Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Nilikuwa pale mnazi mmoja(Dar) nikawa narequest Bolt ili niwahi mzigoni, bodaboda akapita kama mshale akapokonya simu.
Inaonekana alishaona kuwa pale karibu hamna bodaboda mwingine amesimama muda ule ndio maana hata nikashindwa kumkimbiza, watu waliokuwa arround waliona ila hawakuwa na msaada...
Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.
Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna...
Salaam moja kwa moja kwenye mada! Wiki mbili zilizopita nilipata bahati ya mzigo kwa bei rahisi! Basi nikawa na pesa nusu ya kuulipia na nusu iliyobaki nikaona nikope hii NBC! Na kumuahidi muuzaji ndani ya siku tano tu nitamalizia nikiwa na uhakika na hii bank hasa baada ya kuamini matangazo yao...
Nilianza kama memory card isiyokuwa na chochote, empty
nikiwa mtu na safi sijajitia unajisi na chochote.. ilikuwa hivi..
Naenda kiumri
~ Age 8 -
Nilipendwa na mdada tulikua tunasoma nae mimi mtoto wa mwalimu na yeye alikuwa mtoto wa mwalimu, saa 4 tunaenda ofisini kunywa chai 👩❤️👨
sikuwa...
Wazee habari za majukumu nina shida ya ngozi ambayo inapelekea fingerprint za mikono yangu kadiri siku zinavyozidi kwenda .
Binafsi mi likija suala linalohusisha fingerprint kwangu uwa ni kimbembe psychological uwa inaniumiza sababu ni case inayojirudia mara kwa mara kutokana na life style...
Habari wadau. Naombeni mwenye anajua namna kuirudisha account ya Twitter ifanye kazi anisaidie wadau.
Account yangu imefungwa ina wiki moja na siku kadhaa sasa. Imekuwa- suspended, nimefwata procedure zao za ku-unlock kwenye account ya X, naona wananizengua tu. Kama kuna mdau yoyote anayejua...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja.
Miaka miwili...
Currently porfolio yangu ina coin zifuatazo:
Ripple (XRP)
Cardano (ADA)
Tron (TRX)
Kuna coin zimenipita mpaka najilaumu:
- Solana last year wakati price ilikua $9. Leo hii 1 SOL = $164
- Binance coing (BNB) mwaka 2018 mwanzoni (na pesa nilikua nayo kabisa) price ilikua $5, leo hii 1 BNB =...
Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani TAzara na Tazama ni muhimu zaidi kuliko wao, Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ wamalize mchezo.Watoto wa St Petersburg nani awafute machozi?
Ni kheri kumuenzi Keneth Kaunda na...
Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80
Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either magereza,ffu,Traffic,Police etc
Anahitaji kujua kua akifanikiwa kupita mafunzo na kila kitu na...
Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, Mimi ni me(29) elimu yangu Kidato Cha sita ninapatikana Dar es salaam ninaujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse supervisor, import and export preparation documents.
Mawasiliano yangu ni 0693414477.
Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, mimi ni me(29) elimu yangu Kidato cha sita ninapatikana Dar es Salaam.
Nina ujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse supervisor, import and export preparation documents.
Mawasiliano yangu ni 0693414477
Habari za saa hizi wana jamvi ,
Nimejisajili na kufungua account ya ajira portal vizuri ila nlikosea kufanya usajili kwenye kipengele cha academic qualification nilikosea kujaza level ya education kwa sasa najaribu kufanya marekebisho kwenye hicho kipengele inakataa haikubali na nmejaribu...
Nadhani sasa ifike muda Viongozi wa Simba SC muanze Kuutumia sana huu Mtandao wa JamiiForums ambapo wana Simba SC wote wenye Akili Kubwa na tunaoujua Mpira kwa Kuucheza kwa Viwango vyetu na Kuuchambua ili muwe mnachukua na kufanyia Kazi mawazo yetu.
Hivi Uongozi wa Simba SC kabisa kabisa huyu...
Huyu bwana ni kama tulikua tumeshampoteza, lilikua ni suala la kuhesabu siku tu maana hata mkewe alikua kamkatia tamaa. Wakuu mambo haya yasikieni nyie akina min -me , hiv watu mnapata wapi ujasiri wa kusema hakuna uchawi??
Kwakwel kila nikitafakari sipati jibu kwamba hivi ni mahubiri gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.