yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Ladder 49

    Umefika muda Yanga sc hawajui hata waanze kumlaumu nani

    Umefika muda Yanga sc hawajui hata waanze kumlaumu nani. Kipigo cha leo cha Yanga dhidi ya Al Hilal kimekuwa na sitofahamu tatizo la Yanga ni nini kwa sasa maana kila mtu anasema lake Kocha anasema wachezaji hawana fitness lakini mpira ulivyochezwa Yanga wamepata nafasi nyingi na ndio...
  2. Pang Fung Mi

    Yanga SC Wamekwama wapi Kipigo Day kwa Al Hilal FC?

    Hebu tuwe wakweli shida ya Yanga ipo wapi? Wachezaji hawana teamwork? Ina wachezaji ambao hawajui kusoma wapinzani? Wachezaji wamelewa sifa? Physicality ya wachezaji ni hafifu? Wameingia kwa dharau na matokeo mfukoni? Karibu kwenye mjadala wa Utopolo katika Utopolo wao. Pang Fung Mi
  3. SAYVILLE

    Yanga ikifungwa najisikia raaaaha saaana!

    Yaani hapa bando linakaribia kukata wala sishtuki, napanga kuongeza lingine fuleshi tuu. Mechi ijayo mnacheza na nani? Mmesusaa hamtaki kunijibu? Hata msiponijibu najua mnaenda kudunguliwa tu hahah! Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |...
  4. Megalodon

    Sisi Yanga bado ni underdog, lakini tuna midomo mirefu kuliko masikio, tunarudi kwenye Uchokoraa wetu sasa

    Niliandika ile siku ya game ya Simba SC na Utopolo, Nilisema inawezekana Yanga ime drop au inawezekana Simba ime imemprove; Pia nilisema mwaka huu Yanga hatoboi hata group stage . Mean while , Injinia wa mchongo amekwenda kufanya kosa kubwa la kiutendaji linalokwenda kuicost timu msimu mzima...
  5. B

    Acha leo niwaambie ukweli ndugu zangu wananchi, viongozi wenu walikosea kwenye dirisha kubwa la usajili

    Ndugu zangu wananchi,viongozi wenu walikosea kwenye dirisha kubwa la usajili,kwenye dirisha kubwa mchezaji aliyesajiliwa kwa usahihi ni Duke Abuya,wengine wote waliobaki Yanga imepigwa,engineer na hao viongozi wengine wamehiijumu Yanga baada ya kuona Yanga imefanya vinzuri ndani ya misimu 3...
  6. Franky Samuel

    Kocha wa Yanga: Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90

    Baada kipigo kutoka kwa Al Hilal (2-0) kocha wa yanga anasema “Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90” — Kocha Sead Ramovic Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
  7. Li ngunda ngali

    Kisiasa huwezi ukampuuza Haji Manara na ukamkumbatia Ali Kamwe na ukafanikiwa

    Haji Manara ni binadamu mwenye connection na watu wengi wafanya siasa na wasio wafanya siasa. Kwalo, inatosha kukupa tija kwa lolote utakalo lifanikiwe. Bahati mbaya yupo kijana kwa kujulikana ghafla na kupata vi nafasi fulani huko Duniani imempelekea kumwona gwiji wa propaganda Haji Manara ni...
  8. CARIFONIA

    Kuna sehemu viongozi wa Yanga walikosea

    Sipo hapa kulalamika na wala sio kawaida yangu kuandika uzi wa kulalamika, binafsi matokeo ya leo hayawezi nifanya kukata tamaa kwani naijua football vizuri, bado timu ina nafasi ya kufanya vizuri katika mashindano yote inayoshiriki. Wala sitaki kupeleka lawama zangu kwa kocha huyu mpya kwani...
  9. Sodoku

    Haya maneno kuwa bila mambo mawili Yanga haiwezi kushinda sidhani kama ni sawa

    Acheni hayo maneno. Si sawa hawa wageni wapo wanaojua kiswahili. so wanaelewa haya maneno wanapoyasikia inakuwa inatupa nafasi ngumu sana kwetu kuwa bila 1. Kujidunga 2. Uchawi Haya si maneno mazuri. ni maneno ambayo wakiyasikia watu wanaweza kutuwekea wakati mgumu sana. watataka kutudhibiti...
  10. D

    Nashauri Yanga tuhamie Amani, uwanja wa Mkapa tusiutumie tena mechi za CAF

    Nashauri mechi za Caf zote uwanja wetu wa nyumbani uwe uwanja wa Aman Zanzibar! Au mnasemaje ndugu zangu! Yanga hii inafungwaje! MBELE DAIMA NYUMA MWIKO!!!
  11. L

    Msemaji wa Yanga hana tofauti na yule Comical Ali, kelele nyingi mashabiki uwanjani hakuna

    Kijana kazi imemshinda, nimeona mashabiki wa Yanga wanalaumiana kwenye mitandao kuwa hawaendi uwanjani, wanashindwa na ma Shabiki wa Simba, mmoja wa mashabiki hao anaitwa God Yanga, amelalamika sana kuwa licha ya timu yao kuwa nzuri lakini mashabiki wake wengi hawaendi uwanjani au wanasubiri...
  12. chiembe

    Kwanini Yanga inakabiliwa na madeni makubwa? Hili deni ni la kulipwa haraka sana

    Nadhani injinia atazingatia. Hili ni deni nyeti sana linagusa maslahi ya klabu
  13. Expensive life

    Vita ya kuwania nafasi ya pili Yanga , Azam, Singida Nbc premier league si ya kitoto

    Ndugu wana michezo wenzangu, kuna kivumbi cha kukata na shoka kuwania nafasi ya pili nbc premier league, baina ya vilabu vitatu vidogo nchini. Embu cheki msimamo hapo chini kisha tupia comment yako ni nani atamaliza nafasi pili kati ya hivyo vilabu vitatu.
  14. OMOYOGWANE

    Sababu za Yanga kumuajili Abdihamid Moalin kama meneja wa ufundi huenda zikawa hizi. Kuna vipaji vitaibuliwa msimu huu

    Wakuu mpo! OMOYOGWANE sipoi, wengi wameshangaa sana kuona kocha wa KMC anaacha kazi na kujiunga Yanga katika nafasi ambayo siyo ya ukocha mkuu wala kocha msaidizi ila kapewa kazi ya kuwa mkurugenzi wa Ufundi. MAJUKUMU YA MKURUGENZI WA UFUNDI NI YAPI? Mkurugenzi wa ufundi kazi yake ni kuandaa...
  15. Allen Kilewella

    Yanga wanavyodharau kombe la shirikisho, ile fainali ilikuwa ya Kombe Gani?

    Kwanza watu dhaifu ndiyo hudhani udhaifu ni uanauke. Inachukiza mtu anaposema mashindano ya shirikisho Afrika hushiriki timu za "wamama" akiashiria ni mashindano ya ngazi ya chini kuliko mengine. Inakera zaidi mtu anaposema mashindano ya shirikisho ni ya "losers" wakati Yanga iliwahi kushiriki...
  16. Dabil

    Simba mnatuleteaje CEO ambaye ni shabiki wa Yanga?

    Simba ijitathmini tena kuhusu huyu CEO mpya,haiwezekani shabiki wa Yanga aje kuwa CEO wa Simba,hatutaki mamluki kama alivyokuwa Manara,mbinu za kivita zinazojadiliwa Simba yeye anapeleka upande wa pili. Huyu CEO aondolewe mapema kwa maslahi mapana ya timu. Soma Pia: Simba yamtangaza Zubeda...
  17. Teko Modise

    Je, CEO mpya wa Simba ni shabiki wa Yanga?

    Ukienda kwenye mtandao wa X zamani Twitter, tafuta jina la CEO kisha search neno Yanga utapata tweets zote alizopost kuhusu Yanga. Je, Simba imeajiri mtu mwenye vinasaba na Yanga pasipo kujua? Soma Pia: Simba yamtangaza Zubeda Sakuru kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu
  18. Labani og

    Yanga yaongoza possibility za kufuzu makundi CAFCL

    CAFCL Group A Preview! Get ready for a thrilling Group A, where all four teams have a genuine shot at advancing to the next round. Upsets are a real possibility, and even the favourites could find themselves on the brink of elimination. #TotalEnergiesCAFCL #CAFCL Yanga..........28 Tp...
  19. G

    Yanga imevunja record Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika

    record babkubwa zaidi. 1) Aucho mchezaji wa Yanga alikuwa timu yao ya taifa na wamefuzu. 2) Diarra yupo Yanga kashiriki kufuzu AFCON na Mali imefuzu. 3) Dube yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Zimbabwe imefuzu AFCON 4) Aziz ki yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Burkina Faso imefuzu...
  20. GENTAMYCINE

    Tusidanganyane wala Kuficha Uzi wa Yanga SC kwa CAFCL ni mzuri kuliko Wetu wa Simba SC wa CC

    Sijazoea Unafiki na najua kwa huu Ukweli wangu nitachukiwa mno na wasiopenda Ukweli na Wadau wa Unafiki. Yanga SC wametuzidi Simba SC kwa Jezi nzuri katika Michuano ya Kimataifa inayoenda kuanza hivi karibuni.
Back
Top Bottom