Kama mtu amepata ujasiri wa kuonyesha maburungutu ya pesa mitandaoni, huku aonyeshi chanzo halali cha pesa hizo serikali isikalie hilo jambo kimya.
Angalau watakwe kufanyiwa tax clearance wapewe doc ya kujipata na pesa mitandaoni. Hiyo itathibitisha ni pesa halali na huyo mtu anafaa kutumikq...
Ukikamua tunda ili kupata juice unapoteza nyuzinyuzi zake ( Fibers).
FAIDA ZA KULA FIBERS;
Mosi , Fibers ni chakula cha chembe hai za utumbo mpana. Utumbo mpana huzibadili fibers kuwa mafuta yajulikanayo kama BUTYRIC ACID. Mafuta haya ndo chanzo cha nishati kwa chembe hai za utumbo mpana (...
Wadau hamjamboni nyote?
Israel yafanya kufuru Leo asubuhi
Iko hivi
Hezbollah walishajiandaa kuisambaratisha Israel hasa maeneo ya kati na kaskazini
Hata hivyo idarayaza ujasusi za Israel zilipata taarifa kamili ya mipango hiyo ya magaidi
Sasa walichofanya IDF ni kuwawahi Kwa kuishambulia...
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar.
Wizara ya Nishati inashiriki katika tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi kwa...
1. Changes ya Tupac
https://youtu.be/eXvBjCO19QY?si=Fwtyece1Ac7kPCkH
Origina yake
https://youtu.be/GlRQjzltaMQ?si=ZwPSmhk-4Vx8__Ku
2. Forever Young ya Jay Z
https://youtu.be/Kzq15y2J4UM?si=JQi1v7F_i7B7gYTF
Original yake
https://youtu.be/t1TcDHrkQYg?si=bwgTEt655tTKDUq0
3. Toy Soildiers Eminem...
Ndugu mwana JF,
Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana.
Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii ni nzur sana.
Unaweza wekeza kituo 1 Cha mafuta ndani ya mwaka 1 ukawa na uwezo wa kujenga kituo...
Majeshi yetu ya Ulinzi na usalama ni vyombo nyeti mno katika mustakabali wa usalama wa nchi yetu (Kisiasa,Kiuchumi na Kijamii). Maeneo ya kambi za Jeshi ni maeneo adhimu na yanapaswa kutochangamana na maeneo ya kiraia kwa namna moja au nyingine.
Miaka michache iliopita tulipata janga la mabomu...
Hii pangua pangua za kila leo za Samia zingejadiliwa kwa muktadha wa strentghs and Weaknesses za waliotenguliwa na walioingizwa/chaguliwa! What more do we expect from the new appointees? compared to the outgoing ones
Mama anavuruga vuruga kwenye chungu hicho hicho.Jiulize kwanini aliwatoa...
Ilikuwa kila baada ya mda fulani wanatembeleana na kupiga ma picha picha kibao huku wapambe humu Jf wakimpamba eti anakubalika na wana ng'ambo pasi na kujua walikuwa wanaisanua sirikali na masinia yake.
Kutano la kwanza lilipuuzwa.
Kutano la pili na yaliyoendelea hakika yaliishtua sirikali na...
Jamaa walitoa tahadhari mapema wakasema,mikong'oto heavy ni Kwa ajili ya Vibaka na Walanguzi walioshindikana hapa Barani Afrika,yeyote atakaye ingia kati wakati mikong'oto hiyo ikiendelea, atajikuta anapokea kichapo kisichokuwa na huruma kama Paka shume aliyekunya kwenye debe la Unga wa uwele...
Hususan Maeneo ya Vijijini na hata baadhi ya Familia Mjini Mwanamke akianza kutambua na kudai haki zake huonekana ana kiburi sana.
Halafu cha kushangaza sasa unakuta wanawake ndio wa kwanza kuanza kukandamiza haki ya Mwanamke mwenzao ili mradi tu na wao wasionekane wabaya.
Mwanamke huyu...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la leo
Hii ni makala yangu ya pongezi kwa Wakili Mwabukusi kuchaguliwa kuwa rais wa TLS, na kumpa ushauri wa bure, aibadili TLS kutoka kule juu ilipo, aishushe chini ground zero Ihudumie wananchi wa kawaida wanaohitaji huduma za kisheria, badala...
Wakuu natumai nikwema huku tukiendelea na pilika za kujiandaa na msimu mpya wa Ligi yetu pendwa ya Mpira wa miguu.
Nende moja kwa moja kwenye mada kuwa wapi naweza pata IPHONE nzuri ya mtumba kuanzia 13 na kuendelea.
Ikiwemo gharama zake na hata uwezo wake.
N.B hizi simu hata kama watu...
Mwana JF Leo nipo hapa kukuoneaha (kukuambia) umuhimu wa kuweka Beam chin kabla kuzika Tank la mafuta.
Ukiweka bim inakusaidia Kwa 90% kuwa na uhakika wa Tank lako kutokupanda juu au kuibuka.
Hakikisha unaweka bm yenye chuma za kuanzia mm16 mpaka mm25 kulingana na ukubwa wa Tank
Kunja huk za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.