Wapenzi wa Rumba zito na tam la Franco Lwambo Makiad njoo mnikumbushe jina la wimbo anaoimbaga mwishon anamalizia "OMA" sijui jina la huu wimbo, yaani huwa nauskia tu watu wanaskiliza na kuburudika. Anaejua jina la huo wimbo naomba anikumbushe nidownload.
Karibuni
Tulipokua shule tulifundishwa kwamba wimbo wa taifa unapigwa tu pale kuna tukio maalumu.
Sasa kuna kituo cha radio kila siku asubuhi kinapiga.
Je, ni kila radio inaruhusiwa kufanya hivo
Heshima kwenu wakuu.
Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia.
Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...?
NAWASILISHA.
Naomba ewe Mwana Simba SC ingia upesi YouTube na utafute huo Wimbo wa "Acquitte' kisha tushee pamoja Maumivu ya Kuukosa Ubingwa wa NBC Mwaka huu na Tusi zito la Nguoni lililoanza na Neno Kolo (tulilopewa na Haji Manara) kisha kwa umakini wako kabisa lisikilize hilo Neno la Pili baada ya Neno...
kuna promoter wa muziki ana mtafuta please anae jua details zake afunguke hapa.
anyways: huyu kwenye hii video sio bi zuhura shaabani, huyu anaitwa bi samra alifanya cover ya wimbo na hapo ilikuwa ni muscat oman.
yes am a man
i am a dj
i love music
all kind of music.
i...
Kwako mpenzi,
Najua unatembelea jamii forum mara kwa mara, Nimekutafuta sana ila sina uwezo wa kukupata ulipo ili niuwakilishe huu wimbo live kwako.
Mimi kwangu nimeona hapa ndio mahali sahihi pakuweza kufikisha ujumbe wangu kwako kwa gharama ndogo.
Ahsante
Jina la wimbo: I called you so many...
SI ZAIDI KATIKA HISTORIA YA MUUNGANO BALI NI KATIKA WIMBO HUU WA WESTERN JAZZ BAND 1964
Ilikuwa nawasha gari langu usiku nikaliegeshe kwa walinzi mtaa wa pili.
Gari limewaka na radio inasema.
Nimeshtuka naisikia sauti ya rafiki yangu Juma Mnonji anahojiwa kuhusu maisha ya Ahmed Kipande Band...
SI ZAIDI KATIKA HISTORIA YA MUUNGANO BALI NI KATIKA WIMBO HUU WA WESTERN JAZZ BAND 1964
Ilikuwa nawasha gari langu usiku nikaliegeshe kwa walinzi mtaa wa pili.
Gari limewaka na radio inasema.
Nimeshtuka naisikia sauti ya rafiki yangu Juma Mnonji anahojiwa kuhusu maisha ya Ahmed Kipande...
Mamlaka ya wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeufungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz na Zuchu unaoitwa "Watasubiri Sana' baada ya kupata taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuwa wimbo na video hiyo inaleta ukakasi kwa waumini wa dini na dhehebu fulani.
Wimbo huo unafungiwa...
Kwakweli mama anastahili pongezi kwa kazi kubwa anayofanya ya kuifungua hii nchi na haya ndio malipo yake.
Mama amefungua mipaka.
Wawekezaji wameanza kumiminika.
Mikataba ya Trillioni za pesa inasainiwa.
Na mengine mengi tutazidi kuyaona.
Mwanamziki wa Bongo fleva Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpozi hivi karibu ameachia song lake la Umeniweza baada yakukaa kwa muda mrefu bila kuachia anysong wimbo wake kiukweli ni mzuri kuanzia beat, melody hadi mashairi lakini umeshindwa kutoboa au kuhit kabisa shida ni nini?
Kwa upande wa mziki wa bongo flavor huu wimbo unaweza ukawa wimbo bora.
Ni wimbo uliotulia kuanzia uimbaji hadi mapigo.Mwimbaji Amejaribu kubadilisha uimbaji tuliouzoea wa kwaya yaani mashairi na kiitikio na pia mapigo siyo kama ya miziki ya dance ya twanga pepeta.Ni mapigo ya aina yake ya...
Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili kutoka Nigeria aitwaye Sis Osinachi Nwachukwu maarufu kwa wimbo wake “Ekwueme” amefariki dunia.
Osinachi alishirikishwa na Prospa Ochimana katika wimbo huo, amefikwa na mauti jioni ya Aprili 8, 2022, hii baada ya kupambana na ugonjwa usiojulikana kwa takriban...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.