Salaam wana JF,
Kwanza kabisa niwapongeze wote kwa kumaliza weekdays salama. Pia Ngoja niendelee na mada yangu hapo kwenye title. Mimi ni mmoja kati ya wana football ambao nilikuwa namuhusudu sana Nabi na nilifurahishwa zaidi na namna ambavyo aliondoka akiwa bado anapendwa, Ni wachache sana...