Baada ya aliyekua CDF wetu kipindi cha mwenda zake na kuzungumza katika kumbukizi ya Hayati Pombe Magufuli najiuliza uyu Dokta yupo wapi kwa sasa?
CDF aliyepita kaongea mengi na yakufikirisha kwa mantiki ya viongozi kadhaa kutokujua katiba yetu inasema/inataka nini kwa tukio kama lile...
Mapenzi ni upuuzi tu ngoja nifocus na maisha, kiukweli nimefunga nimeomba kwa Mungu mke wangu siku akifika nitamuona tu, yaani sitatumia nguvu nyingi kama ninayotumia kwa huyu binti.
Kiukweli binti ni mzuri binti wa Manyovu huko mnanira asili yake ni kama mtusi fulani kutoka rwanda, black...
Baada ya Malalamiko mengi ya Wadau kuhusu GSM kuwa na Udhamini wa Timu zaidi ya Sita kwenye Ligi ya NBC, na kufanya Mpira wetu kuwa na sintofahamu kwa sababu GSM pia ndiyo mdhamini wa timu ya Yanga.
baada ya Viongozi sa Simba kuhoji hilo Kwa TFF, TFF imekuja na Jibu kwamba hakuna anayeruhusiwa...
Kuna kitu humu mbeleni anataka kukifanya USA kwenye usafiri wa anga
Shirika la anga la NASA limezindua ndege aina ya supersonic engine X59 na ni ya, abiria
Hii ndege Ina speed zaidi ya sauti.
Ni maboresho ya ndege aina ya Concorde zilizokuwa zinatumika huko nyuma.
Hii ndege Ina uwezo mkubwa...
Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na waliotangulia mbele ya haki. Nimewaweka kulingana na ubora wao. Namba moja ina maana ndo bora...
Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania .
Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa...
RC, hana mamlaka ya kutoa AMRI kwa JWTZ. Kanuni za jeshi zinamtaka yeye (RC) kufanya maombi kwa fomu maalum kwa Waziri wa Ulinzi ili jeshi lije uraiani. Lakini, kuna masharti, kabla ya kupeleka ombi, ni lazima eneo husika liwe na FUJO (riot) au shughuli hatarishi ambapo jeshi hupelekwa KULINDA...
Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC.
Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
Tunaomba utulivu, huyu wakala wa mabeberu yuko na Kagame
President Kagame met with President Volodymyr Zelensky and discussed the ongoing situation in Ukraine and efforts to resolve the conflict
Tumezoea kusika uropokaji wa aliekuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia mitandao ya kijamii na hata kwenye mikutano.Ni muda umepita bila ya kumsikia huyu jamaa.Binafsi naamini atakuwa na issues kwani si kawaida yake kukaa kimya.
1. Naomba
2. Nadhani
3. Sijui
4. Jitahidini
5. Sikubaliani
6. Hela ipo
7. Nasikitika
Ukikutana na Mtu yoyote anasema Maneno haya tajwa hapa juu jua tu kuwa hana akili (Upeo mdogo ), Mvivu Mvivu hata katika Kuongea na Kutembea na yuko hapo aliko kwa bahati mbaya mno.
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, cha kila Jumatatu, kaonyesha misimamo yake.
Kuwa, anapenda aone wananchi wana uelewa wa kutosha kuhusu maono ya Mama yetu Raisi.
Na kuwa yeye (Mtaka) hukaa na viongozi wenzake kutafsiri na kutekeleza maono na matarajio ya Raisi kwa...
1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na glass zipo.
4. Inshort things are mess
Huu ni ushamba kwa serikali inayojinasibu kuwa ni ya watu kufichaficha vitu ambavyo havistahili kufichwa! Kwani serikali ingetangaza kuwa Makamu wa Rais Dr. Mpango amesafiri kwenda nje ya nchi kutibiwa, au kupima afya au kusoma ingepungukiwa nini? Badala yake Kigogo amepata ujiko kwa kusambaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.