Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Kama mimi, acha nikae nalo moyoni tu 🤣🤣🤣🤣Ningeandika kitu, ila mwanasheria wangu bado hajapata muhuri 😁
Kama mimi, acha nikae nalo moyoni tu 🤣🤣🤣🤣Ningeandika kitu, ila mwanasheria wangu bado hajapata muhuri 😁
Huu sasa ni zaidi ya UNAFIKI. lolKuna manzi wangu fulani wa zamani aliolewa akaachika. Kwa sasa yupo single ila anadai kuna jamaa (mume wa mtu) kaingia nae makubaliano kuwa wasiwe wapenzi ila manzi akiwa na hamu jamaa ampige miti. Uhusiano wao ni wa kwenye kupigana miti tu pale kunapokuwa na hitaji.
Bila vurugu sina Amani kabisa, yaan vurugu na heka heka mie ndo amani yangu.mapenzi ya jinsia 1 Tena, meji ume anza vurugu 😂 🦅
Ni washenzi sana.Huu sasa ni zaidi ya UNAFIKI. lol
Wanawezajee kwanii?
Haha visa ni hatariKama mimi, acha nikae nalo moyoni tu 🤣🤣🤣🤣
Kuna mambo naingia nayo kaburini, kuliko kusema bora uniue tu 🤣😅Haha visa ni hatari
Hata ukilewa huwezi sema 😁
Ni washenzi sana.
Unampenda na huwezi kumkubalia na unaumia?Kuna hii concept ya "Open relationship" kwamba wewe uko kwenye mahusiano na mtu lakini mnapeana ruhusa ya kuwa na mahusiano na watu wengine nje ya mahusiano yenu.
Miezi kadhaa iliyopita niliwahi kukutana na rafiki yangu ambaye niliwahi kufanya nae kazi miaka ya nyuma. Ni kijana flani hivi mzuri "my type" na ni mpole alafu anajali sana nikawaga nimemuelewa ila kwa sababu tulikuwa tunafanya kazi sehemu moja siweza kumake a move ya kumuweka karibu.
Basi miaka ikapita mimi nikaja Dar nikaendelea na mishe zangu mwaka huu na yeye akahamishiwa kikazi huku. Akanitafuta tukawa tunatoka tukawa marafiki wa karibu mimi at some point nikawa namuona kama kaka. Sasa jamaa akafunguka bwana na mimi nilikuwa single, akasema na yeye aliwahi kunielewaga kipindi hicho ila alinionaga kama mdogo wake ila sasa hivi yuko tayari tudate.
Nikamuuliza kama yuko single akanijibu yuko kwenye mahusiano ila mdada yuko Mwanza na wako kwenye "Open relationship" wamepeana ruhusa kudate watu wengine. Nimemwambia nitampa jibu ila tunaendelea kuhang kama kawaida kama marafiki.
Shida nikwamba nimeanza kumpenda na siwez kumkubalia, naumia na sijui nifanye nini?
Daah bas aje kwangu tu maan me npo single emu mshawishi na wewe tuone kama ntapata chochote kitu.Hakuna mapenzi bila WIVU, tusidanganyane wala kuongopeana.
Unless hamjapendana ile ya kweli,
"Sikatai yule muonesha wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenza"
Alisemaga Alikiba. 😂😂😂😂😂
Dah bangi zako una zijua mwenyeweBila vurugu sina Amani kabisa, yaan vurugu na heka heka mie ndo amani yangu.
😂😂😂😂😂😂
HahahahaKuna manzi wangu fulani wa zamani aliolewa akaachika. Kwa sasa yupo single ila anadai kuna jamaa (mume wa mtu) kaingia nae makubaliano kuwa wasiwe wapenzi ila manzi akiwa na hamu jamaa ampige miti. Uhusiano wao ni wa kwenye kupigana miti tu pale kunapokuwa na hitaji.
Nimshawishi nani tenaa? 😂😂😂😂Daah bas aje kwangu tu maan me npo single emu mshawishi na wewe tuone kama ntapata chochote kitu.
Dah bangi zako una zijua mwenyewe
mtoa mada au hupend na mm nijilie vinono?Nimshawishi nani tenaa? 😂😂😂😂
Wachaa wee!! 😂😂😂😂mtoa mada au hupend na mm nijilie vinono?
Nita kuchapa😂😂😂😂 jamaniiii
Sitakiiiii.Nita kuchapa
Ila JF usikute mtu nayesema nataka nimle ni lidume na lina mademu watatu sema lina ID ya mwanamke 😅😅😅Wachaa wee!! 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 umejuajee?Ila JF usikute mtu nayesema nataka nimle ni lidume na lina mademu watatu sema lina ID ya mwanamke 😅😅😅