yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Labani og

    Gamondi: Simba Wana ndoto kubwa ya kuifunga Yanga

    "Simba Sc wana ndoto ya kutufunga ili wafurahi sie tunataka kuwafunga ili tuwe mabingwa hiyo ndio tofauti" - Gamondi #FutbalPlanetUpdates
  2. Dabil

    Refa yupi anafaa zaidi achezeshe mechi ya Derby ya Kariakoo ya tarehe 19 Oktaba 2024?

    1. Ramadhan Kayoko 2.Herry Sassi 3.Arajiga. Kwenye hao watatu ningependa Arajiga awe mwamuzi wa kati.
  3. Li ngunda ngali

    Ni wazi Haji Manara na Hersi haziivi tena

    Kuna taarifa kutokea viunga vya corridor za Yanga kuwa Haji Manara na Mhandisi Hersi ambaye ni Rais wa Yanga haziivi. "....hujiulizi kwa nini hata hajaposti picha za Hersi akiwa Ufaransa na boss wa Man City kwenye Mkutano wa ECA? Kwa taarifa yako, Manara amemkasirikia Hersi eti kisa usemaji wa...
  4. U

    Mzee Mwandiga adai kanuni ya asili inaipa ushindi goli zisizopungua 4 klabu ya Simba katika mechi yake na Yanga

    Wadau hamjamboni nyote? Nimekutana bila kutarajia na huyu Mzee aliyeshiba siku na uso uliojaa hekima hapa maeneo ya mwandiga tukipata chai mida ya saa tatu hivi asubuhi ya leo. Namsikia Mzee huyu kwa masikio yangu akieleza Kanuni ya Asili inaonyesha Klabu ya simba itapata ushindi magoli...
  5. Dalton elijah

    Wachezaji waliofunga mabao mengi katika derby ya Kariakoo tangu 2010

    📊 𝗞𝗔𝗥𝗜𝗔𝗞𝗢𝗢 𝗗𝗘𝗥𝗕𝗬 Wachezaji waliofunga mabao mengi katika derby ya kariakoo tangu 2010 . ⚽ 3 - Stephane Aziz Ki 🇧🇫 ⚽ 3 - Shiza Kichuya 🇹🇿 ⚽ 3 - Amissi Tambwe 🇧🇮 ⚽ 3 - Emmanuel Okwi 🇺🇬 ⚽ 3 - Hamisi Kiiza 🇺🇬 ⚽ 3 - Mussa Mgosi 🇹🇿 ⚽ 3 - Jerry Tegete 🇹🇿 ⚽ 2 - Simon Msuva 🇹🇿 ⚽ 2 - Meddie Kagere 🇷🇼 ⚽...
  6. SAYVILLE

    Mnyama gani anafaa rasmi kwendana na timu ya Yanga?

    Embu tuweke utani pembeni. Duniani kote kuanzia vilabu hadi timu za taifa, kuanzia katika soka, basketball hadi American Football na michezo mingine ni kawaida timu kubwa kujilinganisha na mnyama fulani anayebeba mfanano wa falsafa na haiba ya ile timu. Kuna timu zimeweka mnyama wao katika...
  7. Tajiri Tanzanite

    Hivi Rais wa FIFA anafahamu kuna timu inaitwa Yanga kweli?

    Hapo vip! Embu tuweke ushabiki pembeni alafu tujuulize hivi rais wa FIFA anafahamu kuna timu inaitwa yanga kweli?😀😀😀😀
  8. Mkalukungone mwamba

    Wali kuku wenye nazi wamtia kiburi Leonel Ateba. Atamba kufanya balaa kwenye dabi Oktoba 19

    Leonel Ateba kitu pekee anachokikosa Tanzania ni chakula cha Okok ambacho ni mchanganyiko wa mboga za majani zilizosagwa zinazoliwa na mihogo. Hii Ilimlazimu kutafuta chakula mbadala cha kitanzania ambacho kitaziba pengo na hapo ndipo alipopagawa na Wali kuku nazi.
  9. Allen Kilewella

    Kati ya Hersi kuwa Rais wa vilabu Afrika na Simba kuwa Pot 1, lipi ni jambo la heshima Kwa Mpira wa Tanzania?

    Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika. Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
  10. kavulata

    Wachambuzi na wanahabari isemeeni Taifa Stars zaidi kuliko Simba na Yanga

    Taifa Stars ndiko waliko watanzania wetu kuliko vilabu ambavyo vimejaa wageni wengi. Taifa Stars ni moja kati ya tunu zetu za taifa, mnasubiri nini kuongelea na kuhamasisha watu kuijua na kuipenda timu yao? mnasubiri kulipwa ili kuichambua na kuhamisha watu kuipenda na kujaza viwanja wakati wa...
  11. Chendembe

    Ushindi wa Simba kwa Yanga upo hivi

    Kwa wanaohusika huko Simba Nawajulisha kuwa ushindi wenu Kwa mtani wenu upo Kwa Katoro. Kijana huyo tu ndie ambae hawezi fungwa Na Hao. Vinginevyo kipigo kipo palepale
  12. MwananchiOG

    Baada ya mchezo na Singida BS wanaume kimya kimya wakajifungia Avic town walipoibuka ikawa vilio kila kona

    Ninaipenda sana hii system ya ukimya wa Yanga, huwa hawaongei wala kujimwambafy linapokuja suala la michezo mikubwa, hauwezi kumkuta Max akizungumza na waandishi au Job akiwa busy na camera, labda ikiwalazimu kufanya hivyo. Utakumbuka mechi dhidi ya CRB hakuna aliyejua au kutarajia Yanga...
  13. Waufukweni

    Rais wa Yanga Eng. Hersi Said Aalikwa Mkutano wa ECA nchini Ugiriki

    Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, Eng.Hersi Said amealikwa kwenye Mkutano mkubwa wa vilabu Barani Ulaya [ECA], unaofanyika katika Mji wa Athen, Ugiriki. Hersi amepata Mwaliko huu kutoka kwa Mwenyekiti wa ECA na Rais wa PSG, Nasser Al-Khelaifi. Pia, Soma: => CAF Yapendekeza...
  14. FK21

    Maono yangu kuhusu mpira mwaka huu World Wide

    Haya yafuatayo ni mambo niliyo yaona Kwa mbele mwisho wa msimu huu katika soka itakavyokuws(FORESIGHT) 1. ARSENAL ACHAGUE KATI YA UEFA AU EPL. kitu Cha kwanza baada ya kuona uchezaji wao na wanavyo kaba compact wakifunga dirisha moja wapo wa kombe moja ni uhakika ngoja na captain ordegard aje...
  15. Waufukweni

    Tizi la Mnyama Simba wakijiandaa na mechi ya dabi dhidi ya mtani wao wa jadi Yanga SC

    Tazama sehemu ya mazoezi ya Simba wakiwa kambini kwao Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kumbuka leo ni siku maalum ya waandishi wa Habari (Media Day) kufanya mazungumzo na viongozi, wachezaji na benchi la Ufundi la Simba.
  16. covid 19

    Hivi CAF wanajua kwa huku Tanzania tukio la kupanga makundi tu limekuwa ni habari ya kitaifa?

    Nadhani wenyewe hawajui ila bora wangeweka HQ yao iwe Dar tu kwakeli. Huku Tanzania toka jana habari ya mjini ni makundi yaliyopagwa huko CAF champions league na CAF confederation cup. Hii nchi watu wanapenda mpira kuliko chochote nadhani serikali ifanye jambo kuifanya Tanzania kuwa kama...
  17. K

    Yanga jipangeni kisaikolojia, Oktoba 19 kipigo hakiepukiki

    Mashabiki wa Kandambili mkae mkijua mechi ya Oktoba 19 kipigo kinawasubiri, LUNYASI tupo tayari, tumejipanga ipasavyo kutoa kipigo Cha mbwa Mwizi. Siku hiyo mtatoka Lupaso vichwa chini, Utopolo mtutusamehe, mtasambaratika. Kipigo hicho kitaleta matokeo Hasi kwa Yanga, hatimaye timu itasuswa na...
  18. Metronidazole 400mg

    Yanga hamna kitu; Kombe la shirikisho (CAFCC ) mnaliponda alafu hapo hapo mnalisifia

    Droo imepangwa, lakini ni Kama mashabiki wa utopolo imewaumiza kuona Simba anaenda fainali kabla hata ya kucheza. Kinachonishangaza wameanza kuikisoa CAFCC ( Ambao wao pia walicheza ), na kusema ni kombe la "WAMAMA" kwa maelezo Yao kuanzia hapa JF, mitandaoni na hata mitaani Ila kinachoniacha...
  19. Mkalukungone mwamba

    Uchambuzi: Mbinu 3 za Yanga kufuzu Robo Fainali klabu Bingwa Afrika 2024/2025

    Leo tumeshuhudia Shirikisho la Mpira wa miguu Afrika ( CAF) wa upangaji wa hatua ya makundi kombe la Klabu Bingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika ( CAFCCL) ambapo Yanga kwenye Klabu Bingwa Afrika wamepangwa na TP Mazembe DR Congo, Al Hilal ya Sudan na MC Alger ya Algeria. Kwa...
  20. Metronidazole 400mg

    Yanga atashika mkia kwenye kundi lao, ni kibonde wa kundi

    Sababu 1.mechi mnayoanza away dhidi ya MC Alger lazima ugongwe 2.Ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed Abdelrahman ) 3..MC Alger Sina haja ya kuwaongelea, mnawajua walichowafanya 4...TP Mazembe ndio kabisaaa hamsogelei Chonde Chonde AL Hilal...
Back
Top Bottom