabu WhatsApp ni end to end encrypted.
Kumbuka waweza kuedit text Yako...
Habari wakuu,
Nimeamka leo nakuta mpenzi wangu kaweka WhatsApp wimbo wa Mboso uitwao Over akisindikiza na maneno na dhihaka za emoj za kuonesha anamwambia mtu ambae sio mimi.
Kuna haja ya kuhoji?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.