yombo vituka

Yombo Vituka (Kata ya Yombo Vituka , in Swahili) is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The Kiwalani of Ilala MC forms the ward's northern boundary. Ilala MC's Kipawa and Kitunda are to the west. The ward is bounded to the east by Kilakala and Makangarawe. The ward is bordered with Buza to the south. According to the 2012 census, the ward has a total population of 76,999.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie Watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, kuna mambo ya Uongozi hayapo sawa

    Mimi ni mmoja wa watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa magumu kutokana na mwenendo wa katibu wa kituo chetu. Sisi watumishi tunafanya kazi kwa muda wa ziada (overtime), lakini malipo yake hayafanyiki...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya maegesho ya malori makubwa katika eneo la makazi lililopo Folkland, Lumo, Vituka

    Naomba mamlaka husika zifuatilie na kujiridhisha kuhusu uhalali wa maegesho ya malori makubwa aina ya semi-trailer katika eneo la makazi lililopo Folkland, Lumo, Vituka, karibu na Nyumbani Lodge. Malori haya yamekuwa kero kubwa kwa wakazi wa eneo hilo. Kutokana na uzito wake, unaokadiriwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tumeshampata!’ – Yombo Vituka Yamlilia Fulgence Lwiza Kabla ya Kura za CCM"

    "Tumeshampata!’ – Yombo Vituka Yamlilia Fulgence Lwiza Kabla ya Kura za CCM" Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam Kata ya Yombo Vituka, Wilaya ya Temeke, imeingia katika hekaheka za uchaguzi wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku jina la mgombea mmoja likianza kung’ara kabla hata ya kura...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Fulgence Lwiza aendelea kung'ara mbele ya wajumbe wa CCM huko Yombo Vituka

    Katika siasa za ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), jina la Fulgence Lwiza limezidi kupewa uzito mkubwa katika Kata ya Yombo Vituka, Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam. Kwa sasa, hakuna anayeweza kupuuza nguvu, ushawishi na mvuto wa mwanasiasa huyu kijana ambaye amekuwa akigusa karibu kila...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini shule ya kata Yombo Vituka imebadilishwa jina na kuitwa shule ya kata Kurasini huku bado ipo eneo lile lile la Yombo Vituka ?

    Habari wadau. Kuna jambo limenishangaza sana. Katika mtaa wa lumo, kata ya yombo vituka, wilaya ya temeke kuna shule ya sekondari iliyojengwa awamu ya 4 rais akiwa Kikwete katika mradi wa shule za kata. Shule hiyo ya sekondari ilipewa jina la Lumo secondary. Then ikabadilishwa jina na kuitwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ya Mtaa Yombo Vituka, mnatuchanganya, wekeni ufafanuzi wa kiasi cha kulipa “hela ya Taka”

    Mimi ni Mkazi wa Kata ya Yombo Vituka, hapa mtaani kwetu moja ya kero kubwa ni kukosekana kwa utaratibu mzuri wa utaratibu wa kulipia malipo ya taka. Viongozi wetu wa Serikali ya Mtaa wanaweza kuona ni kitu kidogo lakini kina kera, kwanza tunapolipa tunatakiwa kulipa kwa kila chumba au kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…