Utangulizi.
Serikali kupitia wizara ya afya imezindua sera ya kujitolea katika sekta ya afya. Utaratibu huu utawahusu wahitimu wa ngazi mbalimbali (astashahada, stashada, shahada nk) na fani mbalimbali za afya kama vile madaktari, wauguzi, wafamasia, wataalamu wa maabara n.k. Watakaopata nafasi...