yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Influenza

    Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

    TAARIFA KWA UMMA Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutarifu umma kuwa umevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Angel Miguel Gamondi. Vilevile, Uongozi wa Young Africans Sports Club, umesitisha mkataba wa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza, Moussa Ndaw. Uongozi wa...
  2. Teko Modise

    Sio siri tena, Gamondi ameshafukuzwa sijui Yanga wanaficha nini?

    Kutoka vyanzo vya ndani kabisa vya waliopo Yanga, Gamondi ameshapewa mkono wa kwaheri. Sijui kwanini Yanga hawataki kutangaza?
  3. M

    Viongozi wa Yanga nawapa pongezi kwa kufanya mambo kimyakimya bila kuwajibu wanaowazodoa

    Hii kitu nimeipenda sana, viongozi wa yanga wamepata shutuma za Kila aina wiki hizi tatu, timu ya yanga imechambuliwa na Kila mchambuzi na maneno yake, kocha kafukuzwa na wachambuzi. Lawama za Kila aina zimerushwa kwa yanga baada ya kupoteza mechi 2 dhidi ya Azam na Tabora united, lakini...
  4. M

    Wanachama wa Yanga na Simba ni mambumbu wa mpira. Wataazima viwanja mpaka dunia ina malizika

    Licha ya kuwa mpira ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu lkn kama mimi kama msomi sinabudi kuchambua mchezo huo. Tuanzie hapa. Yanga na simba ni timu kongwe sana Tanzania, ni timu zenye washabiki wengi na ndio timu zinazotegemewa ktk Afrika kwa ujumla. Yanga imevuma sana huko nyuma...
  5. Allen Kilewella

    Kumbe wachezaji wa Yanga walikuwepo uwanjani wakati Simba wanalipoifunga Tabora United 3-0?

    Nimeshangaa kujua kumbe Azizi Ki aliyekosa Penati siku Yanga inacheza na Tabora United, aliwaongoza wachezaji wenzake wa Yanga kuishuhudia Simba ikiidungua TABORA UNITED 3-0 Agosti 18 2024. Sasa kama hawakujifunza mbinu za kuifunga Tabora United toka kwa Simba, basi Yanga kufungwa kwao ni halali.
  6. Allen Kilewella

    Mbona hakuna update Simba Queens dhidi ya Yanga Princess?

    Nawasha TV nakuta Kuna mechi kati ya Yanga Princess na Simba Queens kwenye uwanja wa KMC. Mpaka Sasa naona tayari Simba Queens wametangulia moja bila dhidi ya Yanga Princess.
  7. mdukuzi

    Tetesi: Yanga walitibuana na Azam sababu ya Prince Dube Sasa wanatibuana na KMC sababu ya Moallin, KMC waapa kuwaonyesha wao ni nani

    Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla hawajacheza mechi hata moja,wameshapora...
  8. Komeo Lachuma

    Video: KMC acheni kutumika kuidhalilisha Yanga. Hizo Camera ndo muanze kufunga sasa mlikuwa wapi?

    Huu ni ujinga. Siku zote hamkufunga cameras. Tumekuja sisi mnataka kufunga CCTV. Maana yake sisi ndo tatizo? Acheni huo ujinga. Kuna nini cha kusema hizo cameras zitalinda pale uwanjani? Mbona hamna lolote la maana na kauwanja kenu kama ka shule ya msingi? Sisi tumemchukua kocha wenu yeye...
  9. Suley2019

    FIFA yaifungia Yanga kusajili kutokana na kushindwa kulipa madai ya Augustine Okrah

    VIA FIFA LEGAL PORTAL Young Africans Sport Club Miami, 11 November 2024 Ref. no. FDD-20161 Registration ban implementation Dear Madam, Dear Sir, We refer to the abovementioned matter, as well as the decision passed by FIFA in the matter ref. no. FPSD-15711 (the Decision) In this context, it...
  10. SAYVILLE

    Ligi ilinoga zaidi Simba na Yanga walipoacha kushea uwanja

    Yanga toka ilipoanza kutumia uwanja wa Azam Complex ilionekana kuukubali hadi ikaanza kutamba kama vile wao ndiyo wana umiliki. Simba ikahisi uwanja kama unawakataa, ikaanza kuhaha huku na kule kutafuta pa kujisitiri. Ni hadi ilipoupata uwanja wa KMC, Simba ndiyo ikaonekana kutulia, ikichangiwa...
  11. GENTAMYCINE

    Thabit Zaka za Kazi: Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango na nawadharau hata Mashabiki wao Wanaomumini

    "Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao...
  12. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Azam Company na Azam Media yaani Yanga SC kupitia Ali Kamwe wanaichafua 'Brand' yenu nyie mmenyamaza tu

    Ukiwa na Akili timamu na umemsikiliza vyema kabisa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utakubaliana nami kuwa kwa 100% anaichafua Brand ya Azam Company na Azam Media (hasa Tv yao) ila cha Kushangaza Watu wa Azam wala hawalioni na wanaona sawa tu. Hivi Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kusema kuwa Azam Tv...
  13. OKW BOBAN SUNZU

    Bodi ya Ligi: Yanga wametangaza uwanja wa KMC kabla ya approval, wanaweza kukataliwa

    https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjI Msikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja, lazima kuwe na sababu nzito. Sababu zilizotolewa na Uto ni kufungwa na Azam na Nyuki. Amesema...
  14. Yoda

    Ukubwa au ukongwe wa Simba na Yanga ni upi?

    Sijawahi kuelewa ukubwa wa hizi timu mbili za Simba na Yanga, Hivi timu kubwa zenye miaka 90 zinashindwaje kujenga uwanja hata mdogo Tanzania yenye ardhi kubwa na gharama ndogo za ujenzi?! Au umasikini wa watanzania unatafsiriwa kwenye hizi timu pia? Huwa nasikia watu wanaziita timu kubwa au...
  15. Gemini AI

    POTOSHI Manara alisema hakuna jipya wanalofanya Yanga ambalo Simba haijafanya

    Nimekutana na hii Video inasambaa huko Instagram ikimhusu aliyekuwa Msemaji wa Yanga, Haji Sunday Manara ikiwa na maneno kuwa Yanga haifanyi lolote jipya ambalo halikuwahi kufanywa na Simba! Imenishangaza hii kauli kama ni kweli Manara aliongea hivyo au imechezewa?
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Ali Kamwe: Azizi Ki aliona jiwe akipiga penati

    Taarifa Rasmi ya Yanga kupitia msemaji wake. My Take Hivi huyu jamaa anawaonaje fans wa Yanga?
  17. Torra Siabba

    Tukubali tukatae Yanga ni Walozi wakubwa

    Hapo juzi kulitoka Taarifa kwa Umma kwamba Yanga wamehama Chamazi kuja KMC Complex , hiyo ni baada ya Baadhi ya Video zao za Ulozi nje ya Uwanja kusambaa, na hata Zile Bomba za Sindano pia kusambazwa kwa Wingi. Unajua kwanini naamini kwamba Yanga ni Walozi, mechi za Simba Lazima aje kitofauti...
  18. OKW BOBAN SUNZU

    Yanga: Dube akikaribia goli, taa inapunguzwa mwanga asione goli

    Dube wetu ilikuwa akilikaribia Goli wenye ule uwanja wanatuma mtu wao apunguze mwanga wa Taa ili asione vizuri. Tumevumilia Mengi sana sisi. Haya ni maneno ya msemaji wa Yanga Ally Kamwe, akitoa taarifa kwa niaba ya club My Take Hata mimi niliona Azizi Ki alipopiga penati wakahamisha magoli
  19. U

    Furaha ya Simba ni Gamondi kuondoka Yanga

    Kocha Muargentina Miguel Gamond, a.k.a Mzee wa "FOR ME" amesababisha tatizo la kisaikolojia Kwa Mashabiki na Viongozi wa Simba , ambao wao wanaamini mafanikio ya club yao mchawi wao ni Miguel Gamond, Mzee wa For Me. Miguel Gamond anatengenezewa Zengwe na Simba ili afukuzwe , na tegemeo lao ni...
  20. mdukuzi

    Tetesi: Djigui Diara aomba kuondoka Yanga dirisha dogo, adai hana furaha Jangwani

    Yule mdaka mishale kipa mahiri kabisa barani Africa,Djigui Diara amemwandikia wakala wake akitaka kumtafutia timu haraka dirisha hili dogo. Lakini wanasheria wake pamoja na wakala waliguna maana gharama za kuvunja mkataba ni zaidi ya milioni 500. Diara anadai hana furaha jangwani sababu ya...
Back
Top Bottom