F.C Bravos do Maquis inayocheza na Simba leo (Shirikisho) nimeona kiwango Chao kiko juu sana kuliko Yanga. Leo hii ingekuwa inacheza na Yanga ingeshinda hata goli 3.
Jana pita pita yangu, nimeikuta jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu. Nia ilikuwa ya kununua na kufanyia mazoezi.
Nilidhani elfu 5 tu.
Najiuliza hivi mtanzania maskini ananua majezi ya club kwa bei hizi badala kutumia hela kusomesha watoto wake?
Hivi tumerogwa wapi
Kila kitu kimekuwa kibaya gafla mitaa ya jagwani na watu wengi wakiangaika kutafuta mbuzi wa kafara, mara kocha kawai kufutwa kazi mara simba wanacheza mechi zetu mara wachezaji awajitumi, wameridhika n.k
Lakini hawajui, hiki ndicho kinawatafuna yanga, msimu ulioisha tumeshuhudia yanga ikiwa ya...
Nimewahi kuandika hapa kwamba mbantu hawezi kufanya biashara kwa sababu huwa anashindwa kujitofautisha yeye na biashara yake. He think he is his business.
Kwa mfano akiwa anauza bidhaa fulani halafu watu wakawa wanaigombania sana yeye atadhani kwamba hao wateja wana mshobokea yeye na sio...
Mpaka sasanikitizama video za marudio ya mechi ya Yanga vs Al hilal nikiangalia jinsi ambavyo prince Dube alikuwa anaanguka peke yake bila kuguswa 😆 tena yupo kwenye position ya kufunga anaanguka kama walevi wa ambiance au K vant
Mpaka wqchezaji wa Al hilal wakawa wanaonyesha ishara ya...
Naona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa!
Yanga anapambana na mabingwa wa ligi zao sio washindwa walioshika nafasi za tatu na nne kwenye ligi...
Niliwahi kuonya habari ya madalali kwenye soka letu, nikaonya tabia ya kupenda vitu vya bei nafuu hatimaye naona Yanga wameingia kwenye mtego, wameenda kuchukua kocha wa bei nafuu, kocha wa viwango vya baba levo
Nashauri aliyewapa Yanga wazo la kumtimua Gamondi na kumleta huyu kanjanja akamatwe...
Ali kamwe alisema wameaminishwa kuwa Dube alikuwa hafungi kwa kuwa alikuwa amefungwa kwa nguvu za giza na timu fulani ila mganga mpya waliyempata amewahakikishia leo(jana) rasmi ataanza kufunga na wanamkabidhi mechi na ukisikia kukabidhiwa mechi ni zile takataka zote za kichawi hukabidhiwa...
Hebu tuwe wakweli shida ya Yanga ipo wapi?
Wachezaji hawana teamwork?
Ina wachezaji ambao hawajui kusoma wapinzani?
Wachezaji wamelewa sifa?
Physicality ya wachezaji ni hafifu?
Wameingia kwa dharau na matokeo mfukoni?
Karibu kwenye mjadala wa Utopolo katika Utopolo wao.
Pang Fung Mi
Tukisema kuna wachezaji wanatakiwa wafyekelewe mbali watu mnakuja juu.
Nacheki hapa Orlando anavomkimbiza CRB naona kwa hii kasi Yanga itakuja kututia aibu mbaya sana
Pacome huyu ni mzee.. ukiangalia tu sura yake unaona ni kibabu, mwili unakataa
Auchoo, huyu ni babu pia mwili unakataa ni bonge...
I salute you kinsmen.
Tulisema tangu mwanzo uongozi wetu Yanga unalega lega sana , kabla hata ya kufungwa na Azam, kisha Tabora ,na sasa wasudan wale .
Kuliikuwa na viashiria vingi tu uongozi wetu ulikuwa unafanya kazi kwa hisia sana kuliko akili.
Gamondi manzoni mwa msimu ule alihitaji...
Wana JF members Kuna siri gani inayofichwa mpaka kocha Gamond kufukuzwa kihuni na wahuni wa mjini.
1 .Je issues ni kuruhusu wachezaji kufanya mambo ya kijinga mpaka kulishwa visivyolishwa.
2. Je wachezaji wa club ya Yanga wanatumia dawa za kututumua misuli waingipo uwanjan.
Ushahidi wanao Azam...
Kumekucha Jangwani, wenyewe wahaha baada ya kipigo cha mbwa koko cha bao 2 kwa nunge dhidi ya Al Hilal ya Sudan.
Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
Mchezo ulikuwa mzuri
Mchezo umetuachia somo
Huko mbele tunapoenda tucheze vipi
Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana
Coach ni mzuri nadhani hajaijua timu vizuri anahitaji muda
Yanga kawaida mechi za kimataifa Huwa tunafanya vyema ugenini zaidi
Tushikamane wananchi
Tutashinda...
Kwa vyovyote vile kesho yanga watataka simba afungwe ili tuwe sawa, naomba uwanja ukasafishwe na takataka zote zikatolewe uwanjani ili kesho Ateba Mbida ateleze tu
Wanasimba kesho mapema tu uwanjani
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal
📆 26.11.2024
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 10:00 Jioni
Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal
Dakika ya 5
Mpira Umeanza
Dakika ya 10
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi
Dakika 25
Yanga wanakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 29
Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa...
Wakuu kurujuni imeanza kazi,
Kuna wahuni wamejimilikisha timu ilihali wamekuja mjini juzi. Mzee Magoma hayupo peke yake rudisheni timu kwa wenyewe mambo yakae sawa.
PIA SOMA
- Vipi tayari Mzee Magoma ameshapewa Yanga SC yake au bado Wezi na Matapeli wanaing'ang'ania tu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.