kama manvyojua mimi ni Yanga ndani ya jamii ya makolo; ndugu zangu wote ni kolo tupu. Yanga ilipofungwa na Azam, ndugu zangu walinizomea sana na kudhani kama vile wao ndio wameshinda.
Nikawaambia kuwa bado sisi tuna mchezo mmoja na tunaongoza ligi lakini hawakunisikiliza, yaani wao walifurahia...