Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama"
Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa...
Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.
Je, nitakuwa nimekosea?
Samahani wakuu
Naomba msaada wa kupata software inayofanya kazi ya kulock account ya mtu ya whatsapp ili asiweze kutumia na kuirudisha ktk hali yake ya mwanzo bila ya kuwa na simu hiyo karibu.
Asante.
Habari za Xmas niende Moja kwa Moja kwenye mada.
Majuzi nilijiunga na mtandao huu. Hapo nyuma nikiwa natumia WhatsApp ya kawaida sikuona hizi mambo....kwa namna WhatsApp GB ilivyo ukiwa online nakuona na ninaambiwa kabisa XY is online. Na mengine mengi.
Group Admin kuwa na uwezo wa kufuta jumbe kwenye group la WhatsApp.
Mtandao wa WhatsApp kufanya maboresho na kuruhusu kiongozi wa kikundi (Group Admin) uwezo wa kufuta jumbe kwenye kikundi.
Hivyo group Admin atakuwa na uwezo wa kudhibiti mijadala kwenye group boresho hili WhatsApp wamepanga...
Miezi sita iliyopita kampuni ya Meta ilitoa Wallet yake ya Crypto ambayo inaitwa Novi Wallet na inatumia Stablecoin ya Pax Dollars (USDP) ambayo ni crypto yenye thamani sawa na Dola 1.
WhatsApp imeanza majaribio ya kuunganisha Wallet ya Novi na WhatsApp hivyo utaweza kutuma na kupokea pesa...
Wiki hii WhatsApp inaweka uwezo wa kuchagua mfumo wa Disappearing Messages katika chats zote mpya. Disappearing Messages ni option ya kuamua chats zifutike baada ya masaa 24, Siku 7 au Siku 90.
Mfumo mpya unaofanana na mfumo wa Snapchat, utawezesha watumiaji kuweka option ya Disappering...
Taarifa za FBI zimeonesha wanaweza kupata taarifa nyingi za watumiaji wa mitandao ya kijamii ya WhatsApp na iMessage ambapo mitandao kama signal na Telegram imeonekana kutotoa taarifa nyingi za watumiaji
Hata ukiwa mtumiaji wa Iphone FBI hupewa taarifa hizo na kampuni muda wowote...
Habari za mda huu.
nIngependa kushare nanyi baadhi ya tips unazoweza ukazitumia kuifanya Whatsapp Yako ionekane vizurii na yenye mvutoo
mbinu ya kwanza
1.Font style.ni namna maneno unayotype yanavyoonekana inaweza ikawa bold,italic,monospace za kadharika pia na strike through unachotakiwa...
WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts.
Kwa kawaida unaweza kuzuia “Last Seen” isionekane iwe inaonekana kwa marafiki zako tu; unaweza kuchagua iwe inaonekana kwa watu wote; au unaweza kuchagua isionekane kwa mtu yoyote.
Mabadiliko...
WhatsApp imetoa app mpya kwa watumiaji wote wa Windows. App mpya ya WhatsApp imebadilishwa UWP (Universal Windows App) yote ili kuendana na Windows 11 na Acrylic graphics Effects mpya za Windows.
Kwa sababu inatumia mfumo mpya, Inafunguka faster sana (chini ya sekunde 2); ina maboresho ya...
Mfumo wa End-to-end encryption unazuia WhatsApp, mitandao ya simu na kampuni za Internet kuona kinachoendelea katika mazungumzo, messages na files. Lakini hapo mwanzo mfumo huo ulikwepo katika chats na calls za WhatsApp tu. Wahuni na hackers wakitaka kuchunguza chats zako walikuwa wanatafuta...
Hivi karibuni facebook walitangaza kuwa watabadili jina.
Leo wametangaza jina lao jipya kuwa ni Meta.
Meta ilikuwa initiative ya mke wa Mark, leo Facebook imebadili jina na kujiita Meta. Nguvu ya mapenzi hii.
Karibu meta.
---
Facebook has changed its corporate name to Meta as part of a...
They are doing it again!
WhatsApp moja ya mitandao maarufu duniani ya kijamii, kuanzia jumatatu ijayo ya tarehe 1 November itasitisha kutumika kwake kwenye baadhi ya simu za iPhone na zimu za Android.
Simu zote za Android zenye toleo la OS 4.0.4 hazitaweza kutumia WhatsApp ikiwa ni pamoja na...
MAELFU Ya watu duniani wanatumia mtandao maarufu wa WhatsApp kuwasiliana na ndugu, jamaa na watu wao wa karibu kwa meseji na video lakini watu wengi watashindwa kuitumia huduma hiyo kutokana na mifumo ya simu zao kuanzia mwezi Novemba mwaka huu.
Kwa mujibu wa ripoti zilizotolewa na chapisho la...
2021 is about to end in the next three months and that means there is another cycle of WhatsApp ending support for some Android smartphones and iPhones.
WhatsApp has shared a list of devices that will no longer support the WhatsApp messaging app starting November 1, 2021.
In general, these...
Mtandao wa WhatsApp unao milikiwa na kampuni ya facebook unafanya maboresho kwenye ujumbe sauti yaani voice notes.
Awali mtandao huo ulikuwa unalazimika mtumiaji kurudi kwenye Application yake endapo akitumiwa ujumbe wa sauti.
Hivyo mwanzo ukitumiwa ujumbe wa sauti endapo haupo kwenye...
Tatizo lililo kumba kampuni ya facebook
Je, tatizo lilikuwa lipi?
Kwa ufupi, mifumo ya facebook ilishindwa kuwasiliana na mtandao duniani.
'Ni kama ambaye kuna mtu aliyeaathiri nyaya za kampuni hiyo katika kituo kikuu cha kutoa data na kuzitengenisha na intaneti' , ilielezea kampuni ya miundo...
Msemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana kwa huduma ya mawasiliano ya mitandao hiyo.
Huduma za mitandao hiyo zilikwama kwa saa kadhaa tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.