.........Kazi iendelee. Wadau mimi ni mfanyabiashara, kwenye simu yangu ya mkononi nimetunza namba takribani 300.
Kati ya hizo Kuna wateja zangu, ndugu zangu, jamaa na marafiki na bila kusahau wadau wa unywaji na michepuko kadhaa.
Hapo kwenye wateja zangu Kuna aina tofauti za watu. Mosi, Kuna...
WhatsApp GB si rahisi kuipakua.
Inahitaji proffessional.
Anaetumia Whatsapp ya kawaida kasheshe kwake ni pale anafuta kitu cha aibu huku wenye GB Whatsapp haifutiki patamu hapa.
Feature ipi nyingine wadau tupia hapa
Watumiaji wengi wa mtandao wa WhatsApp wameripoti kushindwa kutuma wala kupokea ujumbe wowote asubuhi hii.
Kwa mujibu wa Downdetector, zaidi ya watu 12000 wameripoti uwepo wa tatizo hili hadi kufikia mida ya saa 4:30 asubuhi.
Hata hivyo, hakuna taarifa yoyote rasmi iliyotolewa na Kampuni ya...
Hello watu kazi.
Naombeni msaada nawezaje kufanya group call ya WhatsApp kwa participants zaidi 30? Nina group kubwa la wajasiriamali sometimes tunahitaji kufanya mjadala, tunashindwa kwa sababu ya limit ya paricipants
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amewaapisha Mahakimu Wakazi wapya 20 na kuwapa angalizo kuhusu matumizi ya mitandao na marafiki wanaowazunguka
Prof. Juma ametoa wito huo leo Jumamosi, tarehe 16 Julai 2022, akiwaapisha mahakimu wakazi wapya 20 Jijini Dar es Salaam.
Amesema: “Ni wakati...
Habari,
Wadau naomba mwenye elimu ya kuzuia message zisionekane kwenye group maana nina group nyingi sana mpaka za kanisa lakini ni fujo nyingi sana nataka kuzuia popup kama kuna new message ili nisifungue nafanyeje au kufuta kabla kufunga au kublock nisipate message kwa group A au B.
Msaada...
1. Safari ya Bulicheka.
2. Tajiri wa Babeli.
Nicheki whatsapp.
Vingine vingi.
Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies, za vitabu hivi. Tunakutumia kwa whatsapp. 0715278384 Pia kuna bonasi ya vitabu kama nane. Hardcopy kipo kitabu kimoja cha Tajiri wa Babeli(12,000). List ya vitabu vyote...
Ni mara chache sana mtu atapost facebook na instagram, inaweza kuwa mara 1 kwa mwezi lakini huku status za whatsapp mtu anaweza kupost kila siku maana hata watu wanaoziona ni wale aliowasevu na anaweza kuwachuja zaidi, pia hata watu watao like ama ku comment ni siri yake sio wazi wazi.
Mtu...
Ni kama ugonjwa wa Uviko-19 umeanza kusahaulika miongoni mwa Watanzania na hivyo watu hawaoni tena haja ya kuchanja chanjo kujikinga na mafua hayo makali, jambo ambalo si kweli.
Kwa maneno mengine unaweza kusema kuwa watu wanachukulia poa ilihali maisha ya watu yanapotea.
Wapo wanaosikika...
TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi.
=====
DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
Habari wakuu wa jf, niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nimekua nikitumia whatsapp ya blustack kwenye laptop yangu, sasa shida imeanza juzi hapo nilipofungua whatsapp hii ya blustack na kushindwa kuona majina ya namba nilizosave na sijajua shida ni nini ebu wakuu nisaidieni hapo...
Umoja wa Mataifa (UN) kupitia ukurasa wake wa twitter wameutaja mtandao wa kijamii wa WhatsApp kama njia rahisi ya kusambaza taarifa zisizo sahihi.
Wameandika ujumbe kupitia WhatsApp huweza kuonekana kama umetoka kwa mtu wa karibu. Wamesema ni muhimu kuhakiki ujumbe kabla ya kuutuma kwa...
Kampuni ya meta iko mbioni kushusha whatsapp yenye menu za kiswahili ili kueleweka zaidi wa jamii ya watumiaji wa kiswahili.
Kiswahili cha kenya ndicho kitatumika maana kenya ndio inajulikana kwa kiswahili.
Ila mimi sijawahi penda kutumia kiswahili kwenye apps au social media au hata menu za...
Habari ni majanga kidogo nimepata kwa sasa sina simu ya smart na whasapp ya pc inataka uscan je nijinsi gani nitaweza kuitumia kwa kusajili namba moja kwa moja.
Ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.