Watu tumekaririshwa tu ukabila mbaya ukabila mbaya. Ukabila hauna ubaya wowote. Wanaopiga kelele kuwa ukabila mbaya ni wanataka watu wengi waje pamoja ili wawaibie na kuwatawala kirahisi.
Kunaanza Familia, Ukoo, kabila, taifa. Hakuna ubaya mtu kuwa mzalendo kwa familia, ukoo, au taifa lake...