Its match day!!
Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni.
Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu.
Saa 10:00...
"Kama kocha huyu sifa zake ni kukuza na kuuza kama alivyosema, basi Krismas hafiki maana Klabu ya Yanga wamepita level hizo, tumuambie kuwa amekuja kwenye timu ambayo msimu uliopita wamechukua kila kitu na wametumia nguvu kubwa kumbakisha Stephane, Pacome na Mzize na malengo yao ni kufika mbali...
Caf hawajafanya fair kabisa kwa kumuacha kinda wa yanga kwenye orodha ya mchezaji chupikizi au kinda Clement Mzize mchango wake ni mkubwa alistahili kuwepo kinda hilo cha kushangaza hata jina lake halionekani au huko hakuna rushwa!
Tulipoandika tulitukanwa sanaaaa wengine wakaenda mbali mpaka kuwatukana wazazi wetu kisa habari za Moalin
Wengine wakatukataza kuandika habari za Yanga et tunaipa kashfa...🤣
Kiko waaaapi?
Kwanini Moalin sio Kocha Msaidizi?
Yanga walimwambia Sead aje yeye tu msaidizi yupo,Sead Ramovic...
Team working (kufanyakazi kwa pamoja) hakumaanishi kusogeleana sana kimwili kati ya viongozi na watumishi wake, bali ni kiongozi kufanya na kuwepo pale unapohitajika kuwepo kwa wakati na wale wanaokuhitaji na kufanya Yale unayopaswa kufanya kwenye taasisi kwa wakati.
Viongozi wa Yanga walikuwa...
Ni vichekesho kwa mbumbumbu eti wanaiponda cv ya kocha mpya wa yanga wakati ajawai kushusha timu daraja kama ilivyo kwa kocha wao fadlu ambae aliishusha Martizburg na akatimuliwa!
Kama cv zinakufanya kazi basi Simba wasingemchukua fadlu kwakuwa cv yake ilikuwa ni ya ovyo!
Unapochukua kocha...
Klabu ya Yanga Sc kupitia kwa Meneja wake wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe, imethibitisha kuwa jezi mpya za klabu hiyo kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zitazinduliwa Tarehe 20, Novemba 2024 na zitauzwa kwa Tsh 50,000/= tu.
"Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi...
Msemaji wa Young Africans SC, Ali Kamwe, amesema uongozi wa Yanga umekuwa makini na umepanga kwa weledi kuhakikisha mafanikio ya klabu yanaendelea.
"Uongozi wetu umefanya maamuzi sahihi katika wakati sahihi kwa maslahi ya furaha ya wana Yanga."
"Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta...
Ramovic alitangaza kujiuzulu nafasi yake kama kocha mkuu wa TS Galaxy kwenye televisheni baada ya timu yake kutoa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa ligi Kuu msimu huu.
Alipohojiwa na iDisk Times alisema kuwa anahitaji sehemu inayoendana na malengo yake kama kocha.
"Ni lazima niende sehemu...
TAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY.
.
🏟 — 76 Mechi
✅ — 27 Ushindi
🤝 — 22 Sare
❎ — 27 Vipigo
⚽ — 82 Magoli ya kufunga
🥅 — 68 Magoli ya kufungwa
🚫 — 31 Clean Sheet
OFFICIAL: Yanga SC 🇹🇿 imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya TS Galaxy,Saed Ramovic kuwa...
Sead Ramovic ni raia wa Ujerumani aliyezaliwa huko Stuttgart tarehe 14 ya Mwezi Machi mwaka 1979. Hivyo ana umri wa miaka 45. Pia, Kocha huyu ana uraia wa Bosnia.
Kocha huyu ana Leseni ya UEFA Pro na ana wastani wa miaka 3.13 katika kazi ya Ukocha. Pia anapendelea kutumia formation ya 4-2-3-1...
...Maisha ya Makocha wa Football kwenye Timu huwa hayategemei mafanikio uliyowapa huko nyuma bali mwenendo wa timu kwa wakati huo.
Maisha ya Makocha wa Klabu za Simba na Yanga huwa hayategemei rekodi uliyoiweka kwenye klabu bali kelele za Mashabiki na maamuzi ya viongozi kwa wakati huo.
Na hii...
Kila kitu tushasahau na single channel mind zetu tayari! Itakuwa gamond for 2 weeks kila kona nchi nzima then fahamu zetu ndio zitarudi tusubiri toleo lingine la maigizo tena. Mungu atuhurumie tu (kama yupo na anaona)
Bundi yupo jangwani Arafat makamu wa raisi alikuwa na msimamo wa kumuachia hersi timu yake na kuwashawizhi baadhi ya wadhamini kujiondoa klabuni hapo.
Chanzo nyeti kinasema Hersi alikua anasita kumvunjia mkataba gamondi lakini Arafat alisimama na msimamo wake hakuna kumpa muda tena gamondi timu...
Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi.
Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Novemba 14, 2024 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo;
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Young Africans, Miguel Gamondi amefungiwa michezo mitatu (3) na...
Wakuu mpo
Mimi ni mmoja wa walioshtushwa na kufukuzwa kwa Miguel Gamondi pale Yanga.
Inawezekana yapo nyuma ya pazia tusioyajua, ila naomba tudondoshe takwimu ambazo Yanga watamkumbuka Gamondi.
Makombe
🏆 1X NBC Premier league
🏆🏆2X FA Cup
🏆 1X Community shield
🏆 1X Toyota Cup
Ushindi wa 5-1 Vs...
Kwa historia ya wababe hawa wawili wa mpira Tanzania yaani Simba na Yanga haijawai kutokea wala kufikirika Kwa Kocha kufukuza na wala ukosefu wa Amani klabuni iwapo Timu ikipoteza mechi na Timu ndogo Kama Tabora United.
Tumezoea songombingo iwapo mmoja kapoteza kwa pacha wake, lakini ili la...
Sead Ramovic ni kocha wa Kijerumani ambaye anatajwa kwa nafasi kubwa kama mrithi wa Miguel Gamondi aliyefurushwa mapema leo.
Ramovic alikuwa anakinoa kikosi cha TS Galaxy kinachoshiriki Ligi Kuu ya Betway pale Afrika Kusini kuanzia mwaka 2021 -2024.
TS Galaxy inashika mkia katika msimamo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.