Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala...
Huyu dada muimbaji wa nyimbo za injili na kisauti chake kizuri kama cha mtoto yuko wapi wadau sijamsikia kitambo sana kwenye game.
Kuna kibao chake kimoja kinaitwa ninalia halafu kinaitikiwa pole sana....kitambo sana asee
Yuko wapi dada Jenipher Mgendi mwenye kujua tafadhali.
Uzi tayari.
Hello!
Amani ya Mungu iwe nanyi.
Ukiona binti anavaa nguo za kiume, anacheza michezo ya kiume, anaongea kiume, anacheza na wanaume haswa huyo ana pepo mchafu. Huyo pepo mchafu kadri siku zinavyososonga anabadili mpaka sura ya huyo binti na kuwa kama mwanaume.
Ukiwa na ndugu au mtoto wa hivyo...
1. Marekani haijawahi kuwa na rais pro Israel kuliko bwana Joe Biden aliyeko madarakani sasa.
2. Yupo kwenye rekodi Joe Biden akisema commitment yake kwa Israel ni unconditional, iron clad na vya namna hiyo; kuwa atasimama nao hata iweje!
3. Kwamba hapo #3 atakuwa nao hata wamtie vidole...
Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu.
Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi...
Nimemsikia Mhe. Bashe akihitimisha hotuba yake ya Bajeti ya Kilimo 2024/25 kwa kweli Mhe. Bashe yuko vizuri na imara katika kuongoza Wizara ya Kilimo.
Mhe. Bashe amezungumzia zao la ufuta, korosho, pamba, kahawa na mazao mchanganyiko. Kwa maelezo yale kama Serikali itifanyia kazi ushauri wake...
Katika kuelekea World Press Freedom Day, ambayo huadhimishwa kila tarehe 3 Mei, waandishi waliandaa marathon ya kilomita 10. Mbio hizo zilifanyika Dodoma ambao wanatasnia wa habari wamekusanyika kwa ajili ya kuipamba siku ya uhuru wa habari duniani.
Mbio hizo zimefanyika Mei Mesi, na...
Huu Ni utapeli bhna mtu ankusumbua naomba salio either vocha lkn ajabu Bado Yuko online na Yuko Muda wote Sasa salio la Kaz gani
Kuna bint kaniudh San Jana kaomba nikampoteza asbh Tena anataka nimtumie vocha na bado Yuko active Hadi HV Sasa
Nahisi huyo bint Yuko humu maana Ni member wa muda...
Simsemi kwa ubayaaaaaa
Mpwa huyu ajawahii kuwaacha makocha WA kigeni SALAMA kamweee
Hii post ya 3 na kama SIMBA wanataka kudonga MBELE wasahauu MATOLA KWENYE bench
Sioo kwa nia mbaya nakupaa homework fwatiliaaa
NIKOPALE KWA wakala ......
KABLA ya Aug BENCHIKA ATAKUWA SIMULIZI PALE...
Mtoto wa kiume yupo atarini kupotea katika dunia ya sasa.
Najiuliza tu hawa wanaoleta agenda kila siku zakumkuza mtoto wakike (tena ni wanamume) , hawaoni kama mtoto wakiume nae anatakiwa kutazamwa ili kutatuliwa changamoto zake.
so sad kuona nowdays wanaume kuact kama mwanamke kwenye...
Nafikisha lalamiko langu juu ya mkazi huyu wa Mbezi Beach kwa Dokta Hiza.
Huyu bwana anafanya ujenzi wa nyumba yake, na kuacha malori yanayopeleka mchanga na vifaa vya ujenzi yapite hapa kwenye mtaro wakati mtaro huo hauwezi kustahimili uzito huo na kupelekea kuanza kumegua mtaro huo.
Njia...
Anonymous
Thread
kwanza
mwenzetu
ofisi
sheria
taarifa
uharibifu
yuko
Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana.
Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa yuko wapi leo na anafanya nini?
Amani iwe kwenu.
Mimi siyo muumini wa uchawa na wala siyo chawa. Huyu mzee wetu alikuwa chuma haswa kiutendaji Kwa nafasi alizowahi kuzishika.
Mama Samia kama itakupendeza kama Mzee wetu Agrey Mwandri umri unamruhusu basi mpe mkoa wa dar awe mkuu wa mkoa atakusaidia sana.
Alianza kumfuatilia mrembo huyo miezi kwa miezi kadhaa bila mafanikio, mtoto kaumbika, rangi ya mtume. Binti huyo alimaliza chuo mwaka juzi na kaajiriwa dar kwenye kampuni moja kubwa tu. Alikua na mtoto mmoja aliemzaa mara tu baada ya kumaliza chuo
Mwezi uliopita jamaa ndipo alipewa tunda mara...
Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki
Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu, yuko wapi?
Binafsi kama mwananchi na kama mfuasi wake ni haki yangu jua alipo maana na ni siku zimepita kidogo simsikii wapi alipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.