yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. technically

    Manara acha kuhujumu club ya yanga

    Manara nakuonya acha kuhujumu club ya yanga Africans Hii timu Ina historia kubwa katika mpira Hao waganga wako pamoja na wewe mtaenda pamoja Hii timu ni tunu ya Taifa ndio mwasisi wa Uhuru wa nchi hii Ndio kila kitu hauwezi kuwafanya wanayanga wakose furaha kwa wakati wote huo Nasema...
  2. Mtu Asiyejulikana

    Huyu Chama SImba walitubadilishia nini? kuna kitu Yanga hakipo sawa

    inawezekana kuna vitu hatufanyi au vinatuzuia kuwa Yanga ile moto moto. Huyu Chama tulimchukua kwa ajili ya nini? miaka yote tulikuwa tunasema Chama ni konokono tukaja msajili, huyu Baleke Simba waliachana naye pia hawakuona msaada kwake. tukaenda mchukua kama tulivyofanya kwa Okra. Nani...
  3. Waufukweni

    Florent Ibenge amvuta kocha wa Tabora United, aliyewafunga Yanga na kumpa jukumu

    Wakati zikisalia saa chache kabla ya Yanga kushuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na Al Hilal ya Sudan, kocha wa Waarabu hao Florent Ibenge amemvuta mjini kocha mmoja aliyewatibulia wenyeji wake. Ibenge amemuita jijini Dar es Salaam haraka kocha Anicet Kiazmak ambaye ni kocha wa Tabora...
  4. GENTAMYCINE

    Wale Matajiri wenye Kisimbuzi cha Kitajiri cha Dstv hizi Mechi za CAFCL ilipo Yanga na ile ya CAFCC iliyopo Simba tunazitizama katika Channels gani?

    Tafadhali kama unajijua unamiliki Visimbuzi vya Kimasikini cha Njia Panda Bamaga usithubutu kuja hapa Kuchangia.
  5. sergio 5

    Yanga SC ikishinda leo niitwe Aziza Jumanne

    Kama nilivyoandika hapo. Leo tujiandae kuona kocha mpya akiaibika. Yanga kama hamtaki aibu fanyeni kumkodi kocha wa Azam FC na team yake awasaidie otherwise Ibenge na Al Hilal yake atawauwa kweupe na taifa kuingia fedhea.
  6. Mshana Jr

    Kwa afya ya soka la Tanganyika, tuiombee Yanga ushindi leo

    Yanga inashuka dimbani leo ligi ya mabingwa na Al Hilal ya Sudani ikiwa ni majeruhi ya sumu ya nyuki wa Tabora baada ya kupigwa kipigo kibaya kabisa cha bao 3 kwa moja. Kipigo hicho kiliichanganya sana Yanga mpaka kufikia kumfukuza kocha wake aliyeifanyia mengi msimu huu Yanga bado ina kitete...
  7. Waufukweni

    Kocha wa Yanga, Ramovic aingia ubaridi, asema ni mara yake ya kwanza ligi ya Mabingwa

    Kuelekea katika mechi za kimataifa katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Sead Ramovic, amezungumza na waandishi wa Habari, akisema! "Hii ni mara yangu ya kwanza kwenye ligi ya mabingwa. Ni jambo la kheri sana kwangu kushiriki mashindano haya makubwa...
  8. The Watchman

    Yanga wasitarajie ushindi kutokana na kocha mpya, ubora wa wachezaji ndiyo utaibeba timu

    YangaSc Vs Al Hilal NJE YA PICHI.... Kesho Yanga watakuwa uwanjani dhidi ya Al Hilal miongoni mwa mchezo ambao nafikiri utakuwa mzuri na mgumu sana kulingana na ubora na uzoefu wa timu zote mbili. Msimu huu Al Hilal wanashiriki ligi kuu Mauritania ambako mpaka sasa wanaongoza ligi wakiwa...
  9. M

    Ni kwanini game ya Yanga imeahirishwa lakini ya Simba haikuahirishwa?

    Nimejiuliza sana sijapata jibu. Kama ni kwaajili ya mechi za Caf mbona wote wanacheza wiki hiyohiyo?? Anyway, inawezekana ni Yanga iliyoomba , na Simba ikaona yenyewe icheze tu. Na katika hili hakika Simba inaonekana haina pressure na mashindano ya Caf tofauti na Yanga. Pia Yanga...
  10. Gol D Roger

    Jezi za yanga zimehuzunisha sana japokuwa wengi wanazisifia

    Jezi za yanga hizi zilizotoka juzi hazina uhalisia kabisa, colour palette ya timu ya yanga ni kijani na njano. But hizi jezi mpya sijaelewa kwann wameamua kutumia rangi ambazo sio za yanga Yanga kuweni serious na brand yenu, hizo rangi hapo juu hazimo kweny official colour palette ya yanga...
  11. chiembe

    Simba na Yanga ni madude makubwa, washabiki wake wanaongozwa na imani, ni vyema kuwa makini pale tunapogusa mambo yake

    Hizi timu mambo yake na washabiki wake ni kama imani ya dini. Hata uwaambie nini, mashabiki wa timu hizi wamelewa, na wamejaa ushabiki, na hawataki uwaulize kwa kwa nini wanazipenda timu hizo, huwa hawana sababu. Ni sawa na dini. Pole Saidi Mtanda, mnyama akiwa mawindoni, kaa mbali
  12. GENTAMYCINE

    Simba ikishinda leo mbali na nuksi zote zilizotokea tukafanye sherehe kubwa

    Uongozi wa Simba SC nawalaumu sana kwani mlijisahau, kubweteka na kujiamini, badala ya Kujiandaa na Mechi hii muhimu Kwetu Sisi muda wote tukawa tunashangalia Watani zetu Yanga SC kupokea Vipigo viwili mfululizo vya Azam FC na Tabora United. Tulijua tokea Wiki Tatu au Mbili kuwa tunaenda...
  13. Waufukweni

    RC Mwanza, Mtanda alivyosema Yanga Oyee! Akiwahakikishia wadau Ushindi kwa Pamba Jiji dhidi ya Simba SC mechi yao ya Ligi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda alipokuwa anaongelea maandalizi ya Pamba Jiji kuelekea mechi ya kuikabili Simba SC, kesho Novemba 22, akiwahakikishia wasikilizaji kuwa katika game hiyo ushindi ni lazima wa Klabu hiyo ya Rock City, katika Uwanja wa Ccm Kirumba. Amesema hayo akiwa Kwimba...
  14. Komeo Lachuma

    TFF iangalie suala la hawa wachezaji wa Simba kuonesha hii ishara. Msije sema sisi Yanga wabaya

    Ni uhuni hawa mikia. Wanaonesha ishara ya kuwa sisi Yanga tunajidunga kwenye mshipa. Hili jambo walizusha Azam naona mikia wamelibeba. Yaani walikosa pose nyingine mpaka kutuoneshea sisi huu uhuni?ndo maana jerseys zao mbaya....sijapendq kabisa wao kutuoneshea kuwa sisi tunajidunga madawa.
  15. M

    Yanga wamefuta nyota kwenye jezi za ligi ya mabingwa. CAF hawataki nyota hewa. Ni mabingwa tu ndio wana nyota

    Habari wadau Naona Yanga wametoa jezi mpya kwa kwa ajili ya total caf champions league.. Wamefuta nyota zao walizoweka juu ya logo yao kwenye jezi zao za msimu huu walizochezea hatua za awali za caf champions league na ligi kuu ya tanzania. Watu wengi walishangaa why jezi ya mamelodi iwe na...
  16. E

    Kesho ni Pamba inayofadhiliwa na GSM vs Simba mpinzani wa Jadi wa Yanga

    Ni uonezi wa wazi kwa Simba Ila mwanaume atashinda
  17. Komeo Lachuma

    Sisi Yanga tumewazidi pakubwa sana Simba. Hasa upande wa Media na Waandishi

    Yanga hamutaiweza nyie mikia. Yanga inawekeza pia kwa Media sana tu toka enzi za Mwanaspoti, Dimba, Magazeti kama Mwananchi n.k tuna fungu la kutosha tu. Ukija kwa vyombo vya habari kama Radios. Hamtuwezi. Mkienda Wasafi, Clouds, TBC, Radio one, EFM huko kote tumekamata waandishi. Uwezo wa...
  18. Waufukweni

    Huu hapa uzi mpya wa Klabu ya Yanga wa Klabu Bingwa Afrika 2024/25

    Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya rasmi za nyumbani, ugenini na jezi ya tatu kwa ajili ya kampeni ya Kombe la Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2024/25. Jezi hizi mpya zitakuwa sehemu ya maandalizi ya timu kuelekea michuano hiyo, huku zikitarajiwa kutumika katika mechi zao za...
  19. Vincenzo Jr

    Yanga watangaza jezi mpya za Kimataifa 2024/25

    Leo saa 6 mchana timu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara Yanga SC itazindua jezi zake leo 20/11/2024 karibu katoka Uzi huu kupata update za champions league kits Young Africans SC 𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓🔰 Young Africans SC 𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐀𝐖𝐀𝐘 𝐊𝐈𝐓🔰 Young Africans SC 𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 -...
  20. GENTAMYCINE

    Simba, Yanga na Taifa Stars mtumieni Rais Samia sasa 2024 na 2025, kwani kuanzia 2026 msitegemee kuona akiwasaidia kwa lolote lile

    Kwakuwa tayari mmeshakubali Kutumika nae kama Mtaji wake wa Siasa na kumhakikishia Ushindi na ameshawawekeni Mtegoni mwake na mmejaa vizuri kwa mwaka huu 2024 na 2025 atawamwagieni sana Fedha zake ila akishapita tu Oktoba 2025 msitegemee kumuona akihangaika nanyi tena kwa lolote lile kwani...
Back
Top Bottom