Umewahi kuwa na mahusiano na mtu ambaye unajua yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine, iliishaje?

Ninampongeza sana shetani kwa ubunifu wake wa kuziremba dhambi zionekane za kawaida na za kuvutia hasa dhambi ya uasherati. Hii dhambi imepewa majina mengi sana ya kuvutia. Mleta mada huoni kama hicho kinachoitwa Open relationship ni ushetani?
Mda mwingine dhambi ni mtazamo tu, Hivi nimekubaliana na manzi kaja geto nimepoa nae siku mbili au tatu full burudani..... tunapiga supu kila mtu anarudi kwake nawasiliana nae mpaka kafika kwake kila mtu kafurahi sasa hapo ubaya upo wapi?
 
Kulala na mwanamke sio dhambi kama ni kulala hii ya kawaida.
 
Ninampongeza sana shetani kwa ubunifu wake wa kuziremba dhambi zionekane za kawaida na za kuvutia hasa dhambi ya uasherati. Hii dhambi imepewa majina mengi sana ya kuvutia. Mleta mada huoni kama hicho kinachoitwa Open relationship ni ushetani?
chawa nae anajua eti kuna "shetani"!! Haya bhana.
 
Mruhusu aingize kichwa ukiwa na ufahamu kwamba wewe sio bikra na ukifa mchwa watakula ****,no reforms no election
 
Wapwa Mimi nina wivu Kwa mtu nliyemkuta BIKRA Zaid ya hapo open relationship inanifaa zaidi
 
Back
Top Bottom