Umewahi kuwa na mahusiano na mtu ambaye unajua yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine, iliishaje?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Kuna hii concept ya "Open relationship" kwamba wewe uko kwenye mahusiano na mtu lakini mnapeana ruhusa ya kuwa na mahusiano na watu wengine nje ya mahusiano yenu.

Miezi kadhaa iliyopita niliwahi kukutana na rafiki yangu ambaye niliwahi kufanya nae kazi miaka ya nyuma. Ni kijana flani hivi mzuri "my type" na ni mpole alafu anajali sana nikawaga nimemuelewa ila kwa sababu tulikuwa tunafanya kazi sehemu moja siweza kumake a move ya kumuweka karibu.

Basi miaka ikapita mimi nikaja Dar nikaendelea na mishe zangu mwaka huu na yeye akahamishiwa kikazi huku. Akanitafuta tukawa tunatoka tukawa marafiki wa karibu mimi at some point nikawa namuona kama kaka. Sasa jamaa akafunguka bwana na mimi nilikuwa single, akasema na yeye aliwahi kunielewaga kipindi hicho ila alinionaga kama mdogo wake ila sasa hivi yuko tayari tudate.

Nikamuuliza kama yuko single akanijibu yuko kwenye mahusiano ila mdada yuko Mwanza na wako kwenye "Open relationship" wamepeana ruhusa kudate watu wengine. Nimemwambia nitampa jibu ila tunaendelea kuhang kama kawaida kama marafiki.

Shida nikwamba nimeanza kumpenda na siwez kumkubalia, naumia na sijui nifanye nini?
 
Jaribu uone upande wake wa pili
 
Hii dhana ya open relationship, naonaga km ni unafiki.
Hata kwa mapenzi ya jinsia 1 enyewe inatokea tyuuh, ila sio kwamba inakubalika, ni vile bas tyuuh.

WIVU!! hii kitu ni lazima ktk mapenzi ya kweli, ikikosekana hakuna mapenzi hapo.
 
Kuna hii concept ya "Open relationship" kwamba wewe uko kwenye mahusiano na mtu lakini mnapeana ruhusa ya kuwa na mahusiano na watu wengine nje ya mahusiano yenu.

Miezi kadhaa iliyopita niliwahi kukutana na rafiki yangu ambaye niliwahi kufanya nae kazi miaka ya nyuma. Ni kijana flani hivi mzuri "my type" na ni mpole alafu anajali sana nikawaga nimemuelewa ila kwa sababu tulikuwa tunafanya kazi sehemu moja siweza kumake a move ya kumuweka karibu.

Basi miaka ikapita mimi nikaja Dar nikaendelea na mishe zangu mwaka huu na yeye akahamishiwa kikazi huku. Akanitafuta tukawa tunatoka tukawa marafiki wa karibu mimi at some point nikawa namuona kama kaka. Sasa jamaa akafunguka bwana na mimi nilikuwa single, akasema na yeye aliwahi kunielewaga kipindi hicho ila alinionaga kama mdogo wake ila sasa hivi yuko tayari tudate.

Nikamuuliza kama yuko single akanijibu yuko kwenye mahusiano ila mdada yuko Mwanza na wako kwenye "Open relationship" wamepeana ruhusa kudate watu wengine. Nimemwambia nitampa jibu ila tunaendelea kuhang kama kawaida kama marafiki.

Shida nikwamba nimeanza kumpenda na siwez kumkubalia, naumia na sijui nifanye nini?
Siku hizi hakuna kunyimana mpe mbususu ukiwa una msubiri wa kwako
 
Sio jambo rahisi hata kidogo, unaweza ukajitahidi kuvumilia mwanzoni tu ila baada ya muda kifua kitaanza kujaa Kwa wivu

Na Kwa hapa DSM, jiandae kuugua UTI Sugu

Itafikia wakati hospitali watahisi ni mpenzi wa kupita barabara za vumbi ili hali Serikali imejenga Lami hadi huku Nanjilinji
 
Mambo uyapendayo 😁
Kumbe nako kuna wivu
😂😂😂😂😂

Sasa D, kuna mapenzi bila wivu? Kumbuka ni mapenzi, sio urafiki atiiii.
Yaan uone ba tamu ako yuko na chick ingine uvumilie?

Mie nishashindwa kwa kweli, UNAFIKI sijajaliwa.
Bora kuwa single mbona, 😂😂😂😂😂
 
Ninampongeza sana shetani kwa ubunifu wake wa kuziremba dhambi zionekane za kawaida na za kuvutia hasa dhambi ya uasherati. Hii dhambi imepewa majina mengi sana ya kuvutia. Mleta mada huoni kama hicho kinachoitwa Open relationship ni ushetani?
 
Kwenye mada zangu ukija ukiwa serious utakasirika mwaya. relaax
 
😂😂😂😂😂

Sasa D, kuna mapenzi bila wivu? Kumbuka ni mapenzi, sio urafiki atiiii.
Yaan uone ba tamu ako yuko na chick ingine uvumilie?

Mie nishashindwa kwa kweli, UNAFIKI sijajaliwa.
Bora kuwa single mbona, 😂😂😂😂😂
Kuna manzi wangu fulani wa zamani aliolewa akaachika. Kwa sasa yupo single ila anadai kuna jamaa (mume wa mtu) kaingia nae makubaliano kuwa wasiwe wapenzi ila manzi akiwa na hamu jamaa ampige miti. Uhusiano wao ni wa kwenye kupigana miti tu pale kunapokuwa na hitaji.
 
Back
Top Bottom