Habari ya asubuhi wanajamii, sasa naomba vyombo vya dola viangalie hili tatizo pale Tunduma border. kumezuka kikundi cha watu wanajiita umoja wa madriver wa IT.
Yaani gari zinazovuka mpaka wetu, hawa jamaa wanachukua eti ushuru wa shs 5000/ kila gari tena ni lazima, ukiwauliza wanasema ni...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amesema kama wataamua kuwachukulia hatua watumishi wanaojihusisha na wizi wa dawa watawafunga watumishi wote.
Amesema hayo alipokuwa katika hospitali ya Mount Meru ambapo amesema kiwango cha dawa kinachoingia...
Airtel huu unyang’anyi mnaoufanya mmetisha. Nimehamia jana tu leo mmenifukuza!!! Nimenunua jana gb22 za mwezi mzima leo naambiwa zimeisha?!! Hapana kwakweli.
Hata masaa 24 hayajaisha what a shame mnasema nimetumia internet while sijadownload chochote. Sad aisee!!! Nilishawishi watu wengi waje...
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalini wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.
Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.
NB: Katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa...
Tanesco wanazalisha umeme na kuuza kwa taasisi za Serikali. Taasisi za umma zinakusanya pesa na kuziwasilisha hazina moja kwa moja, lakini Tanesco wanakwenda kwenye taasisi za umma kukata umeme kwa sababu wameshindwa kullipa bili huku pesa za kulipa bili zikitoka hazina. Kwa bajeti ya umeme...
Jeshi la polisi mkoani Njombe linawashikilia watu watano wanaodaiwa kuhusika na mtandao wa wizi wa magari nchini ambao wamekutwa na magari Saba yanayosadikiwa kuibwa katika mikoa ya Dar es salaam, Mbeya na Singida.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Njombe, – Hamis Issah amesema wezi hao wamekuwa...
Mkuu wa polisi Njombe Hamis Issah amewaza kukamata watuhumiwa wizi wa magari pamoja na magari sita ya wizi. Kukamatwa kwa majambazi hayo ilitokana kwa kufuatilia gari moja ambalo liliibiwa Njombe na kupeleka kupatikana kwa hayo magari mengine 6.
Pongezi kwa jeshi la polisi.
Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa madai ya wizi wa dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya Tsh1.2 bilioni.
Hayo yameelezwa leo Jumatano Januari 13, 2021 na mkurugenzi mkuu wa Takukuru...
Hakuna jambo baya kama wizi wa mitihani kwani hupelekea kupata mabosi Vilaza na kutuletea tabu kwenye taifa.
Wilaya ya Kilindi ilikua ni mojawapo ya Ngome za uvujaji wa mitihani , ilifikia hatua mpaka mitihani ya MOCK ilisoviwa, wadau mbali mbali walipigia kelele suala hili Mimi binafsi...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amebaini wizi wa dawa unaofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa ambapo katika ushahidi alionao amesema kuwa Idara ya Famisia imehusika katika upotevu wa dawa za thamani ya Tsh Milioni 9.
Dkt...
Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa akizungumza mara baada ya kuwakamata watu wanne wenye hatia ya kuiba nyaya za Umeme Mkoani humo.
WAKATI Serikali ikielekeza nguvu kuhakikisha kila Mtanzania ananufaika na nishati ya umeme, mkoani Njombe watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi...
Wakuu kuna hili swali nimekua nikijiuliza, ika nikaona ni bora nipate na mawazo ya wadau kutoka humu kwa katika jukwaa hili la Great Thinker.
Hivi inawezekana mtu kufanya uhalifu(wizi) kwa kupata Account/Akaunti namba ya mteja wa Benki fulani?
Sijui nimeeleweka wakuu.
Airtel Airtel Airtel .
Huu wizi mnaotufanyia katika vifurushi sio mzuri mmefanya ndugu yangu arudi vodacom wakati alishatupa na line zao mbili.
Haiwezekani ununue 5MB za siku 7 Halafu baada ya muda mnitumie sms kuwa umetumia 90% ya 2.5GB zako.
Sasa kama Elfu 5 ni sawa na 2.5GB kwa nini...
Jana tarehe 14-12-2020 nilisafari kwa basi dogo maarufu kama Coaster kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma muda ukiwa umeenda kidogo kwa sababu nilikuwa na ratiba ngumu iliyopelekea kusafiri usiku.
Tulisfiri kwa tabu kidogo kwa sababu coaster tuliyopanda Mbezi mwisho ilipofika Morogoro ilitufaulisha...
Ukatikaji wa mawasiliano katika mtandao wa smile kwa sasa limeanza kuwa jambo la kawaida sana. Kila wakati mtandao wao unapotea hewani na hawatoagi feedback yoyote unaporudi kwa wateja wao.
Ila pia kinachokwaza ni wizi unaoendelea kwa hivi sasa. Kwa mara kadhaa umeshawahi kupotea na bundle za...
Imekuweje mbadilishe vifurushi ghafla tena bila taarifa? Hivi Watanzania mmewaona ni matajiri sana au matahira kiasi cha kufanya mnabadilisha vifurushi hovyo,fikiria kifurushi cha wiki moja chenye GB 17 cost yake ilikuwa elfu kumi na tano,sasa hv mmepunguza mpaka gb 12 kwa bei ile ile, kibaya...
Sina Shaka nyie ni Madaktari pia mliopitia mafunzo haya magumu yatakayo moyo na maamuzi magumu kuchukua fani hii.
Naomba mjitokeze na mtoe ufafanuzi kuhusu mitiani ya Madaktari wetu wanaomaliza intern kuamua kuwafanyisha mtihani tena na kwa malipo ya Tsh 150,000/= yana faida gani kwa mhusika au...
Rafiki yangu mmoja mwenye asili ya India anapata shida kupata pesa zake. Kaka yake diaspora Canada kamtumia $100,000 wanunue mabasi ya biashara ya familia.
Pesa ikaingia mwezi wa kumi alipoenda akaambiwa kwasababu ya uchaguzi wana wasiwasi hivyo pesa haitakuwepo mpaka baada ya uchaguzi. Mwezi...
Waziri wa Fedha Dkt. Mpango amesema bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma ukiwahusisha watumishi wasio waaminifu.
Dkt. Mipango amemwomba waziri mkuu awasaidie katika swala zima la kuwashughulikia viwavi hao wa Sekta ya Manunuzi ya Umma.
Chanzo: ITV habari!
Maendeleo hayana...
Mapenzi ni kitu ambacho kinafanya wapenzi kufurahia wakiwa pamoja lakini kwa sasa kumekuwepo kwa kusalitiana katika mahusiano.
Imekuwa kama kawaida mwanamke/mwanaume kuwa na mchepuko huku tayari yupo kwenye ndoa yake.
Kwa nyakati za sasa uzinifu si kitu cha ajabu tena.Wahusika wanadai kufaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.