Je wewe ni muhanga wa kufungiwa kutumia Whatsapp Kwenye simu yako na kila ukijiunga Whatsapp lazima upigwe ban ? Unafanyaje kujiondoa?
Wengi wanajiuliza inakuwaje imenitokea hii inakutokea kwa sababu umevunja sheria na taratibu za Whatsapp ndo maana umefungiwa namba yako kutumia Whatsapp.
Kuna...
Great Thinkers,
Naomba kufahamu, je mamlaka yetu nchini inaweza kusoma jumbe za whatsapp? Na je zinaweza pia soma texts za sms za kawaida kwenye simu za iPhone?
Asanteni.
Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira ndo Hana mpaka anatia huzuni Sasa mtoto wa jirani yangu aliishia form four alifeli akawa haeleweki tu sasa juzi kati kwenye story mbili tatu na jirani yangu...
Hii ni hatari sana maisha yamebaka vibaya na ninachosshuhudia kwenye group la mshkaji anayetarajia kuoa hivi karibuni huwez aamini.
Wadau wanachanga kwa kwenda mbele. Yaani ni mwendo wa kupunguza na kutoa ahadi mm ni kama siamini.
Hapa ndio pale ninapoamini watu tunatofautiana. Watu wanakazi...
WhatsApp imesema haitaweza kupunguza au kulegeza masharti yake ya usalama wa faragha ya watumiaji wa mtandao huo hata kama watatakiwa kufanya hivyo katika Muswada wa Sheria ya Usalama Mtandaoni.
Ujumbe wanaotumiana watumiaji wa WhatsApp unabaki kati yao na hakuna upande unaoruhusiwa kuona...
WhatsApp itaweka mabadiliko ambayo kila mtumiaji alikuwa anatamani kuona sehemu hii mpya inawekwa.
Kwa kawaida WhatsApp haina sehemu ya ku-edit message baada ya kuitumia. Mtu akikosea kuituma analazimika kuifuta message na kuandika upya. WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya...
Story iko hivi....
Nilikua na mpenzi wangu ambae tulidumu kwenye mahusiano kwa takribani miezi 6 lakini tulipishana tu Kiswahili kdg tu na nilijaribu kuzungumza nae lakini nikaona kama mwenzangu bado kanuna flani na wakati tunazungumza mimi nilikua nimesafiri kikazi kwa muda wa mwezi mmoja so...
Kampuni ya Meta ambayo inamiliki mitandao hiyo imebainisha kuwa watumiaji wenye Tiki ya Bluu watalazimika kulipa Dola 11.99 (£9.96) kwa mwezi au Dola 14.99 kwa watumiaji wa iPhone
Huduma hiyo itaanza kupatikana wiki hii kwa wateja wao wa Australia na New Zealand ambapo Mtendaji Mkuu wa Meta...
Tume ya Kulinda Data ya Ireland (DPC) imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini Ukiukaji wa Majukumu yake na Kutoweka Wazi Matumizi ya Taarifa Binafsi inazokusanya kutoka kwa Watumiaji wake.
DPC ambayo inafanya kazi kama Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Umoja wa Ulaya, imeitaka WhatsApp kujitathmini jinsi...
Naamini Kamarada (Comrade) wangu Hussein Msemaji wa Singida Big Stars FC yuko (tunae 24/7) hapa Mjengoni JamiiForums hivyo atalifafanua hili na kuliweka sawa kwani Binafsi kama GENTAMYCINE ninavyojua Watendaji wote wa Klabu hii ni Wasomi na Watu makini hawezi kuwa na Mapungufu haya...
Moja kwa moja kwenye mada.
Whatsap wamekuwa na tabia ya kupiga accounts zangu za Whatsapp ban pasinakuwa na sababu za msingi.
Zamani nilikua nmezoea kutumia GB WhatsApp na FM Whatsapp kwa sababu ya features zake lakini baada ya kupigwa ban mara kwa mara nikaachana nazo nikawa natumia Whatsapp...
Whatsapp Chats, Voice notes, Video calls na Calls za kawaida unazoweza kufanya kupitia Whatsapp ,Je huhifadhiwa katika server za Whatsapp?
Na kama nikitaka kufanya backup ya chats, voice notes, video calls na calls za kawaida inawezekana?
Chief-Mkwawa
Kila mwaka WhatsApp inajifuta simu za zamani ambazo haziwezi kuwa na uwezo wa kufanya kazi na kupata app ya WhatsApp. Hii ni kwa sababu kila muda WhatsApp inaweka mabadiliko mapya na baadhi ya mabadiliko yanahitaji simu yenye nguvu ili kuwa na uwezo wa kufanya kazi bila kusumbua na kupata...
Aisha ana wapenzi wawili, Moja wao ni Ally na huyu ndie boyfirend wake wa tangu kitambo na anampa penzi moto moto.
Wapili ni Jose, Kijana flani yupo Taasisi flani nzito ama mfanya biashara mwenye mkwanja mrefu, kijana wa totoz, Aisha yupo kwajili ya kukusanya mtaji tu hapo, siku akiachwa awe...
Yani kuna baadhi ya marafiki zangu huwa nawashangaa, wanaweka status za biashara utadhani sisi ni wateja wao.
Nina rafiki kila siku anaweka status za chupi, mwengine kila siku anaposti status za oili za pikipiki, mwengine tray za mayai, mwengine simu, n.k. huwa inafika mahali sasa natamani hata...
Kuanzia November 16; taarifa za watumiaji hao zimevuja na zinauzwa mtandaoni. Taarifa hizi zikiwemo namba za simu, majina (kwa wanaoweka majina yao kwenye akaunti zao) na profile picture zimekusanywa na kuuzwa kwenye Dark Markets.
Hakuna chats zilizovuja; data zinazouzwa ni namba za simu za...
Huduma ni pamoja na kujua kuzichanga karata!
Cha msingi lengo ni huduma bora!
Dakitali mzuri ni yule anaepambana OP room halafu akitoka inje anarudi na jibu la kueleweka kwamba mgonjwa kafa au kapona!
Lakini dakitali anaetoka O.P room kila muda kuongea na ndugu kwamba mgonjwa kapiga chafya...
Eti wakuu sana. Hii kitu whatsapp community ni kitu gani. Nimeona tu ni supergroup ambalo unaweza kuadd magroup hadi 50. Na whatsapp wanataka kuweka limit ya watu 1024 kwa group. Maana yake hili super group linaweza chukua watu 50,000+ ni nini hasa hii kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.