RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Wivu tu unakusumbuaYaani kuna watu Dec walijua kujishaua jamani
Wivu tu unakusumbuaYaani kuna watu Dec walijua kujishaua jamani
Hapana kwa kweli.unajua kabisa una vipengele January halafu unajishauaWivu tu unakusumbua
Vizuri sanaDec kulikuwa na hela Sana
Sales ziliongezeka,vicoba,michepuko etc
Nilijikazaa sikununua hata nguo za watoto
Nguo za watoto nzuri zilikuwa zinauzwa 120,000 hadi laki mbili
Mungu mkubwa hadi tar 15 Jan 2026 nilijiwwkea malengo niwe ninemaliza vipengele vyote muhimu
Mungu ni mwema tar 10 nilikuwa tayari
Nilimejifunza Dec is not for the weak !!
Me mwenyewe nacheki simu zao najua tu kimewalamba
Ukikaa vibaya wanakutia ngeu kichwani sasa hivi wameanza kutoa milio.Dec sio ya watu dhaifu.nilishajifunza
Nguo walizokuwa wanatuuzia laki mbili za watoto sasa hivi elfu 25,000 huko sale
Sikununua hata chupi dec
The Almighty he won't screenshot🤣🤣🤣 Certified Hater Kuomba msaada ni kwa Mungu tu, Ambaye hatuscreenshot, binadamu watatumaliza 🤣🤣.
Sio umbea jamaa amejanjarukaWanaume mmekuwa wambeaaa siku hizi 🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Akiona umempost Jamii Forums atajisikiaje?Leo hii kajisahau kanitumia test ya kipuuzi sana huku sikutafutiana lawama tu,
Muwe makini na status zenu mnazoweka Whatsapp na social media nyingine View attachment 3531035
kuwa makini
Hakuna guarantee atalipa kwa wakati.Kama anarudisha 2.4 mpatie mbona hiyo 4 ni faida nzuri na urafiki wenu utakua umeimarika sana??
Umbea umbea tu ndio mmekalia. Kitu kidogo ushascreenshot huyooo mbio mitandaoni. No wonder hata familia hamuwezi kuziongoza siku hizi🙆♂️🙆♂️Sio umbea jamaa amejanjaruka
Mwanaume kazi yake ni kutafuta ela mwanamke majukumu yake ni kuongoza familiaUmbea umbea tu ndio mmekalia. Kitu kidogo ushascreenshot huyooo mbio mitandaoni. No wonder hata familia hamuwezi kuziongoza siku hizi🙆♂️🙆♂️