Habari wana JF
Kuna wizi mpya wa vifaa vya magari naona umekithiri sana huko maeneo ya Goba, Mbezi, Temeke watu wanaibiwa sana vifaa naomba Ma RC , POLISI N.K walishugulikie hili swala wezi wanajulikana n wanaonunua hivo vifaa vya wizi wanajulikanaa...
Niende Moja kwa Moja kwenye Hoja.
Baada ya tarehe mbili Mwezi huu Aprili kupewa onyo juu ya bei ya mabando, hawa watu halotel waliweka Gharama walizodai ni za kawaida accordingly kwa wao kuzingatia waliyoiweka ndio bei kabla ya offer. Mh Rais Alivyoendelea kuwaonya HALOTEL walirejea kama...
Wakati Waziri Mkuu akiahirisha Bunge baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, Spika Ndugai ameongelea suala la uaminifu wa watanzania hasa kwa vijana na kudai wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamika. Ndugai amesema mtu anaeanzisha mradi atajikuta tu amefilisika asipokuwa makini.
'' Mtu akianzisha labda...
Huenda mwendazake alifikiri ukali na vitisho ni silaha ya kunyamazisha wizi au kumaliza wezi, lakini kiukweli wizi ni roho.
Wizi ni kama Madawa ya kulevya. Mbwia Madawa akikosa Madawa yuko tayari kufanya lolote kutimiza kiu (desire) yake.
Kile kiu ni ile Nguvu ya spirit (roho chafu iliyomo...
Hello JF,
Moja kwa moja kwenye bandiko
Mimi ni mmoja wa wamiliki wa Duka la Jumla kiukweli hi biashara inalipa sana hasa inalipa faida ya milion 1.5 kwa mwezi kabla ya kutoa malipo ya wafanyakazi na Kodi ya pango nabaki na 600k au 700k Kama faida, kwa Duka moja.
Hivyo kutokana na biashara...
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Musa Assad amesema ubadhirifu unaotokea kwenye baadhi ya wizara huwa hauna maelezo zaidi ya kusema 'Ni maamuzi ya Baraza'
Amesema suala hilo linafanya kuwepo kwa mianya ya rushwa na matumizi mabaya ya mali za umma, hivyo ni vizuri kuwa na...
Ndugu wana jamii
Wizi serikalini na katika mashirika ya umma ni tatizo sugu. Tatizo hili lipo miaka nenda miaka rudi. Tatizo hili ni shida sana kulitatuwa kwasabu ni tatizo lililomo kwenye damu ya watendaji.
Ikiwa kazi ya CAG ni kutowa ripoti kila mwaka juu ya wizi ulifanyika kila mwaka jana...
Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana?
Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika.
Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA...
Mtakumbuka mwaka 2019 waziri Mkuu Kasim Majaliwa aliibua wizi mkubwa wilayani Iramba mkoani Singida. Waziri Mkuu katika ziara yake aliwaambia wanainchi kuwa serikali ilitenga mabilioni ya fedha kwa ujenz wa vituo vya Afya kote nchini.
Alisema ktk wilaya ya Iramba zaidi ya Tsh million 400...
TAHADHARI: Video huenda 'ikakusumbua akili'
Idara ya upelelezi nchini Kenya DCI imemkamata Swabir Abdulrazak Mohammed, mwanaume aliyenakiliwa kwenye video akimpiga mshukiwa wa wizi jijini Mombasa.
Swabir, ambaye ni mlinzi katika kiwanda cha Ajab Unga alirekodiwa akimpiga mshukiwa huyo huku...
Kuanzia aprii 1, 2021 Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania(TIRA) imewatangazia wamiliki wa vyombo vya moto kuwa ulipiaji wa bima hautakuwa na utoaji wa stika za kubandika kama ilivyokuwa
Badala ya Stika za kubandika mteja atapewa namba ya kielekroniki ya stika. Hatua hii imefikiwa kutokana na...
Kumekuwa na ongezeko la wimbi la wizi wa magari hasa jijini DAR ES SALAAM.
Kwenye groups za WhatsApp hazipiti siku kadhaa linaletwa tangazo kuwa Kuna gari limeibiwa.
Magari ambayo yamekuwa yakiibiwa zaidi Ni TOYOTA IST na mengine yenye injini za 1NZ na 2NZ.
Hapa ni baadhi ya mbinu zitumiwazo...
Toa maoni yako hapa,
Jambo gani lifanyike ili kudhibiti wizi wa Mali na fedha za serikali?
Je, mishahara ni kidogo?
Marupurupu yaongezwe?
Unadhani ni kipi kiboreshwe ili kukomesha hali hiyo?
Wizara mbalimbali zimekuwa zikikabiliwa na matatizo kama ubadhilifu wa fedha, wizi wa kimtandao na wa kughushi na hata matishio ya kusambazwa kwa taharuki kutoka kwenye mitandao ya kijamii.
Kumekuwa na taarifa za vitendo vya udanganyifu katika Wizara ya Ardhi, nyumba na maendeleo mijini, wizi...
Timu ya ukaguzi maalumu kutoka Wizara ya Afya imegundundua ubadhirifu huo wa dawa na vifaa tiba kutoka hospitali hizo za rufaa za mikoa kwa kipindi cha miezi 18 kuanzia Kula 2019 hadi Desemba 2020. Hayo yametangazwa leo na Waziri wa Afya Dr Dorothy Gwajima wakati akitoa taarifa ya uchuguzi huo...
Kuna wizi unaendelea siku ya 3 Leo kivuko cha busisi Mwanza. Wananchi wanalipia huduma ya Choo bila receipt wala machine siku ya 3 sasa. Watu wanatoa km sadaka kanisani. Nimejaribu kuuliza kwanini hawatoi receipt wala mashine nimeambiwa ni maelekezo kutoka ofisi ya TEMESA.
Pia, nimemuuliza...
Endapo umetapeliwa au umetumiwa ujumbe wa utapeli, tuma ujumbe husika na namba ya aliyekutapeli au kukutumia ujumbe wa utapeli kwenda 15040. Huduma hii ni bure.
Tushirikiane kutokomeza utapeli kupitia simu za mikononi.
Sambaza ujumbe huu
cc @TCRA_Tz
@ConsumerCcc
Mkuu wa wilaya ya Arumeru , Jerry C. Muro ametumia saa 18 kusambaratisha mtandao wa wizi wa ng’ombe za wananchi majumbani ambapo mpaka sasa watuhumiwa 5 sugu wa wizi wa ng’ombe tayari wako mikononi mwa vyombo vya dola.
Dc Muro amelazimika kuingilia kati baada ya ng’ombe zaidi ya 13 kuibwa kwa...
Kwa kweli kwa kipindi kirefu zaidi ya miaka 2 hii laini ilibaki ya huduma ya MPESA, nilikuwa natumia Halotel, Hlotel walipoharibu kwenye spidi ya data, nikaona nijaribu Voda. Kinachofanya niandike uzi huu ni jinsi huduma zao zilivyo.
Kwanza kabla ya kujiunga na kifurushi cha siku hawasemi...
Habari za majukumu wanajamii,
Habari hii ni kupata uzoefu zaidi, kutahadharishana na kuwekana sawa wakati huu mgumu wa uchumi wa kati.
Nimekutana na matukio mawili kwa nyakati tofauti ya kuibiwa na wahudumu wanaotoa huduma ya kuweka mafuta katika kituo kimoja cha mafuta cha TOTAL kilichopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.