Wakuu amani iwe nanyi!
Nafikisha kwenu Wajuvi na Wazoefu wa biashara za hapa nyumbani. Leo naomba mwenye uzoefu wa biashara ya kufyatua Tofali kwa Dar es Salaam atupatie mawili matatu ili kina sisi tunaoitizama biashara hii kama fursa ya kufanya hatujaingia mazima mazima.
Karibuni sana Wakubwa.
Bob Marley tangu afariki imepita miaka zaidi ya 40 lakini familia yake bado wanakula bata kupitia loyarities na JIna la baba yao. Michael Jackson family, Tupac family, Kennedy family pia ni miongoni mwa wanufaika wa jina.
Tukija hapa nchini, Karume, Kikwete, Mwinyi. Hawa familia zao vizazi na...
Kwa pesa na umaarufu nilio nao kuna umuhimu wa kumiliki bastora ili inisaidie kujilinda maana uwezo wa kuajili mabodigadi sometime wanaweza kula rushwa waniuze Boss wao.
Wakuu naombeni mwenye kujua bei na zinakopatikana na sheria zake?
Jipatie Smart watch Original leo
1. Smart watch na earpods
- unapata smart watch, earpods na mikanda yake saba yenye rangi tofauti tofauti kwa 55,000 tsh th
2. Smart watch mbili na mikanda yake mitano yenye rangi tofauti tofauti kwa 65,000 tsh tu
3. Smart watch na headphone hii na mikanda...
Oct, 11, 2024
"Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha."
—Kelly Ortberg (Boeing CEO)
Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni sawa na 10% ya wafanyakazi wote. Na hii itaathiri wafanyakazi katika ngazi zote kuanzia executives...
Je ukienda kwenye a date na mtu ambaye mlikua mnachat tu na mkafika stage ya kulike each other, ukamuona yupo tofauti na kwenye picha zake je utafanyaje?
Utaondoka na kumpotezea Au utamwambia ukweli?
Natamani nimjue alie mpa elimu ya ujasusi netanyau maana ana akili kubwa sana.
Kweny ujasusi kuna kitu kinaitwa False flag.
FALSE FLAG;a political or military action that is made to appear to have been carried out by a group that is not actually responsible:
Credit definition Geogle
Walicho...
Wenye uelewa na Mpira watakuwa wamenielewa ninachomaanisha, siku zote timu yenye tabia za kuchukua ubingwa uwa Zina viashiria Fulani Fulani vya kutwaa ubingwa!
Viashiria ivyo yanga anavyo kwa 100%, yanga amekuwa awezi kudondosha point kizembe ata kama mechi imewakalia vibaya lazima waondoke na...
Hahaha Ukitaka kujua jinsi gani akili ya kijana wa kiume ni chafu ebu fungua uzi wa "ipi ni sexual fantasy yako?"
Ukitaka kujua hatua mwanamke anaweza kufika kwa ajili tu ya urembo wake ebu fuatilia mnyororo wa pesa zinapotoka kupelekea dogo wa kike wa 2004 kumiliki "i phone 16" .
Vitoto...
Alinibania nikamvumilia sasa nikaona huu ni upuzi ya nn niteseke sasa baada ya kugundua nimeanza mahusiano mapya ameanza kuvurugwa.
Kipindi sina demu alikuwa ananijibu kwa jeuri kwa sababu alikuwa na uhakika yupo mwenyewe
Sasa baada ya kuendeleza mgomo nikamwambia Leo sitalala nyumbani, kufika...
Habari wana JF,
Mimi ni Mtanzania mwenye elimu ngazi ya Degree ya biashara katika uhasibu.
Natafuta kazi ya kuandaa Payroll na tax zake monthly kama Part time kwa gharama nafuu kabisa.
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8 kwenye sector binafsi..
Napatikana kwa namba 0657940974
Karibuni sana..
Habari zenu Wana JF?
Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla.
Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu.
Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa vituo vya mafuta.
Kulalamikia mifuniko ya kiSasa ya Tank la mafuta MANUAL COVER inayokaa juu ya...
Salaam Wanaume Wenzangu mnaosoma huu Uzi.
TAFADHALI: Hii ni kwa ajili ya Men, wanawake wa jamii forum msipite hapa tuna kikao.
Kile Kikao cha Wanaume leo tena kipo hapa.
⚠️⚠️⚠️CAUTION: USIMPENDE MWANAMKE NA KUMZIMIKIA ETI KISA KAJA KWAKO AU KAKUFUATA ANAKULILIA SHIDA ZAKE, AU KAVURUGWA ZAKE...
Kama utani vile, waigizaji nyota wawili wa Bongo Movie, Kajala Masanja na Jacklyne Wolper wamejikuta wakimaliza bifu walilokuwa nalo kutokana na kila mmoja kuwahi kutoka na staa wa Bongo Flava, Harmonize baada ya kukutana katika pati la siku ya kuzaliwa ya mtoto wa Leah Richard ‘Lamata’.
Wawili...
Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow?
Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake hali iliyoongeza kasi na ubora wa kuhudumia Meli na Shehena.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya 19 ya...
Ndugu zangu salaam
Mke wangu anajumla ya mzunguko wa siku 25 . mwezi uliopita aliona siku zake tarehe 11/08 /2024 na nilikutana nae kimwili kwenye siku zake za hatari kwanzia tarehe 8/08 mpaka tarehe 15/08/2024 kwa sababu tulikua tunataka mtoto.
Alitarajia kuona siku zake tarehe 05/09/2024 ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.