Habarini,
Leo tena Afisa Uhamiaji kaendeleza unyanyasaji wake kwa maelekezo ya DC wa Maswa kwa kutuma askari wa uhamiaji kwenda kumkamata raia mkazi wa Malampaka Wilaya ya Maswa kwa kile anachodai siyo raia wa Tanzania ingawa chanzo chake ni kuwepo mgogoro wa ardhi baina ya Baraka Kabezi na...