wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. Njoo unisaidie jina la wimbo wa Franco Lwambo nidownload ili niburudike

    Wapenzi wa Rumba zito na tam la Franco Lwambo Makiad njoo mnikumbushe jina la wimbo anaoimbaga mwishon anamalizia "OMA" sijui jina la huu wimbo, yaani huwa nauskia tu watu wanaskiliza na kuburudika. Anaejua jina la huo wimbo naomba anikumbushe nidownload. Karibuni
  2. N

    Je, kila redio inaruhusiwa kupiga Wimbo wa Taifa?

    Tulipokua shule tulifundishwa kwamba wimbo wa taifa unapigwa tu pale kuna tukio maalumu. Sasa kuna kituo cha radio kila siku asubuhi kinapiga. Je, ni kila radio inaruhusiwa kufanya hivo
  3. Audio Tunatumia Shazam Kuutambua Wimbo, Vipi kwa Video Ambayo Huijui Unatumia App Gani?

    Heshima kwenu wakuu. Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia. Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...? NAWASILISHA.
  4. Huyu Koffi Olomide wana Simba SC tumemkosea nini hadi Kututusi Tusi la Nguoni katika Wimbo wake mpya wa Acquitte?

    Naomba ewe Mwana Simba SC ingia upesi YouTube na utafute huo Wimbo wa "Acquitte' kisha tushee pamoja Maumivu ya Kuukosa Ubingwa wa NBC Mwaka huu na Tusi zito la Nguoni lililoanza na Neno Kolo (tulilopewa na Haji Manara) kisha kwa umakini wako kabisa lisikilize hilo Neno la Pili baada ya Neno...
  5. Huu hapa ule wimbo unaoutafuta, NDO HUYO HUYO

    PM nimepokea maombi Kama 300 watu wakitaka link ya wimbo mpya wa taifa. Ndo HUYO HUYO by Sir Jay, enjoy.
  6. Wimbo huu nautafuta sana, unaitwaje?

    Anaejua jina lake na msanii aliyeimba aniambie unaitwaje?! Maana nimehangaika sana bila mafanikio
  7. Naombeni huu wimbo

    Huu wimbo nimeupata ukiwa hivi nusu nahitaji wote, Tafadhali mwenye nao Naomba anisaidie hapa. Shukrani kwa atakaenisaidia
  8. B

    Yupo wapi Zuhura Shaabani aliyeimba wimbo "Hakuna Tenda, Hakuna Buzi"?

    kuna promoter wa muziki ana mtafuta please anae jua details zake afunguke hapa. anyways: huyu kwenye hii video sio bi zuhura shaabani, huyu anaitwa bi samra alifanya cover ya wimbo na hapo ilikuwa ni muscat oman. yes am a man i am a dj i love music all kind of music. i...
  9. Wimbo bora wa mwaka 2022

  10. Wimbo huu nautafuta sana, unaitwaje?

    Anaejua jina lake na msanii aliyeimba aniambie unaitwaje?! Maana nimehangaika sana bila mafanikio
  11. E

    Huu wimbo ni kwaajili ya mtu ninayempenda hapa tafadhali pokea

    Kwako mpenzi, Najua unatembelea jamii forum mara kwa mara, Nimekutafuta sana ila sina uwezo wa kukupata ulipo ili niuwakilishe huu wimbo live kwako. Mimi kwangu nimeona hapa ndio mahali sahihi pakuweza kufikisha ujumbe wangu kwako kwa gharama ndogo. Ahsante Jina la wimbo: I called you so many...
  12. Si zaidi katika historia ya muungano bali ni katika wimbo huu wa Western Jazz

    SI ZAIDI KATIKA HISTORIA YA MUUNGANO BALI NI KATIKA WIMBO HUU WA WESTERN JAZZ BAND 1964 Ilikuwa nawasha gari langu usiku nikaliegeshe kwa walinzi mtaa wa pili. Gari limewaka na radio inasema. Nimeshtuka naisikia sauti ya rafiki yangu Juma Mnonji anahojiwa kuhusu maisha ya Ahmed Kipande Band...
  13. Si zaidi katika historia ya muungano bali ni katika wimbo huu wa Western Jazz Band

    SI ZAIDI KATIKA HISTORIA YA MUUNGANO BALI NI KATIKA WIMBO HUU WA WESTERN JAZZ BAND 1964 Ilikuwa nawasha gari langu usiku nikaliegeshe kwa walinzi mtaa wa pili. Gari limewaka na radio inasema. Nimeshtuka naisikia sauti ya rafiki yangu Juma Mnonji anahojiwa kuhusu maisha ya Ahmed Kipande...
  14. K

    Wimbo wa Taifa uwe huu

    Kwasasa Tanzania, zimbabwe na South African tuna nyimbo inafanana🤔
  15. TCRA, BASATA zafungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz ft Zuchu - "Watasubiri Sana"

    Mamlaka ya wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeufungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz na Zuchu unaoitwa "Watasubiri Sana' baada ya kupata taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuwa wimbo na video hiyo inaleta ukakasi kwa waumini wa dini na dhehebu fulani. Wimbo huo unafungiwa...
  16. Wimbo wa kumsifu rais Samia

    Kwakweli mama anastahili pongezi kwa kazi kubwa anayofanya ya kuifungua hii nchi na haya ndio malipo yake. Mama amefungua mipaka. Wawekezaji wameanza kumiminika. Mikataba ya Trillioni za pesa inasainiwa. Na mengine mengi tutazidi kuyaona.
  17. H

    Kwanini Wimbo "Umeniweza" wa Ommy Dimpozi umefeli japo ni mzuri sana

    Mwanamziki wa Bongo fleva Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpozi hivi karibu ameachia song lake la Umeniweza baada yakukaa kwa muda mrefu bila kuachia anysong wimbo wake kiukweli ni mzuri kuanzia beat, melody hadi mashairi lakini umeshindwa kutoboa au kuhit kabisa shida ni nini?
  18. H

    'Nikilewa sitaki nigasiwe' unaweza ukawa wimbo bora wa mwaka 2021,2022.

    Kwa upande wa mziki wa bongo flavor huu wimbo unaweza ukawa wimbo bora. Ni wimbo uliotulia kuanzia uimbaji hadi mapigo.Mwimbaji Amejaribu kubadilisha uimbaji tuliouzoea wa kwaya yaani mashairi na kiitikio na pia mapigo siyo kama ya miziki ya dance ya twanga pepeta.Ni mapigo ya aina yake ya...
  19. Hawa vijana unaweza fikiri sio watanzania kwa wimbo huu bora kabisa wa kumuenzi Nyerere - Dear Nyerere

    Hongera sana kwao! Miaka mia ya Nyerere imechagizwa vyema kabisa na wimbo huu, napenda kulifahamu zaidi kundi hili.
  20. TANZIA Nigeria: Sis Osinachi Nwachukwu aliyeshirikishwa wimbo wa ‘Ekwueme’ afariki dunia

    Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili kutoka Nigeria aitwaye Sis Osinachi Nwachukwu maarufu kwa wimbo wake “Ekwueme” amefariki dunia. Osinachi alishirikishwa na Prospa Ochimana katika wimbo huo, amefikwa na mauti jioni ya Aprili 8, 2022, hii baada ya kupambana na ugonjwa usiojulikana kwa takriban...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…