Nimeangalia mwenendo wa Yanga inaonyesha kiwango kinazidi kushuka kwa kasi kubwa sana, hata inaposhinda unakuta inashinda kwa kupambaaaaana kama bao la mzee, kagoli kamoja.
Hata game ile aliyocheza na Simba tuwe wa kweli maana ingechezeshwa na refa makini kama Aragija Simba ingeshinda kwa goli...
Saa chache baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, kimeitishwa kikao kizito cha Kamati ya Utendaji cha pili kwa siku kikimjadili kocha wa timu hiyo Miguel Gamondi.
Mapema leo asubuhi Yanga ilikuwa na kikao cha Kamati ya Utendaji lakini kimelazimika kurudiwa tena usiku kwa...
Kaizer Chiefs wameshamchukua Nabi, na sasa Kaze na bado wanamtaka sana Mayele na Aziz Ki kwa gharama zozote zile. Inaelekea Yanga ya 22/23 ilitisha sana
Mechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: 🕖 6:00PM
Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa.
Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana.
Dakika, 19 Tabora...
Visingizio vilizidi, naamini Sasa Kwa huu mtego tulioutega wabaya wamenasa
Lawama za GSM anadhamini timu nyingi, Yanga ananunua mechi, Kujidunga shindano, Kuhonga marefa
Sasa mmeona wenyewe Yanga tunafungwa mara mbili mfululizo. Tumepewa kasi zimetugharimu Majeraha n.k
Haya yote yametokea...
Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao.
Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
Wakati meli ya Titanic inazinduliwa, walioijenga walisema kuwa ile meli haitazama Kamwe (unsinkable)
Historia inaonesha kila aliyepanda ile meli alikuwa na Imani nayo kubwa Sana kuwa haitazama. Lakini mwisho wa siku ilizama na kuua watu kadhaa.
Yanga nao mpaka wakatuga na wimbo kabisa kuwa...
Yanga wanaonekana wana wachezaji wazuri lakini pia wana kocha mzuri.
Ni sababu zipi zimepelekea afungwe mechi mbili mfululizo.
Alifungwa na Azam goli 1 kwa 0 mechi ya tarehe 2 November 2024.
Leo tarehe 7 November 2024 tumeshuhudia Yanga anafungwa goli 3 kwa 0 zidi ya Tabora United. Hili jambo...
Hii ni Rai kwa wanywa 'thupu' Yanga kuwakemea baadhi ya Wachezaji kwani nidhamu inaonekana ni Tatizo
Hili ni angalizo La Mapema kwa Yanga. Eneo La nidhamu Limeonekana kulegalega katika Michezo ya hivi karibuni kwa baadhi ya Wachezaji wameonyesha Kiwango cha chini Sana cha Nidhamu.
Jambo hilo...
Aliyebuni hiki kitu,mbinguni moja kwa moja
Sehemu ninayoishi kuna mashabiki wengi sana wa Simba,mashabiki wa Simba kwa pamoja wana kikundi chao kiingilio ni 5000 na michango ya 1000 kwa mwezi.
Mwamba mmoja miongoni mwao alifariki na hana ndugu huku.
Simba waliubeba msiba kama wao hakuna kitu...
Yanga ilifungwa na Azam lakini wanaYanga wanaona poa tu. Kufungwa huku sio udhaifu bali ni mwanzo wa wachezaji na walimu kuongeza umakini na juhudi kwenye mechi.
Bila ya hivyo kiburi na kujiamini kulikopitiliza kungetamalaki kikosini. Hata wasanii wa hovyo walitunga nyimbo za kuwaaminisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.