Ripoti ya Wizara ya Fedha na Mipango kuhusu utekelezaji wa Serikali ya Awamu ya Tano katika Sekta mbalimbali inaonesha kuwa kumekuwa na ongezeko la asilimia 32 ya idadi ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya msingi mwaka 2020 ukilinganisha na hali ilivyokuwa miaka mitano iliyopita, huku idadi ya...