wife

A wife is a female partner in a continuing marital relationship.
The term continues to be applied to a woman who has separated from her partner, and ceases to be applied to such a woman only when her marriage has come to an end, following a legally recognized divorce or the death of her spouse. On the death of her partner, a wife is referred to as a widow, but not after she is divorced from her partner.
The rights and obligations of a wife in relation to her partner and her status in the community and in law vary between cultures and have varied over time.

View More On Wikipedia.org
  1. OKW BOBAN SUNZU

    Nimempiga mke wangu milioni 2 kizembe sana

    Kwa ufupi sana. Kuna wakati wife alipata changamoto ya kiafya. Matibabu yalikuwa gharama kidogo kutokana na safari za hapa na pale. Kuna wakati akiba ikakata ikabidi nijikopeshe kupitia vyanzo vingine. Siku moja nikachukua kadi na kuchungulia akaunti yake nikakuta ina milioni saba imetulia...
  2. kataip

    Ushauri unahitajika: Ana 26 anataka kuwa mke wa pili

    Hope wazima. Binti kapata kijana wa 45 muajiriwa ana mke mjamzito na watoto 3 anamjali kwa material yeye, wazazi na ndugu zake shida zao wanatatuliwa. Yeye ni ps kwa private sector mshahara wake hauzidi laki 2 na yupo tayari kuacha kazi. Anampa muda kuliko mke na watoto na kamuahidi...
  3. Imalamawazo

    Msaada nataka kumbadilishia mazoea

    Ma legends, Nimepata changamoto ya kusafiri na huyu wife material! Changamoto ninayopitia ni kuwa kila tukianza safari ya utalii wa ndani, huwa tunaanza kwa pamoja, kanda ya kaskazini. Tunapotoka kanda ya kaskazini mimi huwa niweke pozi kanda ya ziwa. Hapo nitakaa muda kadhaa nikirukaruka...
  4. M

    7 African countries that you can find good Wife materials Women.,..

    Source: African countries to find most beautiful women and good wives - Afrinik There are a lot of young individuals in Africa, both male and female. There are many stunning women in the black continent who would make wonderful wives. But where can we discover the most attractive spouses and...
  5. S

    Fact: Wanawake wanene ndiyo wife materials. Japo siyo sweet on bed

    Kwa kazi zangu za ukungwi nimechunguza na kujiridhisha kwamba 95% ya wanawake wanene ndiyo wenye tabia na mwenendo mzuri ktk ndoa zao. Hii imewekwa makusudi na mwenyezi Mungu kama njia ya kuziba mapungufu yao. Kwasabb wanawake wanene asilimia kubwa ni:- *wavivu wa kunyanduana, *hawana ashki...
  6. I

    Natafuta future wife

    Hbr za leo Wana jforum!! Natafuta mke,awe Elimu;diploma and above Umri:miaka 34 au chini Dini.mkristo Kabila: lolote Nb akiwa na watoto au mgumba ni sifa nyongeza!! Sifa zangu Mi Nina watoto wawili mwajiriwa serikalini Miaka 35 Dini;mkristo
  7. K

    Hivi mkeo wa ndoa anapokublock kwenye simu anakua na maana gani?

    Kwema waheshimiwa? Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani? NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
  8. Ushimen

    Baada ya ugomvi na wife, hiki ndicho nilicho kifanya ili mapenzi

    Sababu kubwa ya ugomvi ni baada ya kutoka shambani, nikapitiliza kilabuni. Nimerudi nipo bwax nikakuta amenuna. Kwakua alikua hajakula niliamua nimuandalie roast samaki, chips, kachumbari ili ashushie na juice ya matunda mchanganyiko. Hapa kaisha maliza kula wakuu, ngoja nitoe vyombo...
  9. K

    Wife kanuna baada ya kuona hizi picha zangu nikicheza kwenye harusi ya jamaa yangu

    Last week jamaa angu alikua anaoa,so kwenye sherehe nikachapa tungi sana then nikakamatia mtoto flani wa kike nikaruka nae debe sana, kumbe mle ukumbini wife alikua na makachero wake ambao walimtumia picha za kila tukio nililofanya. So baada ya kuona picha zangu nimekamatia kiuno cha mtoto wa...
  10. Taured

    Wife Material akuje!

    Nahitaji mdada aliye siriasi kabisa na mahitaji ya kuwa mke wa mtu: Sifa zangu: Miaka 40 Elimu : shahada ya kwanza Dini : mkristo ( mkatoliki) Kazi : mtumishi wa umma pia mjasiriamali Location : Dar Es salaam Mchumba awe angalau na sifa hizi 1. Awe mkristo ispokuwa msabatho 2. Umri kuanzia...
  11. kyagata

    Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

    Kwema wazee? Tuko ukweni huku msibani, wife kafiwa na babu yake. Ila hapa msibani pameshanishinda na natamani kurudi zangu kwangu, yaani wife ni kama hanijui vile, hajui nimekula au sijala, toka nije hii siku ya tatu sijaoga wala kubadilisha nguo, hajui nalala wapi na yeye ananiangalia tu. Ila...
  12. Sky Eclat

    Does Russia's Vladimir Putin have a wife and kids? Everything you need to know

    Russia's president Vladimir Putin was married to former flight attendant and they share two daughters together. Vladimir Putin tends to keep his personal life away from the spotlight which means not much is known about him, aside from his political life. The 69yrs old President of Russia was...
  13. K

    Wife kaninunia kisa hiki

    Habari wakuu Wiki iliyopita wife alipata dharura kidogo akaenda kwao kwa ajili ya issue za kifamilia. Sasa huku nyuma aliniacha mimi nikiwa na nywele sehemu za siri nyingi balaa. Nikaona isiwe tabu alivyoondoka nikajifanyia usafi nikajinyoa mwenyewe (ikumbukwe wife huwa anapenda kuninyoa...
  14. K

    Nimemuambia wife awe anasuka style hii ya nywele ili ku-save cost, kaishia kunisunya na kunibinulia midomo

    Kwema ndugu zangu watanganyika? Kutokana na mimi kupitia changamoto za kifedha kwa sasa, nilimuomba Wife tupunguze gharama za uendeshaji wa maisha yetu kwa kujibana sana, pendekezo langu la kwanza nilipendekeza Wife anyoe nywele zake alizosuka, akajitetea kwamba nywele zake katumia karibia miaka...
  15. K

    Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

    Wakuu Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa, ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja. Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba. Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu. Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
  16. kyagata

    Wife anataka kunigeuza sex machine

    Oya, hivi kwa week inatakiwa kugegedana mara ngapi coz naona wife anataka kunifanya kuwa sex machine yake? Yaani kila akigeuka tu anataka mpini hajui kuwa me nakuwa nimechoka sometimes. Nifanyaje ili kumpunguza speed?
  17. Sky Eclat

    Josephine de Beaurhunais the first Napoleon wife, they got married in 1796

    Joséphine, Empress of France Joséphine de Beauharnais was the first wife of Napoléon I. Married previously to Alexandre de Beauharnais, who was executed during the French Revolution, she and Napoléon were wed in 1796. She had two children from her first marriage, but was unable to provide...
  18. K

    Wife hanijali mimi kabisa wala lolote ninalofanya

    Kwema wakuu? Nilikua nimekaa mahali ninakula msosi, kuna jirani yangu pembeni akawa anaongea na mkewe kwenye simu. Ebana wanavyoongea hadi raha yani. Mkewe anamuuliza jamaa siku yake imeendaje, anamuuliza anakula nini na pia amemsisitiza jamaa awahi kurudi home jion. Kwa upande wangu...
  19. Digging deeper

    Unamfahamuje wife material?

    Habari wanabodi wa MMU, Hivi ni kigezo gani wanaume wanakitumia kusema huyu mwanamke ni wife material?
Back
Top Bottom