yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. UMUGHAKA

    Gamondi kesho ukiendelea kusikiliza Hip Hop na kutupilia mbali wabana pua,Tabora atakuchezesha amapiano

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nadhani kama ni kushauri nimeshauri sana!,sijajua kama viongozi wangu wa timu pendwa Afrika Kwa Sasa ya Yanga huwa wanapata wasaa wa kupita huku JF na kuokota chochote kitu kutoka Kwa wadau ili kumfikisha Gamondi kichwa kigumu Yale yote tunayotaka...
  2. Thabit Madai

    Kesho Yanga hapiti mlango wa nyuma

    Yanga sio timu kubwa bali ni timu kongwe, Sisi na Yanga hatutofautiani kwakuwa wao wanalala kwenye hotel ya nyota 5 na sisi tunalala hotel ya Nyota 5, Sisi tuna Bus kubwa kuliko wao kwahiyo sisi hatuwatazami Yanga kama timu inayotuzidi sana. Yanga ni wabinafsi sana na wanataka kushinda kila...
  3. MwananchiOG

    Bodi ya Ligi mnatengeneza mazingira Simba kuchukua ubingwa, Kwanini mechi iahirishwe na wengine wafululize michezo licha ya ugumu wa ratiba?

    Inasikitisha sana kuona bodi ya Ligi inakosa uweledi kiasi hiki, Yanga imecheza michezo yake minne mfululizo bila kupumzika, tena ikisafiri hapa na pale, Pamoja na ugumu wote huo bado haikupatiwa uwanja wa Mkapa kama uwanja wa nyumbani, wala haukusikia mchezo umeahirishwa au kusogezwa mbele...
  4. Kichuguu

    Yanga imenifedhehesha sana

    kama manvyojua mimi ni Yanga ndani ya jamii ya makolo; ndugu zangu wote ni kolo tupu. Yanga ilipofungwa na Azam, ndugu zangu walinizomea sana na kudhani kama vile wao ndio wameshinda. Nikawaambia kuwa bado sisi tuna mchezo mmoja na tunaongoza ligi lakini hawakunisikiliza, yaani wao walifurahia...
  5. M

    Yanga mmetuonesha ubora wenu, nakubali hakuna timu inaweza kupishana na nyie uwanjani ikapona. Fitness na team work yenu ni ya viwango vya juu!

    Mechi ya jana imetuonyesha ubora wa Yanga kuanzia fitness level yao mpaka team work yao ni ya viwango vya juu sana! Tumezoea team mojawapo inapokuwa pungufu kwa mchezaji Mmoja mara nyingi uwa inafanya sub za kulinda zaidi kwenye eneo lake ili kukabiliana na mpinzani husika lakini jana ilikuwa...
  6. L

    Nawapa za ndaaaani kuhusu bifu la Wazee wa Yanga na Injinia Hersi hadi jana kufungwa na Azam

    Yanga wana timu nzuri sana na hata jana tumeona licha ya kuwa wamefungwa wakiwa pungufu lakini Azam waliomba poo, mimi ni mtu wa mpira siongelei mpira kiushabiki ama kutafuta followers, nimekaa kwenye tasnia ya soka la bongo tangu mwaka 1989 nikiwa naingia bure uwanja wa uhuru, enzi hizo Sigara...
  7. osc michael

    Sababu zilizopelekea Yanga SC kupoteza dhidi ya Azam FC

    1.Kucheza chini ya kiwango kwa pasi nyingi ambazo zilikuwa hazina tija. 2.Uchovu wa mechi iliyopita. 3 Baada ya kumtoa Baca Kwa kadi nyekundu wameweza kupita. 4.Wamekosa ufundi wa strikes 5.Walikosa ubunifu kutokana na kutocheza vizuri bila individuals skills. 6.Refa leo hakuweza kumudu...
  8. GENTAMYCINE

    Vipi tuendelee Kuchekana baada ya Matokeo ya Leo au sasa kila Mtu ashike Adabu zake na ajue kuwa Mpira huwa Unadunda?

    Yanga SC Kamfunga Simba SC Simba SC Kamfunga Azam FC Azam FC Kamfunga Yanga SC Imeisha hiyo.
  9. GENTAMYCINE

    Si tulisema hatufungwi na Uwanja wa Chamazi ni wetu Kinyota je, leo imekuwaje?

    Asante Mungu
  10. GENTAMYCINE

    Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
  11. GENTAMYCINE

    Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
  12. GENTAMYCINE

    Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
  13. Waufukweni

    CCTV yanasa mtu akimwaga vitu lango Kuu la Chamazi kabla ya mechi ya Yanga SC na Azam FC

    Picha za mjongeo kutoka kwenye CCTV za dimba la Chamazi zikionesha Mtu akimwaga vitu eneo la kuingilia uwanjani, punde tu baada ya Azam kukabidhi uwanja kwa mamlaka kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga SC. Soma: Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya...
  14. Dabil

    Kocha Miguel Gamond hafurahishwi Azam Complex kuwa uwanja wa nyumbani

    Katika mahojiano na Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amekaririwi akisema sifurahishi na uwanja wa Azam Complex kuwa awanja wa nyumbani, "Hata tukiwa Zanzibar nilisema kuwa sifurahishwi na uwanja wa Azam complex,Azam na Yanga ni derby lolote linaweza kutokea". Hata hivyo Yanga walijaribu kuomba...
  15. Waufukweni

    Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya Simba SC Pia, Ramadhan Kayoko na Waamuzi waliochezesha mechi za Yanga (Vs Simba Vs Coastal Union)...
  16. GENTAMYCINE

    Hivi huyu Shabiki Mchome mapovu ni Shabiki kweli wa Simba SC au ni mwana Yanga SC aliyenunuliwa Jezi ya Simba SC ili atudhalilishe?

    Nadhani sasa ifike muda Mashabiki wa Simba SC tuanzishe Mtindo wa Kuwaadabisha hawa Wanafiki kwa Vipigo Oky?
  17. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe anavyosema kuwa Msimu huu Singida Black Stars FC wanajituma wenyewe na hawasaidiwi na Mtu kamaanisha nini labda?

    Na ndiyo maana baada ya Kuugundua huu Ujuha wa NBC Premier League nimerejea Kuishangilia Liverpool yangu EPL.
  18. magnifico

    Simba Wasipojitathimini Kuna Uwezekano Yanga Akachukua Ubingwa Mara Saba Mfululizo Kama Juventus

    Ndugu zetu Simba msimu huu wamekuja na kauli mbiu hizi, Yanga anabebwa, Yanga ananunua mechi, GSM anatuharibia ligi na kuna muda wakipagawa zaidi utawasikia wanasema Yanga imeshuka kiwango. Maoni yangu, mafanikio ya Yanga yanaanzia kwenye uongozi. Sitaki kumuingiza GSM japo nae anaplay part...
  19. ngara23

    Yanga dirisha dogo la usajili Fanya haya

    Dirisha dogo la usajili linakuja January Yanga Bado tuna kikosi kizuri mno Naomba viongozi msivunje timu Kwa kuingiza wachezaji wengi 1. Mtoe kasi ya Baleke au Msonda ili muingize kiungo mkabaji aje kumsaidie Aucho ambayo energy yake inashuka 2 Beki wa kulia wa ndani ya nchi Yao hana mbadala...
  20. MwananchiOG

    Yanga wanakuacha ukamie, wanakupiga kimoko hao wanasepa na alama zao tatu

    Utulivu, Malengo na Focus za wachezaji wa Yanga ni wa hali ya juu sana. Kuna namna naona hii timu safari hii haijadhamiria sana taji la Ligi (japo hii inatokea tu automatically kutokana na ubora alio nao) Ila malengo hasa ni katika Ligi ya mabingwa barani Afrika. Hii inathibitishwa na aina ya...
Back
Top Bottom