yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. mdukuzi

    Yanga ina mashabiki wasio na kazi. Jangwani kumefurika nyomi hakuna pa kukanyaga wanafuatilia droo ya CAFCL

    Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
  2. King Jody

    Yanga Imekuwa Gumzo Afrika

    Klabu Ya Yanga SC imeendelea kuzungumza kwa namna tofauti katika ushiriki wake wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Hii inatokea kwa sababu ya ushindani wake ambao wameuonyesha katika misimu miwili iliyopita. Kesho ndiyo siku ya makundi kufahamu Yanga atapangwa na nani katika hatua ya makundi...
  3. God Fearing Person

    Nani anamjua Adam Bairu aliyekuwa anaifadhili Yanga kule Arusha?

    Kuna Mambo naendelea kujifunza nani alikuwa anamjua tajiri Adam Bairu alyewahi kuifadhili au kuisaport Yanga Africans. (FC)?
  4. feyzal

    Baada ya kufanya mazoezi KMCC, Simba imeanza kufeli

    Napata sana mashaka na hili jambo. Iko hivi siku zote inajulikana uwanja wa mazoezi wa Yanga ni Avic town huko ndo kuna kambi yao na mazoezi yao. Lakini baada ya msimu kuanza na simba kua na speed kali ya kutia watu dozi kubwa katika uwanja huo,utopolo nao wakaenda kufanya mazoezi hapo jambo...
  5. L

    Kwanini timu żenye udhamini wa GSM zinaisumbua sana Simba?

    Timu zote kuanzia Yanga, Dodoma, Coastal, Namungo, Pamba, Singida, Tanzania Prisons nao sijui wapo katika udhamini kila zinapocheza na Simba ngoma inakuwa ngumu sana. Hawa Coastal wachovu nao eti wamedinda, sio wao ni wale wauza magodoro mipango yao imefanikiwa leo na itaendelea kufanikiwa...
  6. ngara23

    Mtego wa Yanga, Sasa umeanza kunasa

    Watu walianza kushangilia ushindi wa goli nyingi Kwa kucheza na wagonjwa yaani team ya Fountain gate na Tabora United ambao wachezaji wao walikuwa hawajakamilisha vibali mkawapiga mkataba mpaka BBC, Yanga tukawachek tukaaema mtanasa tu Sisi taratibu tukaanzia Away mechi mbili za mwanzo...
  7. mwarabu feki

    Manara arudishwe haraka kabla mambo hayajaharibika

    Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga. Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara ilikuwa pigo kubwa, makombe yakakauka gafla paka leo Simba iko hoi bin taabani. Sasa kitendo cha...
  8. Teko Modise

    Shaffih Dauda ashangaa George Mpole kuanzia benchi dhidi ya Yanga

    Mchambuzi nguli kabisa wa boli kutoka Clouds FM ameshangaa kwanini mshambuliaji namba 1 wa Pamba kuanzia benchi licha ya kuanza mechi zote za awali. Soma Pia: FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024 Yapi maoni yako?
  9. utopolo og

    Kuna kamchezo fulani unatumika wachezaji wa timu pinzani kuumiza wachezaji wa Yanga

    Ukijaribu kufatilia kuanzia mechi ya Yanga vs Kmc na leo Yanga vs Pamba Jiji utagundua kuna mkakati wa maksudi kuumiza wachezaji wa Yanga ili tarehe 19/10 Wachezaji wengi wa Yanga wawe majeruhi na Simba ipate angalau mteremko kwwnye mechi ya watani wa jadi. Benchi la ufundi la Yanga lina kazi...
  10. C

    Yanga wana anza walipoishia msimu wa mwaka jana. Bado tutaona mengi zaidi ya hizo card nyekundu

    Huyu jamaa wa timu ya Pamba kaitafuta card nyekundu kwa udi na uvumba. Yanga yenu ndio hiyo. Haya ngoja tuone mvua ya magoli kwa Yanga na Azizi Ki anapata hat trick Bahasha fc.
  11. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Pamba Jiji FC 📆 03.10.2024 🏟 Azam Complex 🕖 6:30PM(EAT) Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji FC Mpira umeanza Dakika ya 5 Goal Baccaaaaaaaaaaa Dakika 7 Tunashambulia kwa kasi Dakika ya 12 Yanga SC wanapata Kona Dakika ya 14 Tunapata...
  12. gonamwitu

    Naiona dalili ya Pamba kupanga matokeo dhidi ya Yanga kwa kumuachia yanga ashinde magoli mengi

    Naiona dalili ya match fixing mapema tu kwenye mechi ya Yanga kesho dhidi ya Pamba jiji na hii inachagizwa na kauli za kipuuzi za viongozi wa pamba kujifanya wanajiweka pembeni kwenye mechi ya kesho eti kisa wao ni mashabiki wa Yanga. "KWA HERUFI KUBWA MIMI KAMA MDAU WA SOKA NAPINGA VITENDO...
  13. NALIA NGWENA

    Kocha Miguel Gamondi tayari kajaa kwenye mfumo wa viongozi wa Yanga Sc kwa kumpa dakika za kutosha Chama mbele ya Pacome

    Naam wanajukwaa, Goli alilofunga Aziz K dhidi ya CBE na kutoshangilia lilikua na maana kubwa sana tena sana na hilo goli alifunga akitokea Sub baada ya Chama kutoka. labda kuna mashabiki watakua wanauliza hiyo ina maana gani kiukweli Azizi k hakua na Furaha kutokea bench na ndiyo maana ufungaji...
  14. kiwatengu

    FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

    Match Day 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚KMC FC 📆 29.09.2024 ⏰ 2100hrs 🏟 Azam Complex #Daimambelenyumamwiko# KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO. KIKOSI CHA KMC UPDATES.... 04' Yanga wanapata Goli kupitia kwa Max Mpia Nzengeli 1-0 19' Yanga wanapata kona ya kwanza. Inaanzwa kona...
  15. Pang Fung Mi

    Ken Gold Walinyimwa Goli dhidi ya Vibonde Yanga SC siku ya Jana

    Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo. Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine. Diara juu ya mstari, je mpira...
  16. mdukuzi

    Simba inajilinganisha na miamba ya Afrika lakini Yanga wamekomaa kujilinganisha na Simba

    Simba kimataifa kwa miaka ya karibuni inajitutumua ili iwe kama vilabu vikubwa barani Africa, Al Ahly, Zamalek, Al hilal, As Vitta, Nkana, TP Mazembe, Mamelod, Kaizer Chiefs nk Lakini cha kushangaza watani wanataka kuvunja rekodi za Simba na muda wotewabajiringanishana kuiongelea Simba kama...
  17. CARIFONIA

    Dah! Ila Gamond wa msimu huu kaamua kuja kivingine kabisa kwa ufupi hasomeki

    Dah! Huyu mwamba huu msimu kaamua kuja kivingine kabisa kwa ufupi hasomeki. Yahani akikutana na timu kubwa na inayojua ball anaibamiza bao za kutosha, ila akiutana na wachovu pale ndio unajua mtu anakula nyingi siku hiyo ndio anapata ushindi mwembamba. Rejea hizi games Yanga 1 Vs Ts galaxy 0...
  18. Tajiri Tanzanite

    Yanga SC ni mbovu

    Hapo vip! Kwa mchezo na matokeo ya leo ya Yanga dhidi ya Ken Gold ni dhahiri ya kwamba yanga ni timu mbovu sana. Na leo imedhihirisha hizo timu Yanga alizocheza nazo za club bingwa CBE SA na Vital O ni matimu mabovu kuliko hata Keny Gold. Ken Gold amezulumiwa gold la wazi ingrkuwa draw. Club...
  19. Metronidazole 400mg

    Nayaona Maisha ya Gamondi Yanga kuwa mafupi sana

    Kocha wa ken Gold kafungua njia kwa makocha wengi kimfumo namna ya kucheza na Yanga, ni vile Hana wachezaji sahihi wa kutekeleza TU ( alichosema kwenye press preMatch na Imani makocha wengi wataanzia hapo ) Nilishawahi kusema aina ya mpira ambao Kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anafundisha ni...
  20. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC tunaomba Mwanasheria wetu Patrick Simon atuombe Radhi kuhusu Mchezaji wetu Yusuf Kagoma

    Mwanasheria alituambia Sisi wana Yanga SC (GENTAMYCINE) nimo kuwa Kagoma ni Yanga sasa mbona yuko Simba?
Back
Top Bottom