Game imeshaisha hii. Hongera sana wananchi. Haikuwa na namna ni kuwachapa hao waduanzi kwao na kisha kuja kuwachapa na huku kwetu.
TP Mazembe ilikuwa zamani kwa sasa jamaa ni wazembe sana. Ni majamaa mazembe. Tipwa Tipwa Mazembe. TP Mazembe. Wachezaje sasa wamemwelewa coach wa kijerumani. Soka...
Habari wadau
Mimi kama mwanayanga usajili wa israel mwenda umeniumiza sana.
Mwanzo wa msimu tulikuwa tunawaza kutwaa ubingwa wa africa. ila engineer katugeuka mapema sana
Engineer amebadilika kama zuwena
Nawaza wale wa Brazil wa Esperence kweli ndio wakakabwe na israel mwenda.
Nawazaa...
Inasikitisha Sana kwenye vijiwe vya kidigitali
Story ni Simba na yanga
Radio na tv ni kutangaza michezo na nyimbo chafu na ku promote makampuni ya betting( kamali)
Mijadala ya kitaifa hakuna hivi tutakuja kupata maendeleo kweli?
Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.
Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. 😂😂😂
Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
Leo Jumatano, Desemba 11, 2024, mapema katika kuendeleza hamasa za klabu ya Simba kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia, Jumapili Desemba 15, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally, akiwa katika maeneo ya Tandika, tawi la Kapu la Magori, alitoa dongo kwa Yanga...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es Salaam.
Munelo alipata ajali jana katika eneo la Mbagala Zakhem baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda...
Tukiwa usajili wa dirisha dogo tuna idadi imetosha ya wachezaji wa kigeni la sivyo tuvunje mikataba.
Tunahitaji kuimarisha kikosi kwa kutumia wachezaji wazawa kama kuna umuhimu waekuingia gharama ikiwemo kulipa kuvunja mkataba wa foreigner.
Sawa mwenda hamumtaki
Nashon hamumtaki
Lawi...
Timu ya Coastal Union imepokea barua rasmi ya Klabu ya Yanga kumuhitaji beki wa kati Lameck Lawi, Coastal Union inataka millioni 250 kama ada ya usajili wa Lameck Lawi kutoka Yanga.
Soma, Pia: Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC...
Mi sasa nshachanganyikiwa. Yaani si hatukona mchezaji mwingine mpaka enda chukua hii mibaki ya Simba? Aaah huyu alikuwa akikaa bench pale Singida. Kweli viongozi wangu mwatuletea mtu mwenye jina la Israel kwel kwenye team yetu? Aaah huyu acheza mpira na Simba walimwacha?
Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo.
Afisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema bado hawajapokea barua yoyote kutoka Singida BS kuhusu wachezaji...
Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Israel Patrick Mwenda, amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miezi sita kutoka Singida Big Stars kwenda Young Africans (Yanga).
Pia, Soma: Singida Black Stars yasema imemlipa Mwenda Tsh. 140m yamtaka aripoti mazoezini
Beki huyo anauwezo wa kucheza kama beki...
Wakuu
Ndio kusema maji yamezidi Unga ama!
==
Shabiki wa Yanga maarufu kama Dosa ametoa malalamiko yake baada kuona anapoish mechi za Yanga kuoneshwa kwa bei rahisi.
Nakumbuka mwanzoni mwa msimu huu nilipongeza usajili mzuri waliofanya Simba ila nikatoa angalizo moja kuwa wachezaji wa Simba wapigwe marufuku kuzoeana na wachezaji wa Yanga nje ya uwanja.
Naelewa hawa wachezaji wana maisha nje ya uwanja na naelewa pia wengine wana historia zinazoingiliana kwa...
Salaam wanajamvi, heri ya siku ya uhuru watanzania wenzangu!!
Kuna hii taarifa nimekutana nayo kwamba Gamondi amesema, "Sasa Mmejua kwamba Sikuwa Tatizo pale Yanga SC, Kama mkiendelea kucheza kama Juzi hamfiki Robo Fainali Msimu Huu" hivi kweli huyu mzee anaweza kusema hivi?
Huu upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio imekuwa nafuu kubwa kwa timu ya Simba kutotazamwa na watu wengi madhaifu yao pamoja na kocha wao!
Kwa sasa wachambuzi na mashabiki wengi wa soka wamejikita kuijadili yanga kwa hali wanayopitia kitu ambacho kimewafanya viongozi wa Simba na kocha wao...
Habari za mda huu Wana michezo Kila ukiangalia squad ya yanga akiwa anacheza Champions league kuanzia mechi ya kwanza na Al HILAL naona jina la zawadi MAUYA
Nikajua maybe ni kosa la AZAM TV mechi ya juzi na MC ALGER pia jina Hilo limejitokeza
Je yanga mambo yao yanaendeshwa kihuni tu bila...
Simba kwa watoto hawa ambao wanaruka ruka tu uwanjani kama maharage ya Mbeya, hatoboi makundi.
Na Yanga kwa wazee hawa wanaotembea tembea uwanjani hawatoboi makundi.
Hii ni nzuri, kwa kuwa sasa tuhamishia nguvu zetu kwenye mijadala ya kitekana na akuuwana badala ya Simba na Yanga.
Soma Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.