yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Y

    MODERATOR USIFUTE HII TAFADHALI: NAPANGISHA FRAME YANGU YA KARIAKOO

    Wakuu napangisha frame yangu kariakoo iko mtaa wa Masasi jirani na hii barabara kuu ya Msimbazi na jirani na kituo cha mwendokasi cha Msimbazi.Inafaa kwa Simu, Vifaa vya Simu au Ufundi wa Simu. Kama utahitaji tuonane inbox.
  2. fakhbros

    Sikumjua baba yangu

    Mama yangu alichagua kutoolewa na baba yangu. Alimsihi, lakini alikuwa amependa mtu mwingine. Alijaribu kuwa sehemu ya maisha yangu nilipokuwa mdogo, lakini baada ya hapo, kimsingi alitoweka maishani mwangu. Mimi na baba yangu wa kambo hatukuelewana, alikuwa mtu wa kutukana na sote...
  3. W

    Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani?

    Habari za mchana watu wangu Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50) Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
  4. Nyaka-One

    Hivi hao mabikra 72 tulioahidiwa nitakuwa nao kwa lazima au kwa hiari yangu mwenyewe? Kama ni kwa hiari Itakuwaaje nikiwakataa?

    Hivi muda huo utakapowadia hao mabikra 72 tulioahidiwa nitakuwa nao kwa utashi wangu au kwa lazima? Kama ni kwa utashi wangu ikitokea mimi sihitaji bikra yoyote au nahitaji mmoja tu miongoni mwa hao 72 niliokabidhiwa, hao wengine watakaobaki watakabidhiwa kwa nani kwa kuzingatia kuwa tayari kila...
  5. Noel france

    Mimi nikiwa Mtanzania tena mzazi mwenye uchungu na matukio ya utekaji, hii inanifanya niichukie nchi yangu. Njii ipi nzuri ya kutatua ili tatizo?

    🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu. Kiukweli kunahaja wananchi...
  6. M

    Mazda CX5 ya mwaka2014 kushuka chini ndo budget yangu

    Wakuu mfuko wangu unaniruhusu kununua Mazda CX5 yakuanzia mwaka 2014 kushuka chini...msaada wenu nichukue ya specification zipi kuanzia engine,rangi nakila kitu
  7. Mwachiluwi

    Rafiki yangu ni mtu wa sifa ananikwaza sana

    Nina rafiki ambaye ni mpenda sifa mimi mtu mwenye sifa siwezani nae naweza kaa nae mnapiga story za kawaida tu ila ataanza jisifia hapo mara yeye hivi mara vile ni kero for sure Mimi sipendi kukaa na watu wengi nikikaa watu wasizid 4 wakizid nasepa ila huyu jamaa mswahili anaweza akaja getho...
  8. Melki Wamatukio

    Rafiki yangu anayependa wanawake hatimaye apata Gono

    Siku za nyuma niliwahi kuleta uzi juu ya rafiki yangu ambaye tuna-share baadhi ya idea kuhusu kazi na maisha, nilimuelezea vya kutosha kuwa yeye na nyapu ni sawa na fisi na mifupa. Hata apite wa gharama gani, ni yuko tayari kuuza hata roho ili aonje tu hata kwa nusu dakika, kwake inatosha...
  9. H

    Safari yangu ya utafutaji wa ajira

    Habari wana JF July 2021 nilikuja humu kwa wana JF nikiwa natafuta kazi Click here for the reference. Nataka kushare na nyie wadau mambo niliyojifunza katika utafutaji wangu wa ajira, pengine kuna mtu itamsaidia hasa sisi tusiokuwa na connection. Kuna post ya mdau hapa JF niliiona ilikuwa...
  10. Technophilic Pool

    Naangaliaje TIN yangu online??

    Nimeingia kwene TRA online siiioni ! Wenye uzoefu nisaidieni
  11. mahatmaxlla

    Mama wa jirani yangu ameniomba chumvi na sukari saa kumi usiku

    Wakuu habari. Mungu wangu awatie nguvu na moyo wa mapambano awajalie neema na baraka. Naomba kujua Chumvi inahusika vipi kutibu tatizo la tumbo. Jirani yangu(mpangaji mwenzangu) dada wa umri kati ya miaka 15 hadi 20 kanigongea saa kumi kamili usiku anahitaji chumvi na sukari mama yake anaumwa...
  12. L

    Experience yangu ya matumizi ya tiGO fiber

    Nimekuwa nikitumia superkasi kwa muda na nilijaribu ile ya airtel japo performance zilikuwa poa ila nilikuwa nikipata shida ya latency kuwa kubwa maana mainly shughuli zangu zina involve calls za zoom and google meet. so recently tigo wamesambaza fiber yao mpaka huku bunju nikaamua na mimi...
  13. GENTAMYCINE

    Hivi ambaye huwa hamuelewi anachokifanya huyu Dada Dk. Anna Henga wa LHRC ni Mimi peke yangu au?

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kimelaani hatua ya Jeshi la Polisi kuwashikilia baadhi ya Viongozi na Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadhi ya Waandishi wa Habari, baada ya Chama CHADEMA kupanga kufanya kongamano la maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani...
  14. Kiby

    Maombi na dua yangu kwa taifa la Tanzania kwa yale yanayoendelea

    Basi sasa, Ee Mungu wetu, yasikilize maombi ya mtumishi wako, na dua zake, ukaangazishe uso wako juu ya patakatifu pako palipo ukiwa, kwa ajili ya Bwana. Ee Mungu wangu, tega sikio lako, ukasikie; fumbua macho yako ukautazame ukiwa wetu, na nchi ile ulioitwa kwa jina lako; maana hatukutolei...
  15. E

    Nahitaji wataalamu wa coding watakaonisaidia kutengeneza application yangu na website

    Naweza kupata team ya developers?
  16. Analyse

    Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

    Portion 01: Here We Go! ....Kwa upande wangu ni miongoni mwa wale watu wanaoamini maisha ni popote hivyo ni kawaida sana ukisikia naishi kijijini ndani ndani kabisa, cha msingi niwe naingiza hela. Kutokana na hiyo mentality, nimejikuta naishi sehemu nyingi sana hapa Tanzania. Moja kati ya...
  17. baba aura

    Pikipiki yangu inachelewa kuwaka

    Habar wakuu,Nina pikipiki aina ya boxer bm 150 inatatizo moja La kuchelewa hasa ikiwa nimeipaki kwa nusu saa hivi,nimejaribu kwenda kwa mafundi ila wamekuwa wanatoa maoni tofauti tofauti. Nawasha kwa kutumia kick ila kuna mda nafikiria ninunulie motor starter itakuwa suluhisho LA tatizo au...
  18. T

    Pre GE2025 Makalla: Lissu ni ndugu yangu yupo mbioni kuja CCM maana CHADEMA wanaendekeza rushwa wakati Lissu hapendi kabisa

    Akihutubia wananchi wa mkoa wa Kagera makala amesema chadema wameshindwa kabisa kujibu kiu ya Lissu ambapo Lissu amelalamikia rushwa na kukosekana demokrasia ndani ya CHADEMA lakini hawana mpango wowote kuyashughulikia. Ndugu Makalla amesema kutokana na ukweli huo alimsikia Lissu akisema...
  19. mahindi hayaoti mjini

    Nimeshaanzisha kampuni yangu, nataka niwe napata tender za serikali nifanyeje?

    Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi? Tafadhali sana Karibuni
  20. GENTAMYCINE

    Tafadhali ID yangu hii isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili za Usiku wa Leo tarehe 8 August,2024 basi jueni kuna tatizo Kubwa la Mtandao huku niliko

    Nimeamua kutoa mapema tu Taarifa hii ili ID yangu isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili ya Usiku wa Leo msinishangae.
Back
Top Bottom