Kama yupo hivyo,mwambie ukweli , hauna , hautaki kumpa , au pesa uliyo nayo ipo kwenye mipango mingine.Mshikaji ni mjanja mjanja sana karudisha ni uongo
Mchane kiumesimpi ata mia mbovu
ila sikhizi waaminifu wachache sana kuna wengine ukiwakopesha asee kulipa kwa wakati ni mthaniKama anarudisha 2.4 mpatie mbona hiyo 4 ni faida nzuri na urafiki wenu utakua umeimarika sana??
Kwahio nisingepost status za kula bata ungenikopa hio hela? Acha wivu mkuu.Leo hii kajisahau kanitumia test ya kipuuzi sana huku sikutafutiana lawama tu,
Muwe makini na status zenu mnazoweka Whatsapp na social media nyingine View attachment 3531035
Kakutamanisha laki 4 we utoe 2m😃😃Mshikaji ni mjanja mjanja sana karudisha ni uongo
Kabsa bata bila budget.Maisha baada ya bata ni masikitiko matupu.