Chagua mkao tu.Shida nikwamba nimeanza kumpenda na siwez kumkubalia, naumia na sijui nifanye
Japo mume wa mtu hatotaka kumuona huyo binti anaingia kwenye mahusiano mengineSio rahisi ila inawezekana. Kwani mtu akiwa na mahusiano na mke/mume wa mtu si open relationship tu, au mpaka watu waambiane?
Nakijua hili jamaa ni lakiume hata ukiangalia vzur muandiko wake hata Posts zake za nyuma sema mshauri aache hio tabia maan watu watampakia vilainishi bure😅😅😂😂😂😂😂 umejuajee?
Ila kiuhalisia anajua kabisa binti anahusiana na mwingine, hawataambiana ila kila mmoja anajua kuna mwingine🤣Japo mume wa mtu hatotaka kumuona huyo binti anaingia kwenye mahusiano mengine
Ndiyo asili yetu
Sijui ni Uzee nilionao, ila huwa nashindwa kuvumilia kuona napangwa foleniIla kiuhalisia anajua kabisa binti anahusiana na mwingine, hawataambiana ila kila mmoja anajua kuna mwingine🤣
Kwa hii batch ya 2000 mkuu, hata kama hutaambiwa, we jua tu haupo peke yako 🤣Sijui ni Uzee nilionao, ila huwa nashindwa kuvumilia kuona napangwa foleni
Tena nikiwa namlipia mwenyewe Kodi ya nyumba, ndiyo sitaki kabisa kuona mwingine anaingia ninapoingia
Binti awe tayari kufanyiwa surveillance ya masaa 72 😜
Dunia ina maajabu hakika Mungu atunusurie tu vizazi vyetuMambo uyapendayo 😁
Kumbe nako kuna wivu
Nisanukie codes bas, 😂😂😂😂Nakijua hili jamaa ni lakiume hata ukiangalia vzur muandiko wake hata Posts zake za nyuma sema mshauri aache hio tabia maan watu watampakia vilainishi bure😅😅
Kauli hii inaweza kunipandisha Kisukari changu ujueKwa hii batch ya 2000 mkuu, hata kama hutaambiwa, we jua tu haupo peke yako 🤣
yaani wewe shoga unanikeraaaaaa. Yaani kuanzia 2023 mpaka leo nimekuwa member rasmi humu nachukiaga threads zako na comment zako go to hell you bloodembercell sinner.Hii dhana ya open relationship, naonaga km ni unafiki.
Hata kwa mapenzi ya jinsia 1 enyewe inatokea tyuuh, ila sio kwamba inakubalika, ni vile bas tyuuh.
WIVU!! hii kitu ni lazima ktk mapenzi ya kweli, ikikosekana hakuna mapenzi hapo.
mapenzi ya jinsia 1 Tena, meji ume anza vurugu 😂 🦅
😂😂🙌Si ndio hawa hawa wake za watu tunaobagazana au Kuwa na mtu kivipi
cocastic kumbe ni mraibu me nimewaza kwa nini iwe heka heka😂😂😂😂 jamaniiii