yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone mwamba

    Yanga, Simba na Azam zapata shavu Russia

    Klabu za Simba, Yanga na Azam zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na klabu za Ligi Kuu ya Russia, pamoja na kuweka kambi katika kipindi cha mapumziko ya ligi. Fursa hiyo imepatikana kutokana na ziara ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro nchini humo na alikutana na...
  2. Allen Kilewella

    Jemedari said: wachezaji toka nje ni Kwa ajili ya mechi za kimataifa

    Jemedari said kasema uwezo wa wachezaji toka nje waliosajiliwa Simba na Yanga , uhalali wao wa kusajiliwa unatakiwa uonekane kwenye mechi za kimataifa na siyo kwenye mechi za ndani ya nchi. Ana hoja, asikilizwe.
  3. Mkalukungone mwamba

    Yanga anauwezo wa kushinda mechi ya ugenini dhidi ya MC Alger kwa sababu hizi

    Yanga inaweza kushinda mechi ya ugenini dhidi ya MC Alger kwa kutumia mbinu na mfumo unaojikita kwenye nidhamu ya kiufundi, mbinu za kushambulia kwa tahadhari, na kutumia faida ya nguvu ya wachezaji wao muhimu. Hapa kuna uchambuzi wa mbinu na mfumo wanaoweza kutumia: 1. Mfumo wa Uchezaji...
  4. Waufukweni

    CAF yakataa ombi la MC Alger Kuhamisha mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Yanga kwenda Douéra

    Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limetupilia mbali ombi la klabu ya MC Alger la kuhamisha mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Yanga SC kutoka uwanja wa 5 July 1962 na kuihamishia Douéra. Mechi hiyo sasa itachezwa kama ilivyopangwa kwenye uwanja wa 5 July 1962. Soma, Pia: Aucho, Mzize na Boka...
  5. Waufukweni

    Aucho, Mzize na Boka warejea kikosini kwa mchezo wa pili dhidi ya MC Alger Ligi ya Mabingwa Afrika

    Kiungo mkabaji wa Yanga SC Khalid Aucho, Clement Mzize na Boka wamejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 25 kitakacho safiri leo Alasiri kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger utakaopigwa Disemba 7 2024. Wachezaji...
  6. S

    Kisheria hakuna mchezaji duniani anayeitwa Pacome wala klabu ya mpira wa miguu inayoitwa Yanga, msiingie taharuki mashabiki wa Simba

    Legal Profession ni moja ya taaluma tamu sana ukiielewa, Yanga imewasilisha demand letter kwa semaji letu wakidai bilioni 10 eti kwa madai alipokuwa kijiweni alimtaja Pacome anamaliza mkataba lakini Yanga ni wachawi. Guys, msiwe mnakurupuka na kujadili mambo msiyoyajua, take trouble kuomba hata...
  7. MwananchiOG

    Baada ya kudaiwa fidia ya bilioni 10, Msanii maarufu Baba Levo awaangukia Yanga kumsamehe Ahmed Ally

    Baada ya sakata la msemaji ya club ya Msimbazi, Ahmed Ally kutoa kauli zenye lengo ovu la kuichafua image na taasisi nzima ya Yanga, Msanii maarufu na mtangazaji, Baba Levo amewasihi viongozi wa Yanga kukaa na kumaliza tofauti yao na kumsamehe msemaji huyo, kwani bado ni kijana anayejifunza na...
  8. The Watchman

    Klabu ya Yanga imemtaka Ahmed Ally kuomba radhi kwa matamshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) na wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

    Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na kuomba radhi kwa matanshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) mbali na hili wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10 Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya 👇 “Pacome amemaliza mkataba tukiona anafaa...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Wito wa Waziri Mwana FA kuhusu kuiombea Yanga, BIG NO! Labda kuiombea mabaya

    Namsikia hapa akitoa wito wa kuweka tofauti zetu pembeni na kuombeana kimataifa. Kwamba mimi Simba Sc niiombee Yanga itoboe. Hiyo kwangu haiwezi kutokea, nikitaka kuiombea labda niiombee mabaya. Lolote baya liwakute huko mnakoenda. Ikiwapendeza mkung'utwe mpaka mchanganyikiwe. Mkishenyetwa...
  10. S

    Gusa achia twende kwao

    Jamaa bana wana slogan inafurahisha sana, gusa achia twende kwao, hiyo ndio slogan ya Mjerumani. Ukiangalia wanachokifanya uwanjani hamna lolote, hakuna gusa achia twende kwao Ngojeni wakaliwe huko ugenini
  11. gonamwitu

    Yanga yapumzika kufungwa kwa muda. Itaendelea kufungwa tarehe 7 Algeria

    Uto wamepumzika kufungwa kwa muda baada ya kupiga bomu mochwari na kujisifu wameua kumbe wameua maiti. Kocha wa Yanga Mzee Saidi Ramadhani aapa kuivunja rekodi ya Man City ya kucheza mechi 7 bila ushindi. kocha huyo amenukuliwa akisema atalifanya hili mzunguko wa pili. Prince Dube...
  12. Shanily

    Watani wameuziwa mbuzi kwenye kiroba😂

    Hivi jina la club yenu ni lipi!?, Young Africans ( Waafrika wadogo) au ni Yanga wale yange yange ndege 🤔. Wichi izi wichi!?. Kumbe swala la kuhama hama mara Rangi ya jezi, mara viwanja halijaanza Leo ni tangu enzi maana hata jina mlihama kutoka young Africans mpka Yanga. Aliyesema uto wenye...
  13. Mtu Asiyejulikana

    TFF na Uongozi wa Yanga hili suala mbona mmelikalia kimya? Tunafunika Bakuli mwanaharam apite

    Hili suala toka Azam waliweke wazi tunaona kilichotokea. Yanga waliona wamevuliwa nguo wakasusa na Uwanja wa Azam kwa hasira. lakini Si Viongozi wa Yanga wala wa TFF ambao wamewahi kulizungumzia hili hata kukanusha. Nilitegemea kwa uzito wa hili jambo la wachezaji kujidunga TFF au Yanga...
  14. pesakilakitu

    Timu ya Mazembe yaruhusiwa kutumia wachezaji wake, kilio kinasubiriwa Jangwani

    Hatimaye timu inayocheza soka safi la kushambulia , TP Englabaa Mazembe hatimaye FIFA yaifungulia rasmi na kuiruhusu kutumia wachezaji wote wapya na hatari iliowasajili. Hii itakua habari mbaya kwa wapinzani wao ambao wakati wa droo walivyoona jina la TP Mazembe walishangilia sana kurukaruka...
  15. K

    Vipigo vya Mfululizo Vyaichanganya Yanga, Kila Mmoja Anakuja na Andiko.!

    Vipigo Vya Mfuatano ambavyo Yanga imekumbana navyo vimesababisha 'Wenge' zito pale Jangwani. Katika pita pita mtandaoni kila MwanaYanga anayejihisi anayo influence anakuja na Andiko La kujipoza. Teyari nimekutana na Andiko La Alafat, Privaldinho,La Wachezaji Pacome,Chama na wengine! Vipigo...
  16. pesakilakitu

    Magoma awaasa uongozi wa Yanga kumtafuta haraka kuokoa "slow pancha"

    Mzee Magoma akihojiwa leo amenukuliwa akisema Yanga slow pancha ilianza muda mrefu. Mzee Magoma ambaye amesisitiza kua yeye ndio DAKTARI anayejua namna yakuitibu Yanga.. Kasema na kuwaasa uongozi unaongozwa na Mhandisi Hersi kua wamtafute wayamalize, la sivyo Yanga kule ligi ya mabingwa...
  17. OKW BOBAN SUNZU

    Utani wa Jadi: Mtandao wa YAS-Yanga Atafungwa Sana

    Watani wangu ni kama wamekosa mtu wa kumlaumu. Sasa mimi nawasaidia, mbaya wenu ni huu Mtandao wa YAS. Hili jina limewalenga nyinyi. Mnakumbuka mmeshapigwa mara 3 mfululu? Kuna vipigo vingine mvitarajie vya hivi karibuni. Siku chache zijazo mtaenda AC Algers kisha TP Mazembe. Unafikiri hao...
  18. MwananchiOG

    Kushuka kwa Yanga kunaifanya Msimbazi kuonekane kumenyooka, Ila kiuhalisia hamna timu pale

    Huwa siangalii sana michezo ya timu za shirikisho, Ila baada ya kuwa nimeketi sehemu nikipata kinywaji nikaona watu wakitazama mpira wa Simba hivyo kwakuwa nilikuwa nimeketi na TV ikiwa mbele yangu, Hivyo nikajikuta nalazimika kutazama. Baada ya kutazama mchezo huo nimegundua mambo machache...
  19. Prince_Nurudin_Tz

    Yanga sc ndio timu ya kwanza kufungwa toka kampuni ya tigo kubadilisha jina

    Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia siku ya jumanne Mabadiliko haya yametangazwa siku ya jumanne jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  20. copyright

    Je, ni sawa wachezaji wa Yanga SC kuondoka uwanjani kwa bodaboda?

    Habari! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Jana baada ya kipigo cha 0-2 toka kwa Al Hilal ya Sudan, baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiongozwa na Kibwana Shomari walionekana kuondoka uwanjani hapo kwa usafiri binafsi na sio wa pamoja kama timu ambapo Kibwana alionekana kuondoka na bodaboda...
Back
Top Bottom